Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,002
- 4,571
- Thread starter
- #221
Haa...! Mimi mimi huchelewa kulala kwa kuhisi nina weza kufa au naviziwa.! Maana naweza kuanza kupata tu usingizi bac ghafla najiona kama naelea halafu kama mwili unaanza ganzi lakini inasaambaa kwa kasi sana na huhisi kama navutwa niondoke flani.sasa mimi hujikurupusha kukaribia kudondoka chini maana huwa kama navuta na kitu.baada ya hapo usingizi wangu ni wa nusu macho nasikia na kuhisi kila kitu hata kujiuliza usingizini lakini nimelala flani.matokeo asubuhi naamka nimechoka choka.naomba msaada wako kwa hili nasumbuka nalo miaka yote.
FAnya Haya: Jitahidi Kuacha kuangalia scary movies, jitahidi kabla ya saa tatu usiku uwe umeshakula na chakula kiwe laini... jitahidi kulala masaa mawili au zaidi baada ya kula, jitahidi kulala kabla ya kuanza kusinzia hovyo, jitahidi kuomba ulinzi wa mwenyezi mungu kabla ya kulala... jitahidi kuoga wakati wa usiku masaa mawili kabla ya kulala.....