Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,002
- 4,571
- Thread starter
- #161
huu ni mrejesho kama nilivyoahidu jana. Kifupi sikufanikiwa, lakini ili nifanikiwe nitahitaji ufafanuzi zaidi au majibu ya maswali yafuatayo. Pia kama kuna la kurekebisha nirekebishe ili nifanikiwe na mie kutoka kwenye huu mwili.
1. Hivi natakiwa nilalaje? unaweza weka angalau picha ya huo mlalo? nilale chini au hata kitandani poa?
2. sikuwa peke yangu nyumbani lakini nilikuwa peke yangu sebuleni. Je hii inaweza kuwa ndio sanabu ya kufeli kwa zoezi langu?
3. kwa mbaaali kulikuwa na mziki kwa hiyo kuna muda nilikuwa nashindwa kujizuia kusikia baadhi ya nyimbo. Je hii inaweza kuwa sababu ya kudhindwa kwamba palitakiwa oawe compleately kimya?
4. pia wakati nimelala nilikuwa constanly nawaza what might happen huku nimekoncentrate kwenye pumzi. Ilifika mahali nilianza kuhesabu pumzi kinyumenyume kuanzia mia hadi sifuri ila sikupata matokeo.
Nini cha zaidi nifanye ili nifanikishe, nirekebishe wapi? niongeze kipi? ukinijibu nitajaribu na kuleta ufafanuzi hapa hapa.
kulala ni chali kama kawaida popote kitandani chini ishu ni pale patakapo kufanya ujiskie confortable.. kuhesabu mia kuja chini hadi hapo umefail maana ulikuwa unafanya kitu kingine na macho hukutuliza... thats all u have to correct...