Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Ahsante mkuu umenipa moyo sana na huo ni ushahidi kuwa hii kitu inawezekana. ila jina lako ndo limenikatisha tamaa. so nijuze kama upo serious. ulijiona?

Mkuu hiyo ID isikukatishe tamaa kwani niliamua kuitumia baada ya kujiona mjinga kwa kuto kuyatambua yanitokeayo na kila nikiiona napata hamu ya kujifunza mambo mbalimbali yanihusuyo kama binadamu!!
Hiyo kitu inawezekana kabisa na nimeifanya mara nyingi,lakini bado sijakomaa kwa sababu nilikuwa siijui!
Hapo mwanzo nilipokuwa nikianza kuhisi ganzi,nilikuwa nikiogopa na kudhani labda ndio jinamizi na nilikuwa nakemea kwa jina Yesu hadi nilikuwa nikihisi nawapigia wenzangu kelele!, Ajabu hawakuwahi hata siku moja kusikia nikikemea.
Hapo ndipoanza kujiuliza hii ni nini?
Bahati nzuri wakati napitia JF as a guest member nilikutana na uzi unaohusu ASTRAL PROJECTIO na jinsi inavyokua!
Siku iliyofuata ile hali ya ganzi ilipokuja nili relax na kujaribu kujiinua bila kujitikisa, hapo nilisikia mlio mkali kama wa kengele ya umeme, nilikuwa nikitaka kujiinua ule mlio unazidi huku ukiambatana na kitu kama vibrations zikianzia kichwani na kusambaa mwili mzima.
Ghafla vibration,ganzi na zile kelele zilikoma,hapo nilikuwa huru kuinuka kitandani nikasimama na nilikuwa mwepesi kama vile hakuna gravity.
Nilipo geuka nyuma ndio nilijiona nimelala na nilistuka kweli! nilihisi ndio labda nimekufa!
Nilifumba macho na ghafla nilivutwa kwa nguvu kurudi kitandani(sekunde moja) kama nimevutwa na sumaku na nikaamka hapohapo!!
Hiyo kitu inawezekana na ipo Mkuu Tom jelly!!!!!
 

Sijisifu... Ila when comes about concentrating.
. niko vizuri. Nishawishi ili nifanye hiki kitu. Mimi siogopi kufa. Mimi ni mbabe sana. Hali ya ganzi nikiamua ije naweza. Ila sijawahi kutoka nnje. Nataka nitoke... Nikafanye survey somewhere nataka nijue kitu. (Udukuzi) please share more. Ili siku nikija huko ulimwengu huo. Tukutane.. Na ntakwqmbia nataka nifanye udukuzi gani
 
Ahsante sana mkuu Mbumbumbu wa mwisho umenipa ujasiri wa kuthubutu. Hahahahahaha AgentX Umenifanya nicheke sana kweny suala la ubabe.
 

AgentX uko vizuri hata napata amani kama bado duniani kifo kinadharaulika hivi halafu kwa kuwa uko vizuri itabidi pia ufanye kwa uhuru hilo zoezi bila kuhofia kuguswa..me nshafanya 2times but ile tendency ya kuona mwili wangu tena kitandani siwezi nimeishia hapo.kwa mujibu wa mmoja wa wanaofaham jambo hili (pasco) ukiguswa tu...R.I.P au uje tushangirie mafanikio yako katika zoezi hili.
 

Lakini hakuna uthibitisho wa aliye kufa sababu ya hii kitu
 

Umeuliza maswali ya msingi sana lakini sijui kwanini Rakims hajakujibu iyo astral body ni mwili wa 4 wa binadamu ilitakiwa aelezee mwili wa 2 ambao ni aura body na wa 3 ambao ni etheric body maana mwili wa kwanza physical body unaeleweka lakini yeye ameruka mpaka astral body - out of body experience bila kutoa utangulizi ndo maana watu hawamuelewi.

Namaste!
 
Last edited by a moderator:

Labda anajipanga zaid..mkuu
 
Last edited by a moderator:

Mkuu na wewe huwa unatoka nje ya mwili au?
 
Lakini hakuna uthibitisho wa aliye kufa sababu ya hii kitu

dah sasa hayo hatuwezi kuyathibitisha kwa sababu hata kama kafa mtu hawezi tena kuja kutoa ushahidi wala majirani hawawezi kujua kama hyo ndo sababu.
 
dah sasa hayo hatuwezi kuyathibitisha kwa sababu hata kama kafa mtu hawezi tena kuja kutoa ushahidi wala majirani hawawezi kujua kama hyo ndo sababu.

Hakuna mtu anayeweza kufa Kabla siku zake hazijafikia mwisho.
Na kama vile hiyo haitoshi hili halina uthibitisho hivyo halipo.
 
Hakuna mtu anayeweza kufa Kabla siku zake hazijafikia mwisho.
Na kama vile hiyo haitoshi hili halina uthibitisho hivyo halipo.

well said jimena but hapo hapo ukumbuke kutokujua na kutokufa mtu kabla ya siku zake ndo kumfanye mtu ajihatarishe kusimama katikati ya barabara wakati magari yanapita..no matter what! tahadhari muhimu..binafsi jana nimeperfom hii kitu ina raha flani amaizing but dah ndo hivyo inaogopesha.
 

Silver cord haikitaki kirahisi hivyo
 

subirini ushuhuda wangu sasa.
 

Hii mada aliyo anzisha Rakims ni real, wabongo little mind lazima waseme huu ni uchawi na kwa mada za namna hii ndo zinazofanya JF ionekane kweli ni home of great thinkers.
 
Last edited by a moderator:
ok ok mi mwenyw ngoja niwe serious sasa kwan nmejaribu mara moja hapa nkaona hisia za kumeza mate zinakuja. nameza naanza upya hata kweny ganz sifik. ngoja nikomae ntawaletea mrejesho.

Hooooo ucmeze sasaaa doh
 
walim wa hii mambo anifundishe tafadhal namba ya kimeo changu ni 0756684460
 
hivi inawezekana kutoka nje ya mwili na kutembelea sayar kama mars,Jupiter,Pluto n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…