Rakim
Mkuu Rakims, naomba kusisitiza astra projection ni astra projection tuu!, kwa kifupi unafundisha watu kufanya "out of body!"
sijakataa wewe kutoa mafunzo, ila nimekutahadharisha wafundishe hao wanafunzi wako, the consequences za out of body!, hiyo silver cord ni kama utando wa buibui!, mtu ukiwa kwenye out of body, ukitingishwa, inakatika na ndio safari!.
Haya yote ni 'power manifestation', wafundishe hao wanaotaka kutoka out of body, wanatoka ili iweje?!.
Hizi stages za juu sana na zinafanywa kwa lengo maalum, naona wewe kama unawafundisha watu humu wafanye astral projection for fun!.
Kwa wale wasomaji wa uzi huu, nawasisitizia "don't try do anything you real don't know!". Na kwa wenye nia ya kufanya, kabla hujafanya kitu chochote, lazima kwanza ujiulize "what for", na swali la pili, "do I have to do this?!", yaani unafanya ili iweje?, na jee ni kweli unahitaji kwenda "out of body?!." ili ukafanye mini?!.
Kwa msio jua, hizi ni powers ambazo kila mmoja wetu anazo!, hata bila kufuata maelekezo yoyote ya Rakims, watu wengi hutokewa na "out of body" bila kijua, na mfano mzuri ni ndoto za majinamizi, wengi hujikuta awake lakini hawezi kutingisha mwili au kupiga kelele, ni katika kule kustrain, ndipo unaamka na kijasho juu huku unahema!.
Wachawi na wanga, kabla hawamchukua mtu, humpiga hiyo ganzi, nyinyi mnamuona kalala, kumbe analimishwa usiku kucha!.
Wachawi wote hutumia hii out of body kukutana na kupanga mambo yao, hivyo kwenda out of body bila guidance, una bog chances au kukumbwa na wazee wa kupaa usiku ukaenda kufanyiwa initiation za kushiriki zile "karamu zao za usiku", na kuonjeshwa!, ukishaonja tuu!, huachi!.
Angalieni msiwapoteze watu wakajikuta wanaenda kusiko, na mwisho wa siku ni 'ever forward!, no turning back!"
Please watch out na kuweni waangalifu sana!.
Waponyaji wanazitumia nguvu hizi kuponyeshea, na wachawi wanazitumia kulogea!.
Masikini wanashindwa kuzitumia kwa kutojua, na matajiri, wanazitumia kutajirikia!.
Ningefurahi kama mafunzo yangekuwa how to use them to make a difference and not how to use them for fun!, kujifurahishia tuu!.
Pasco