Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

hii thread ni ngumu, mi naiogopa! sio kila kitu unaweza kujaribu, pasco na mzizi mkavu wameeleza madhara yake, ndoto nyingi ihutokea mtu anapokua usingizini hasa kwenye highest stage ya usingizi inayoitwa REM, hapo ndio mwili unaparalyse kwa ajili ya kujikinga na hatari katika stage hii! kama mambo mengine ya ndoto tu ni magumu mpaka ndoto ikikatika unafurahi, je haya ya kujitakia c ndio magumu zaidi! please don't try this at home.
 
Je huko unaposafiri huwezi nunua kitu? Nataka niende dubai duty free shop ikoje hii?
 
Mi nina mdogo wangu wa kike, kuna kipindi fulani alikuwa akilala usiku anastuka hali ya kuwa yupo usingizini anatoka kitandani anafika hadi mlangoni kama anataka kutoka nje halafu anarudi kitandani

Au wakati mwingine anatembea hatua chache kutoka kitandani halafu anarudi tena kula kama zombie flani hivi hata ukimsemesha haelewi nikawa najiuliza sanaa siku akifanikiwa kufungua mlango bila sisi kusikia ataenda hadi wapi? Lkn sikuizi haamki usiku tangu awe mdada mkubwa.

Hebu mkuu rakims nisaidie hii inahusiana na hiko ulichokieza hapo juu?
Atamimi ilishawai kunitokea alafu ikapotea at a sijui mini mpaka Leo au ndio hii
 
Hii hali imenifanya kila jambo ninalolifanya nione Kama nalirudia vile..ila ukikosea ndio parapanda Italia tena!!maana hii ni kujigeuza mfu..watu wengi sana wanaolalaga na kukutwa wamekufa hiki ndicho kinachowaondoshaga!!!
 
Hii hali imenifanya kila jambo ninalolifanya nione Kama nalirudia vile..ila ukikosea ndio parapanda Italia tena!!maana hii ni kujigeuza mfu..watu wengi sana wanaolalaga na kukutwa wamekufa hiki ndicho kinachowaondoshaga!!!

Aaah wapi!!!!!
 
Guys nimejarib dis morning....wakati wa kutengana miili nj shidaaa u feel like hell yaan ubarid unauckia unaanzia miguuni kwene unyayo....unapanda taratib then take over inatakoa very slowly....separation of body! Nimeamua nijikurupue maana kuna imetoke very strange! But ntajarib tenaa jion
Mkuu angalia usije uksondoka tukaimis michango yako humu
 
I know about dreams, a lot, may be even more than you comprehend. In fact, I can differentiate between dreams and visions. I can even know when I am attacked in a dream and destroy the attacker while sleeping and when I wake up I will continue to destroy the witchcraft. That is why Witches and people who practice those diabolical acts hates me.

A witch can use someones face and come to attack me, but believe me, I will know you before you go. I will use the power of the Blood of Jesus to destroy whatever plan/work the witch had and or was send to do to me.

This is the difference when you use the power of the Name Jesus and His Blood.

Welcome to Winners team, Team Jesus.

Duh jamaa nouma unayo hadi damu ya yesu sasa mi naomba kuuliza swali kwa nn wachawi wanakufuata sana ww na hiyo damu ya yesu uliipata wapi au ulikuwepo hizo 2000 years zilizo pita
 
Back
Top Bottom