Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)


FYI: The two great spiritualia realities which face all of humans are God’s Kingdom and Satan’s regnum. The Omnipotent God has supreme auctoritate over the universe, and He is served by a large number of anguli and humans. The devil’s counterfeit regnum arose from a prehistoric seditionem against God’s kingdom, and in its composition it shows clear signs of imitating the regnum of God.

So, when you act against the Kingdom of God, you are automatically executing the laws of the Diabolical kingdom.

Unaongea kitu ulichokisoma au ulichoambiwa kuwa ndiohivyo, kuambiwa au kuaminishwa sio kujua ukweli. God Exists everywhere, he existedbefore, now and after, God is not limited with time or space and for thatmatter I do not see the existing of Satan. It is only your mind that createsqualities, space and time. Only mind makes you see good and bad qualities inthings. To acquire god’s knowledge you must transcend your mind, realizedyourself existing beyond forms and mind (we call it, self realization). IT ISONLY WHEN WE KNOW OUR TRUE NATURE; REALLY WHO WE ARE THEN WE CAME CROSS WITHTHE TRUTH THE REALY GOD. No One can teach about it, no one can express in words,there no book can make you understand, no mind can comprehend god. God existbeyond word, beyond thoughts like you.
r a certain book,
 
Mkuu Rakim na wengine wote wenye ufahamu na Elimu hii... heshima kwenu!
Hali hii nilikuwa nayo wakati nipo mdogo, takribani miaka 6-8 nilikuwa na uwezo wa kufanya yote ambayo umezungumzia ila zaidi ni kwamba usiku nilikuwa natoka chumbani kwetu watoto hadi hadi nje nikiwa katika hali hiyo na kucheza na mbwa wangu ambao niliwapenda kipimo. Hata hivyo nilipenda zaidi kupaa na nilifanya hivyo mara nyingi nilipokuwa nimeachwa nyumbani peke yangu. Kwa sasa hali hiyo haipo tena. Je kuna sababu zozote za kitaalamu kuhusu kupoteza uwezo huo kwa ajili ya umri? Na kwa nini nilikuwa na hali hiyo wakati wa utotoni ambapo sikuwa na elimu yoyote kuhusu hilo?
Asante.
 
Mkuu Rakim na wengine wote wenye ufahamu na Elimu hii... heshima kwenu!
Hali hii nilikuwa nayo wakati nipo mdogo, takribani miaka 6-8 nilikuwa na uwezo wa kufanya yote ambayo umezungumzia ila zaidi ni kwamba usiku nilikuwa natoka chumbani kwetu watoto hadi hadi nje nikiwa katika hali hiyo na kucheza na mbwa wangu ambao niliwapenda kipimo. Hata hivyo nilipenda zaidi kupaa na nilifanya hivyo mara nyingi nilipokuwa nimeachwa nyumbani peke yangu. Kwa sasa hali hiyo haipo tena. Je kuna sababu zozote za kitaalamu kuhusu kupoteza uwezo huo kwa ajili ya umri? Na kwa nini nilikuwa na hali hiyo wakati wa utotoni ambapo sikuwa na elimu yoyote kuhusu hilo?
Asante.

Ahsante Kwa Kuchangia Mkuu Jibu Langu Litoe Hapa Kwenye Haya Maswali!!

1: je, kipindi hicho ulikuwa unajua kusoma?

2: kipindi hicho ulikuwa unawaza upate wapi mwanamke?

3: kipindi hicho ulikuwa unamaskitiko moyoni ya kukosa pesa?

mengi na zaidi ya hayo hukuwa nayo kipindi hicho msongo wa mawazo....

mawazo ndio hupelekea kudumaza subconscious mind na kushindwa kukupa utambuzi Sahihi fanya zoezi hili mkuu hali hiyo itarudi na kwa haraka maana una experience nayo...

umesema unacheza na mbwa sie wengine huwa tunawatisha paka na kuwakimbiza just kama mchezo vile....

"Rakims"
 
Pasco Ni kweli unayoyasema ndio maana kuna mambo mengine hayafai watu kufundishwa akikosea ndio anakufa moja kwa moja mimi huwa sipendi kujaribu kitu kwa njia ya Riski.

Mimi huwa inatokea sio kila siku kusafiri wakati nipo ndani ya usingizi nikikusudia huwa ndio ninasafiri na sio kwa nia mbaya bali kutembea na kujionea mwenyewe ulimwengu jinsi ulivyo ingawa ukizoea utaona raha lakini sio nzuri kusafiri ndani ya ndoto unaweza unakokwenda usirudi tena ulipo toka. nimekuelewa Mkuu Pasco.

We mzee MziziMkavu ninaona na nina kila sababu ya kuamini kwamba wewe ni mchawi. Kuna thread moja nimekunukuu, ya jamaa anauliza "kama hujihusishi na uchawi unaweza kurogeka". Ukajibu kwa kisa kirefu cha kichawi.

Sasa hapa nina jibu. Wafundisheni watu uchawi ili watusumbue. Sasa unawanga ili iweje? Huko ni kuwanga

cc: Pasco
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Rakims, umenisaidia kukumbuka kitu. Wakati hayo yanatokea nilikuwa Arusha. Niliporudi Dsm hiyo hali ikapotea. Mazangira yanaweza kuwa factor?
 
Unaongea kitu ulichokisoma au ulichoambiwa kuwa ndiohivyo, kuambiwa au kuaminishwa sio kujua ukweli. God Exists everywhere, he existedbefore, now and after, God is not limited with time or space and for thatmatter I do not see the existing of Satan. It is only your mind that createsqualities, space and time. Only mind makes you see good and bad qualities inthings. To acquire god's knowledge you must transcend your mind, realizedyourself existing beyond forms and mind (we call it, self realization). IT ISONLY WHEN WE KNOW OUR TRUE NATURE; REALLY WHO WE ARE THEN WE CAME CROSS WITHTHE TRUTH THE REALY GOD. No One can teach about it, no one can express in words,there no book can make you understand, no mind can comprehend god. God existbeyond word, beyond thoughts like you.
r a certain book,
I know what I said, and I do what I confess. Mimi sio mkaririshwa kama huyo jamaa yako.
 
We mzee MziziMkavu ninaona na nina kila sababu ya kuamini kwamba wewe ni mchawi. Kuna thread moja nimekunukuu, ya jamaa anauliza "kama hujihusishi na uchawi unaweza kurogeka". Ukajibu kwa kisa kirefu cha kichawi.

Sasa hapa nina jibu. Wafundisheni watu uchawi ili watusumbue. Sasa unawanga ili iweje? Huko ni kuwanga

cc: Pasco
hahaha unanifurahisha sana mimi siujuwi uchawi wala mambo ya kuwanga siyajuwi kabisa ndugu bowlibo Laiti kungelikuwepo uchawi wa kumfanya mtu awe Tajiri ningejifunza lakini hakuna uchawi wa kumnfanya mtu awe Tajiri kwanini nijifunze uchawi wa kuwadhuru watu? Mimi nilieleza jinsi nilivyo wahi kutaka kudhuriwa na bibi jirani yangu alikuwa ni mchawi kwenye hiyo Thread uliyosoma wewe sikuwa na maan mimi ni Mchawi au ninaujuwa uchawi ndugu jaribu kunielewa vizuri. Mimi ni MziziMkavu Hauchimbwi Dawa ndivyo ninavyoitwa na ndio jina langu fikiria utakavyo fikiria nitabaki hivyo hivyo MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.
 
I know what I said, and I do what I confess. Mimi sio mkaririshwa kama huyo jamaa yako.
To know is to be, to know the stone you must be that stoneor one with the stone, to know GOD you must be one with GOD otherwise you don'tknow at all. That why it is said before knowing anything in the world start by knowingyourself first, because everything start in you and end with you.
 
To know is to be, to know the stone you must be that stoneor one with the stone, to know GOD you must be one with GOD otherwise you don'tknow at all. That why it is said before knowing anything in the world start by knowingyourself first, because everything start in you and end with you.
There is a difference between "TO" know and "I" know. You need to get your facts correct. I SAID I KNOW.
 
There is a difference between "TO" know and "I" know. You need to get your facts correct. I SAID I KNOW.

Na uhakika unaongea kitu ambachohukijui kabisa, Umeshasema kuna wewe na "God's kingdom","Satan's regnum","actagainst the kingdom of god" . Kwa sababu wewe sio mungu, wala haukokwenye ufalme wa mungu, au jehanamu basi wewe hujui unachokiongea. Na ndiomaana badala ya kusoma kama historia kwenye vitabu vya dini au kuhubiliwa namapadri na mashehe na kuamini kuwa huo ndio ukweli (realities), ulipaswa kwanzaujue mungu ni nini? Lakini kabla ya kumjua mungu na maumbile yote yaliombeleyako ni busara zaidi kujua wewe ni nani na unaishi kwa ajili ya nini? Unapaswakufanya nini katika maisha yako, unauhusiano gani na maumbile ya kuzungukayounapaswa kuyafanyia nini? au maumbile yakuzungukayo yanapaswa yakufanyie nini?Kabla ya kujaji eti kitu gani kizuri na kipi kibaya. Kama tulipaswa kuhusishwana mazuri, mabaya yako kwa ajili gani? Kama mabaya yasingelikuwepo ungelitambuajematendo na mambo mazuri? Kila swali nililo uliza hapa jibu unaloila hutakikujaribu kujiuliza, hivi nani alikufundisha kutambua rangi nyekundu? Wazazi nawalimu wako walikufundisha inaitwaje kwa lugha zao. Wewe unapambanua ufupi kwaurefu, wembamba kwa unene, weupe kwa ufupi. Sasa kama ufupi usingelikuwepo basipasingelikuwepo na urefu, vivyo hivyo ubaya usingelikuwepo usingeli jua uzuri.Lakini pia jee unachokiona, unachokisikia, unachokionja na kukigusa ndioukweli? (Is it real) Nani anaona, nanianasikia, nania anonja, on other hand anasikia nini? Anona nini? Kuna uuhusianogani kati ya anaeona na kinachoonekana? Kwa ufupi sana tunapaswa kudadisi ndiotrue nature yetu kwani hata mototo mdogo always anadadisi sio mbaya na weweuendelee kudadisi, usishie kupewa majibu ya kirahisi na ukalizika. Dini niimani tuu sio sio mwisho wa safari yetu, ni kweli lazima tuamini kwamba munguyuko lakini jee kuamini hivyo inatosha, kwanini hatuliziki hata baada ya kuwana imani kubwa, kwanini tunakuwa na wasiwasi. Maisha yetu yanakwenda na Elimuna Uzoefu kwani hata Nabii Issa (Yesu) alikuwa anaitwa mwalimu na wafuasi wakewaliitwa wanafunzi, panakuwa na mwalimu na mwanafunzi kiacho waunganisha ni Elimu.Ukiona mtu kama Rankim anaongelea kitu ambacho hukijui ni vizuri kujifunzakuliko kuamini kwamba unajua sana na anachokifundisha ni ujinga au ni dhambi.Kwa taarifa yako hakuna dhambi kama vile hamna tendo la neema. Matendo nimatendo tuu yako sawa kwenye jicho la haki kwani kilo ulionalo, ulisikialo,ulilao na zawadi na matendo.
 
Na uhakika unaongea kitu ambachohukijui kabisa, Umeshasema kuna wewe na "God's kingdom","Satan's regnum","actagainstthe kingdom of god" . Kwa sababu wewe sio mungu, wala haukokwenye ufalme wa mungu, au jehanamu basi wewe hujui unachokiongea. Na ndiomaana badala ya kusoma kama historia kwenye vitabu vya dini au kuhubiliwa namapadri na mashehe na kuamini kuwa huo ndio ukweli (realities), ulipaswa kwanzaujue mungu ni nini? Lakini kabla ya kumjua mungu na maumbile yote yaliombeleyako ni busara zaidi kujua wewe ni nani na unaishi kwa ajili ya nini? Unapaswakufanya nini katika maisha yako, unauhusiano gani na maumbile ya kuzungukayounapaswa kuyafanyia nini? au maumbile yakuzungukayo yanapaswa yakufanyie nini?Kabla ya kujaji eti kitu gani kizuri na kipi kibaya. Kama tulipaswa kuhusishwana mazuri, mabaya yako kwa ajili gani? Kama mabaya yasingelikuwepo ungelitambuajematendo na mambo mazuri? Kila swali nililo uliza hapa jibu unaloila hutakikujaribu kujiuliza, hivi nani alikufundisha kutambua rangi nyekundu? Wazazi nawalimu wako walikufundisha inaitwaje kwa lugha zao. Wewe unapambanua ufupi kwaurefu, wembamba kwa unene, weupe kwa ufupi. Sasa kama ufupi usingelikuwepo basipasingelikuwepo na urefu, vivyo hivyo ubaya usingelikuwepo usingeli jua uzuri.Lakini pia jee unachokiona, unachokisikia, unachokionja na kukigusa ndioukweli? (Is it real)Nani anaona, nanianasikia, nania anonja, on other hand anasikia nini? Anona nini? Kuna uuhusianogani kati ya anaeona na kinachoonekana? Kwa ufupi sana tunapaswa kudadisi ndiotrue nature yetu kwani hata mototo mdogo always anadadisi sio mbaya na weweuendelee kudadisi, usishie kupewa majibu ya kirahisi na ukalizika. Dini niimani tuu sio sio mwisho wa safari yetu, ni kweli lazima tuamini kwamba munguyuko lakini jee kuamini hivyo inatosha, kwanini hatuliziki hata baada ya kuwana imani kubwa, kwanini tunakuwa na wasiwasi. Maisha yetu yanakwenda na Elimuna Uzoefu kwani hata Nabii Issa (Yesu) alikuwa anaitwa mwalimu na wafuasi wakewaliitwa wanafunzi, panakuwa na mwalimu na mwanafunzi kiacho waunganisha ni Elimu.Ukiona mtu kama Rankim anaongelea kitu ambacho hukijui ni vizuri kujifunzakuliko kuamini kwamba unajua sana na anachokifundisha ni ujinga au ni dhambi.Kwa taarifa yako hakuna dhambi kama vile hamna tendo la neema. Matendo nimatendo tuu yako sawa kwenye jicho la haki kwani kilo ulionalo, ulisikialo,ulilao na zawadi na matendo.
Bogus reply
 
Back
Top Bottom