Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Jambo usilolijua.............

Katika Quotes Zote Nimesoma Hapa Nimeona Nisijibu Maana Watu Wanaongeza Vitu Visivyohusiana na Pamanently Wanaconclude kwamba Ni Wakala Wa Shetani... everytime we try to speak our true nature people thoughts dat we talking about wicca and when we dare try to do something amazing peoples thoughts remain wicca tatizo Tanzania Imani Ya Kwanza Inayoongoza Na Kupewa kipaumbele ni uchawi out of body is our natural action but we don't even try to think..

Namshangaa sana Pasco kusema ukijitingisha au kutingishwa kwenye mwili uliouacha unakata uzi sasa kuna mtu katika uzi wako wa psychic powers aliwahi kukwambia anaweza kutoka nje ya mwili na akavuka barabara akirudi anakuta watu wamemzunguka na anaingia kwenye mwili wake na wewe Pasco Ukamwambia Kwamba Ile Ni Astral Projection labda ni AP Ipi ulikuwa Unazungumzia..

kwa akili ya mtu wa kawaida ataelewa nini kinachofanyika mtu akizimia means kwamba alikuwa anazimia na wale lazima watamuinua watampepea na kumsemesha pia kumtingisha sana tu....
usiwatishe watu wakashindwa kujua what are successful people do to archieve their goal....

Haika Nashukuru Kwa Quote Yako Maana Imejibu Zote Za Hapo Juu.....

Rakims
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu tatizo una jazba.

Hapana Jazba Hapa Mkuu
..! I'm So Peacefully Inside Maself
kinachonivuruga hapa ni kuona wanafiki wa dini wanadanganya umma hapa na kushikisha wenzao uchawi Kwa Kupoteza Maana Husika... kila mtu anaimani yake kwa uwezo wako wa utambuzi hapo ni wapi kwenye uzi huu nimesema dini au imani fulani inahisika?

Nadhani Umeelewa Huo Unaousema wewe ukali unatoka wapi? binafsi nina dini yangu na naipenda na naifuata ningetaka kutangaza dini ningetangaza mwanzo wakuu...

Rakims

nb
 
Last edited by a moderator:
"Kawaida Hakuna Mtu Anaependa Umzidi Uwezo Ndio Maana Hata Umapotaka Kufanya kazi mfano uwe dereva wa basi au roli utaambiwa utakufa mapema kuna wachawi utatolewa kafara mabreki huwa yanafail ukiendesha roli unakuwa kahaba na bra bra nyingi sana nadhani mlishasikia...

ndio sawa na kila jambo huwezi fanya chochote bila kukutana na watu wa kukukatisha tamaa sasa akili huwa kichwani kwako wewe utapojeaje somo lile"

alamsiki

Rakims
 
Hapana Jazba Hapa Mkuu
..! I'm So Peacefully Inside Maself
kinachonivuruga hapa ni kuona wanafiki wa dini wanadanganya umma hapa na kushikisha wenzao uchawi Kwa Kupoteza Maana Husika... kila mtu anaimani yake kwa uwezo wako wa utambuzi hapo ni wapi kwenye uzi huu nimesema dini au imani fulani inahisika?

Nadhani Umeelewa Huo Unaousema wewe ukali unatoka wapi? binafsi nina dini yangu na naipenda na naifuata ningetaka kutangaza dini ningetangaza mwanzo wakuu...

Rakims

nb

Safi sana mkuu napenda majibu yako yanaeleweka vzur kabisa
 
Last edited by a moderator:
Nataman kumuona rafk yangu yupo mbal na mawasiano ni hafifu sanaa mpaka najisikia vibaya
 
Rakims ukiwa nje ya mwili watu wanaweza kukuona (mwili mpya)
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hii thread ni ya kifo,unataka kutuua nn...........tahadhari kwa wadau usijijaribu utakufa mapema

Wacha uoga wewe kwani hujui kufa kupo tu na hakukwepeki?

Na hii kitu inatakiwa iwe ni lazima kwa kila mtanzania kuijifunza iingizwe kwenye katiba mpya... na Sera za Chama tawala
 
Demu anayekwepa Date unamtokea kwa Styre hii akiwa amelala usiku...

Wakuu vipi hii kitu mchana inawezekana pia au ni Hatari zaidi!
 
Demu anayekwepa Date unamtokea kwa Styre hii akiwa amelala usiku...

Wakuu vipi hii kitu mchana inawezekana pia au ni Hatari zaidi!

muda ni wowote mkuu huu sio uchawi ila kelele hazihitajiki....

Rakims
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom