Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
Itakuwa Vizuri Ukiutoa Hapa Huo Mrejesho Ili Tupunguze Na Tongotongo Za Wengine
Threesixteen Himself
nitaulete huo mrejesho mkuu hapa hapa kwenye Tuesday noo at Jf.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa Vizuri Ukiutoa Hapa Huo Mrejesho Ili Tupunguze Na Tongotongo Za Wengine
Threesixteen Himself
Wewe u mwanafunzi mzuri sana.Guys nimejarib dis morning....wakati wa kutengana miili nj shidaaa u feel like hell yaan ubarid unauckia unaanzia miguuni kwene unyayo....unapanda taratib then take over inatakoa very slowly....separation of body! Nimeamua nijikurupue maana kuna imetoke very strange! But ntajarib tenaa jion
Humu ndio JF, jamii zote hukutana humu;
wahubiri hukutana humu,
Wachawi hukutana humu,
Malaya nao hukutana humu,
....na hawa wote hutafuta wafuasi humu!
Vv
kati ya hayo makundi binafsi simo ila lako lipi? huwezi kusema jambo ambalo halikuhusu
ndio mkuu sema ukisha visualize usivisualize kingine ukiendelea kuvisualize zaidi inakuwa lucid dream....
godimpare
"Rakims"
I know about dreams, a lot, may be even more than you comprehend. In fact, I can differentiate between dreams and visions. I can even know when I am attacked in a dream and destroy the attacker while sleeping and when I wake up I will continue to destroy the witchcraft. That is why Witches and people who practice those diabolical acts hates me."Find Out What Is A Lucid Dream Mkuu"
kawaida ya brain powers mara nyingi huonekana uchawi kwa watu kughairi kufikiri....
Rakims
.....
A witch can use someones face and come to attack me, but believe me, I will know you before you go. I will use the power of the Blood of Jesus to destroy whatever plan/work the witch had and or was send to do to me.
This is the difference when you use the power of the Name Jesus and His Blood.
Welcome to Winners team, Team Jesus.
Yes, the Power in Jesus is Omnipotent.You are very right..! It works, I have done it too. the Name Jesus Christ is so powerful.
I know about dreams, a lot, may be even more than you comprehend. In fact, I can differentiate between dreams and a visions. I can even know when I am attacked in a dream and destroy the attacker while sleeping and when I wake up I will continue to destroy the witchcraft. That is why Witches and people who practice those diabolical acts hates me.
A witch can use someones face and come to attack me, but believe me, I will know you before you go. I will use the power of the Blood of Jesus to destroy whatever plan/work the witch had and or was send to do to me.
This is the difference when you use the power of the Name Jesus and His Blood.
Welcome to Winners team, Team Jesus.[/QUOTE
bora tu uongee kiswahili maana hujui useme nini....
kwanza mbona kama unajibu swali wakati sijakuuliza swali?
halafu mbona unatumia nguvu nyingi sana kujieleza?
Lakini Pia Sioni Ulichojibu Zaidi Ya Kutangaza Damu Ya Yesu..!
Kingine Nazungumzia Lucid Dream.... Wewe Unaniambia Dreams... Halafu Dreams Zako Unazozielezea Zinaonyesha Tu Unaupeo Mdogo Sana Wa Uelewa... em jirudie kujisoma hapa chini:
" I know about dreams, a lot, may be even more than you comprehend. In fact, I can differentiate between dreams and a visions. I can even know when I am attacked in a dream and destroy the attacker while sleeping and when I wake up I will continue to destroy the witchcraft. That is why Witches and people who practice those diabolical acts hates me"
cheki ulivyoharibu
1: english Ya Kata (asante mkapa schools)
2: Vijaongelea Visions Hapa Wala Dini
3: jicheke hapa
" I can even know when I am attacked in a dream and destroy the attacker while sleeping and when I wake up I will continue to destroy the witchcraft"
4: A witch can use someones face and come to attack me, but believe me, I will know you before you go. I will use the power of the Blood of Jesus to destroy whatever plan/work the witch had and or was send to do to me.
This is the difference when you use the power of the Name Jesus and His Blood....
so m ur witch nw!?
Watu Wakiongea Kiswahili Au Swanglish Mnatucheka Ila mkipewa nafasi Broken Tupu....
na kingine quote yako ipo kishambulizi fulani hivi...
Rakims
.......
Watu Wakiongea Kiswahili Au Swanglish Mnatucheka Ila mkipewa nafasi Broken Tupu....
na kingine quote yako ipo kishambulizi fulani hivi...
Rakims
NB: Kurudi Kwenye Mwili Wako Ukitaka Unarudi Tu Bila Tatizo Wala Kuukosa Hakuna Tatizo... Waweza Hata Kufumba Macho
Ukataka Ukifumbua Uamke Kwenye Mwili Wako Unaamka au unagonga kidole au unajiambia ni muda wa kuamka unaamka binafsi huwa narudi zangu kwenye mwili wangu nikiusogelea karibu zaidi au kutaka kuugusa naamka
Rakims
RED: Ndiyo...si mmesema astral projection ni hatua moja kuelekea kuwekeana mikataba na nguvu za giza(Sheitwani/Devil) !!
Mashambulizi ni lazima watu warudi kwa Muumba wa Mbingu na nchi.