Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mkuu Rakims na MziziMkavu, naombeni sana wakati mnatoa hili somo, pia muwape angalizo hao wanafunzi wenzi, kuwa mchezo huu pia ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuilamba!. Wapeni kabisa masharti ya kuzingatia, wakikosea ndio safari jumla!, asubuhi unakutwa ulitangulia ukiwa usingizini!.

Masharti ni haya.

  1. Fanya hivyo ukiwa umelala peke yako chumbani, na kabla hujaanza ujinga huo, hakikisha umefunga mlango kwa fungua, kwa sababu akitokea mtu akakuamsha tuu na kuchange position hata ya milimita moja, ile cord ni kama utando wa buibui, inakatika, wewe unakuwa ndio basi tena!.
  2. Unaweza kukutana na "the under world" ukaona maisha hayo ndio bora zaidi, hivyo cord ikakatika, huku unakutwa ndio basi tena!, safari jumla!.
  3. Hizi ni highest stages za maditation ambazo haziruhusiwa kufanywa na beginners, na hazifanywi un supervised vinginevyo ni safari!.
  4. Yote utakayoyashuhudia kwenye astra body, unaweza kuyafanya by simply opening the "third eye!"
  5. Hizi ndizo the first stages za wachawi!.

Wito wangu mimi, kama hujui unataka nini, utoke out of body ili kuachieve nini, please don't do!. Mtu asikudanganye its is not fun!. Too much knowledge is harmful please don't try!.

Pasco

Dah umeniogopesha sana aisee
 
Imagination zako tu.

Unazania kuwa unajua kila kitu. Vitu vyote unaviongelea mimi nimefanya zamani sana, hata kujua bruce lee alikufaje nimejua kwa astra projection au nikwambie mengine ambayo hayajawahi andikwa na kitabu chochote Rankims. Initiation Mwaka 1983, nimepita ngazi zote.
 
You don't want to believe and I'll respect you for that. There is truth in the word and I believe it. Jesus is the truth. If you want to find fault, go right ahead. You don't get points for looking without really wanting answers.

Wherefore, the ability to come out of your body is diabolical and witches brew.

Imani itabakia kuwa imani tuu hata kama ikokubwa kiasi gani au inashabihina na kwele kwa karibu sana bado sio lazima kuwa ndio ukweli mpaka utakapo tambua kuw ni kweli, ukweli hutafutwa. Ww unaamini sana lakini Rankims ana practice utambua ukweli
 
Nimeijaribu hii kitu kwa kufuata maelekezo yako yote lakini hali yangu ilibaki vile vile kwa zaidi ya nusu saa tangu nilipojilaza. Labda unijuze inachukua muda gani mpaka hatua zote kukamilika?

Sio kitu cha mara moja na njia zinafanana kwa kila. Jaribu kufunga pia kwani it is easy on a weak body and give up mind.
 
Hamna Kipya Zaidi Ya Kupaa,Kuongezeka Imani Ya Uwepo Wa Mwenyezi Mungu, Kuona Nyumba Za Watu Yani Hakuna Jipya Kile Unachotaka Ufanye Ndio Kinachokuwa Kwenda Popote Duniani Na Kona Zote Zinabako Kichwani Ukienda katika ulimwengu wa mwili tena Hupotei..... na mengine utayaexperience wewe..

mfano kuona watu wanaokuwangia usiku ni hadi u wish ndio maana unaona kuna walokole wananishambulia hapo juu kupoteza point maana watu watawajua what dey capable off....

Rakims

Lengo sio kupaa tuu bali kujua. Hivi unajua kwa nini unaishi? Kwa nini huliziki? Kwani nini unataka? Kwani ni mwoga wa kufa wakati unajua lazima utakufa tuu. Licha kuishi kwa miaka mingi vizee vya miaka mingi bado havitaki kufa? Nini hajakifanya na akikifanya atalizika.
 
Guys nimejarib dis morning....wakati wa kutengana miili nj shidaaa u feel like hell yaan ubarid unauckia unaanzia miguuni kwene unyayo....unapanda taratib then take over inatakoa very slowly....separation of body! Nimeamua nijikurupue maana kuna imetoke very strange! But ntajarib tenaa jion

Daaaa. .... umenivunja mbavu sana.
 
Imani itabakia kuwa imani tuu hata kama ikokubwa kiasi gani au inashabihina na kwele kwa karibu sana bado sio lazima kuwa ndio ukweli mpaka utakapo tambua kuw ni kweli, ukweli hutafutwa. Ww unaamini sana lakini Rankims ana practice utambua ukweli

FYI: The two great spiritualia realities which face all of humans are God's Kingdom and Satan's regnum. The Omnipotent God has supreme auctoritate over the universe, and He is served by a large number of anguli and humans. The devil's counterfeit regnum arose from a prehistoric seditionem against God's kingdom, and in its composition it shows clear signs of imitating the regnum of God.

So, when you act against the Kingdom of God, you are automatically executing the laws of the Diabolical kingdom.
 
mmmmnh mnatoka nje ya mwili mnaenda wapi?:noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea:
 
ASTRAL PROJECTION/Mental Projection......

Ni Ule Uwezo Wa Mtu Kutengana Na Mwili Wake Ki Fikra Katika Imani Husemwa Kiroho...

Kutoka Ap Humfanya Mtu Kwenda Popote Duniani Ki Mawazo Na Kufarijika Nafsi Yake Na Kujifunza Mambo Tofauti Ya Sehemu Jirani Na Kupaa Au Kupita Katikati Ya Ukuta Kama Mchawi Vile....

Ni Aina Ya Nguvu Ambayo Huwa Nayo Watu Wote Isipokuwa Katika Asilimia 100..
65% Ni Watu Wasioijua

25% Ni Watu Wanaoijua

10% Ni Watu Wanaoitumia..

Hatua Za Kufuata Ili Kusavei Nje Ya Mwili

Kuna Njia Mbili Za Kutoka Nje Ya Mwili Hapa Nitaielezea Moja...

Njia Hizo Ni:

1; self Astral P...

2: Astral By Binaural

HATUA ZA KUFUATA KWA NJIA YA KWANZA:

NI RAHISI TU....

1; Oga Na Vaa Nguo Safi Zisizo Bana

2: Lala Chali Mgongo Ukiwa Umenyooka Vema huku umefumba macho....

3: utapata vishawishi kujigeuza au kujitingisha vi ignore/ Usijishike wala kujitingisha kuwa kama soldier....

4: Usitingishe Macho Wala Kuchezesha Mwili Wako...

5: Subiri Na Uconcerntrate Kwenye Pumzi ( Hapa unakuwa unaudanganya ubongo kuwa mwili unaota)

6: ukiweza kujizuia Kujigeuza Geuza Au Kujikuna Ubongo Utajua Umelala Na Utaruhusu Mwili Kuachia Kinga Ya Paralysis Au Ganzi Salama Ya Mwili Mzima..
Ambayo Huwa Inakinga Miili Yetu Kutokujiumiza Wakati WA Kuota Mfano: sleep walking(unaota huku unatembea)

7: Wakati Hali Hii Inatokea Hapo Ndipo Unaweza Kujitenga na mwili wako ambao umepata ganzi....
tatizo hapa huwa lipo katika kujua ni upi mwili sahihi maana bado miili miwili inakuwa imeshikana

8: ukiamka na mwili wako wa ganzi kila kitu utakuwa umevuruga na utaamka kwenye mwili wenye ganzi (hii mimi ninauzoefu nayo pia unajiona upo macho lakini mwili hauamki wala kucheza unaganda ni kawaida ila huwa ni noma sana... haichukui muda ni kama sekunde 10 ukianza kujishtua au kujitingisha ila inashangaza kidogo wale wanafunzi wangu mnajua hapa namaanisha nini...

Sasa Je Utajua Vipi Kati Ya Miili Hii Upi Ni Sahihi?

Mbinu Rahisi Ipo Hivi Ukifikia Kwenye Hatua Hiyo Ya Kutoka.. Visualize Kwamba Una Mikono Mipya Na Miguu Mipya..
na ukishaingia kwenye hali hiyo hutokea set ya mingine

9: Baada Ya Hapo Inuka Katika Mwili Wako Wa Ndoto Sogea Mbele Hatua Tano Geuka Nyuma na Uangalie Mwili Wako Uliouacha.......

10: Hongera Umeweza Fanya Chochote Unachojiskia Hakina Madhara Kwenye Real World....

ANGALIZO:

Wakati Unautizama Mwili Wako Uliouacha Kuna Kitu Kina Kuwa Kimekuunga Na Ule Mwili Kama Silver cold Hivi Nyeupe Ya Kama Wingu Hiyo Ndio Hukusaidia Kurudi Hata Kama Umepotea Njia.....

Cc: Pasco , mshana jr , MziziMkavu

By: Rakims

Naomba unieleze mambo yafuatayo kwann yanatokea wakati mtu amelala chalii tu

i.kufikiri kwa makini na kulala chalii
ii.kupumzisha mwili(relaxing) na kulala chali.
iii.ndoto za ajabu mfano kupaa,kupambana na wanyama,mauaji na kulala chali.
iv.majinamizi(kujiskia km vke unanyongwa unapoteza pumzi) wakati umelala chali..
v.kutoka nje ya mwili(astral projection) wakati mtu amelala chali.
vi.mtu akifa analazwa chali.

Pia je mtu anapolala chali ubongo huwa anajisogea kwenda nyumaa toka utosini?
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu nimeipenda sana leo ni lazima nisafiri na safari yangu ya kwanza kwa obama
ASTRAL PROJECTION/Mental Projection......

Ni Ule Uwezo Wa Mtu Kutengana Na Mwili Wake Ki Fikra Katika Imani Husemwa Kiroho...

Kutoka Ap Humfanya Mtu Kwenda Popote Duniani Ki Mawazo Na Kufarijika Nafsi Yake Na Kujifunza Mambo Tofauti Ya Sehemu Jirani Na Kupaa Au Kupita Katikati Ya Ukuta Kama Mchawi Vile....

Ni Aina Ya Nguvu Ambayo Huwa Nayo Watu Wote Isipokuwa Katika Asilimia 100..
65% Ni Watu Wasioijua

25% Ni Watu Wanaoijua

10% Ni Watu Wanaoitumia..

Hatua Za Kufuata Ili Kusavei Nje Ya Mwili

Kuna Njia Mbili Za Kutoka Nje Ya Mwili Hapa Nitaielezea Moja...

Njia Hizo Ni:

1; self Astral P...

2: Astral By Binaural

HATUA ZA KUFUATA KWA NJIA YA KWANZA:

NI RAHISI TU....

1; Oga Na Vaa Nguo Safi Zisizo Bana

2: Lala Chali Mgongo Ukiwa Umenyooka Vema huku umefumba macho....

3: utapata vishawishi kujigeuza au kujitingisha vi ignore/ Usijishike wala kujitingisha kuwa kama soldier....

4: Usitingishe Macho Wala Kuchezesha Mwili Wako...

5: Subiri Na Uconcerntrate Kwenye Pumzi ( Hapa unakuwa unaudanganya ubongo kuwa mwili unaota)

6: ukiweza kujizuia Kujigeuza Geuza Au Kujikuna Ubongo Utajua Umelala Na Utaruhusu Mwili Kuachia Kinga Ya Paralysis Au Ganzi Salama Ya Mwili Mzima..
Ambayo Huwa Inakinga Miili Yetu Kutokujiumiza Wakati WA Kuota Mfano: sleep walking(unaota huku unatembea)

7: Wakati Hali Hii Inatokea Hapo Ndipo Unaweza Kujitenga na mwili wako ambao umepata ganzi....
tatizo hapa huwa lipo katika kujua ni upi mwili sahihi maana bado miili miwili inakuwa imeshikana

8: ukiamka na mwili wako wa ganzi kila kitu utakuwa umevuruga na utaamka kwenye mwili wenye ganzi (hii mimi ninauzoefu nayo pia unajiona upo macho lakini mwili hauamki wala kucheza unaganda ni kawaida ila huwa ni noma sana... haichukui muda ni kama sekunde 10 ukianza kujishtua au kujitingisha ila inashangaza kidogo wale wanafunzi wangu mnajua hapa namaanisha nini...

Sasa Je Utajua Vipi Kati Ya Miili Hii Upi Ni Sahihi?

Mbinu Rahisi Ipo Hivi Ukifikia Kwenye Hatua Hiyo Ya Kutoka.. Visualize Kwamba Una Mikono Mipya Na Miguu Mipya..
na ukishaingia kwenye hali hiyo hutokea set ya mingine

9: Baada Ya Hapo Inuka Katika Mwili Wako Wa Ndoto Sogea Mbele Hatua Tano Geuka Nyuma na Uangalie Mwili Wako Uliouacha.......

10: Hongera Umeweza Fanya Chochote Unachojiskia Hakina Madhara Kwenye Real World....

ANGALIZO:

Wakati Unautizama Mwili Wako Uliouacha Kuna Kitu Kina Kuwa Kimekuunga Na Ule Mwili Kama Silver cold Hivi Nyeupe Ya Kama Wingu Hiyo Ndio Hukusaidia Kurudi Hata Kama Umepotea Njia.....

Cc: Pasco , mshana jr , MziziMkavu

By: Rakims
 
Mimi imewahi kunitokea mara kadhaa nikiwa nimelala chali. Afadhali nimejua chanzo.
 
Duh ni noma nmefanya sahv nmejickia km nataka ku paralize nikafumbua macho fasta duh hatar
 
mmmmnh mnatoka nje ya mwili mnaenda wapi?:noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea:

Mda huu huko na nani kitandani? Kama upo mwenyewe hebu jaribu bila kuogopa tutakutana ktk hali mpya..
 
Unazania kuwa unajua kila kitu. Vitu vyote unaviongelea mimi nimefanya zamani sana, hata kujua bruce lee alikufaje nimejua kwa astra projection au nikwambie mengine ambayo hayajawahi andikwa na kitabu chochote Rankims. Initiation Mwaka 1983, nimepita ngazi zote.

Good 4 You!

"Rakims"
 
Haya poa,nisubiri... nisikute umekufa tu...:lol::lol:

Kuna Maeneo Ya Chitchat Na Jokes Humu Humu But Dis One Is Intelligence ningetaka Kufurahisha Huu Uzi Kwa Jokes Ningepeleka Huko Lakini Hapa Nimepostia Wapo Wanaotumia Akili Nyingi Nguvu Kidogo.. Even If Your Not Just Try To Differentiate Haya Majukwaa Ok? Jestina Na Mwenzio Au Kama Mmependa Kufanyia Utani Huu Uzi Waweza Ucopy Kule Mkauchezee Vizuri...
msiamshe hisia zilizozikwa zamani sana...

Rakims
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom