Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Naona mmeamua kutoa somo la ulozi sio...

Kweli Kabisa Unachoongea Maana Ndio Umeishia Hapo Fikra Zako Nadhani Mtu Hasemi Kitu Bila Kukijua Ulozi Unaujua Wewe Ila Ingawa Sijui nini maana ya upozi Nitakujibu hivi hata mimi siku Ya Kwanza Kuona Ndege Inapita Juu Nilisema Wachawi Wanapaa...

nilikuja kuambiwa ni chombo cha usafiri sikuamini... maana nilikuwa na uwezo kama wako wa kufikiri....

"Rakim$"
 

"Find Out What Is A Lucid Dream Mkuu"

kawaida ya brain powers mara nyingi huonekana uchawi kwa watu kughairi kufikiri....
Rakims
 

huwa napenda sana mtu anaefanya feedback maana husaidia hata wasiojua kujua nitaomba uwe unadondosha hapa sio p.m ili upunguze tongotongo za watu... na michanga vichwan usiogope ni safe way but watu wanaimagine kitu ambacho sijafundisha...
jiwe7456
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Pasco kwa hayo maangalizo.....
wakati nasoma uzi nilikuwa najiuliza maswali mengi sana ambayo nimeyapata kwenye haya maangalizo yako..... For sure I wont dare to try it....
Kila la heri kwa wanafunzi na wakufunzi wa hili

Mi lazima nijaribu...

Kwani wengine wameweza wana nini hata mimi nishindwe nina nini...
 
Hii mada imenifanya nimkumbuke binti mmoja (jini mahaba) alikuwa akinipeleka mahali popote nilipotaka kwenda hata huko angani juu sana. Ila alizidisha hamu ya kuwa karibu na mimi wakati wowote hata nikiwa kwa daladala ikabidi nimtimue.

hahahahaaaah nadhan umejua alikuwa anakubeba vipi... anatumia nguvu yako mwenyewe... ndio maana ulivyotimua akatimuka..
Donnie Charlie
 
Last edited by a moderator:
Hii mada imenifanya nimkumbuke binti mmoja (jini mahaba) alikuwa akinipeleka mahali popote nilipotaka kwenda hata huko angani juu sana. Ila alizidisha hamu ya kuwa karibu na mimi wakati wowote hata nikiwa kwa daladala ikabidi nimtimue.

hahahahaaaah nadhan umejua alikuwa anakubeba vipi... anatumia nguvu yako mwenyewe... ndio maana ulivyotimua akatimuka..
Donnie Charlie
 
Last edited by a moderator:

hapo ni pale ubongo ukichelewa kuactivate safe paralysis kwenye mwili hii hisababisha hata kuongea hovyo kitandani na sababu hasa ni pale mtu anaposinzia hovyo kwenye makochi na kuamshwa amshwa akalale ndani zaidi ya mara tatu... Ahsante
munrash

"Rakims"
 
kwani unaweza ukaona kinacho endelea katika ulimwengu wa kawaida? Kama kwenda mahali watu wapo ukajumuika nao bila wao kujua uwepo wako?

ndio mkuu sema ukisha visualize usivisualize kingine ukiendelea kuvisualize zaidi inakuwa lucid dream....
godimpare

"Rakims"
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Duh!!! Hivi kumbe hizo mambo anayoongea mkuu ni kweli baadhi ya watu duniani wanaweza kufanya mie nilifikiri ni story tu za kufikirika

ukitaka kuamini fanya halafu uishie pale kwenye ganzi ndio utaamini u can o cant

"Rakims"
 
Ahsante kwa somo zuri, mm huwa inanitokea mara kwa mara lakini sijawahi angalia nyuma kungalia mwili wanyama.

Hongera Wenzio Wanajua Kuna Kufa.... Ni Sawa Na Mtu Kufa Ndotoni.... omben

"Rakims"
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…