Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Nimeijaribu hii kitu kwa kufuata maelekezo yako yote lakini hali yangu ilibaki vile vile kwa zaidi ya nusu saa tangu nilipojilaza. Labda unijuze inachukua muda gani mpaka hatua zote kukamilika?
 
Nimeijaribu hii kitu kwa kufuata maelekezo yako yote lakini hali yangu ilibaki vile vile kwa zaidi ya nusu saa tangu nilipojilaza. Labda unijuze inachukua muda gani mpaka hatua zote kukamilika?

Sik nzima
 
YES, you can

"Rakims"

Wow thanks Mkuu ila daah roho inaniuma Jana ucku nimejaribu mida ya SAA tano nikashindwa lao asubuh nimejarb nikashindwa lakn bado mpaka niweze tatizo nikifumba macho kiasi flan hivi kama hayatulii yaii
 
huu ni mrejesho kama nilivyoahidu jana. Kifupi sikufanikiwa, lakini ili nifanikiwe nitahitaji ufafanuzi zaidi au majibu ya maswali yafuatayo. Pia kama kuna la kurekebisha nirekebishe ili nifanikiwe na mie kutoka kwenye huu mwili.

1. Hivi natakiwa nilalaje? unaweza weka angalau picha ya huo mlalo? nilale chini au hata kitandani poa?

2. sikuwa peke yangu nyumbani lakini nilikuwa peke yangu sebuleni. Je hii inaweza kuwa ndio sanabu ya kufeli kwa zoezi langu?

3. kwa mbaaali kulikuwa na mziki kwa hiyo kuna muda nilikuwa nashindwa kujizuia kusikia baadhi ya nyimbo. Je hii inaweza kuwa sababu ya kudhindwa kwamba palitakiwa oawe compleately kimya?

4. pia wakati nimelala nilikuwa constanly nawaza what might happen huku nimekoncentrate kwenye pumzi. Ilifika mahali nilianza kuhesabu pumzi kinyumenyume kuanzia mia hadi sifuri ila sikupata matokeo.

Nini cha zaidi nifanye ili nifanikishe, nirekebishe wapi? niongeze kipi? ukinijibu nitajaribu na kuleta ufafanuzi hapa hapa.
 
Rakims

Mkuu Rakim thankx for ur contribution.Nasikia hata Yule mwanamuziki Pepe Kale ilikuwa ni kawaida yake usiku kutoka nje ya mwili wake.Sasa wakati Pepe kale anarudi kwenye mwili wake akakuta wife wake anamwamsha

lakini haamki mpaka wife akapiga kelele Watu wakaja till pronounced dead.Hapo ndiyo akashindwa tena kuingia na ikawa kifo cha Pepe Kale.Hili unalielezeaje mkuu?Au ndicho anachomaanisha Pasco?Muchas Gracias.
 
Last edited by a moderator:
Rakims.

kuna siku nilikuwa nasoma kitabu usiku nikachoka nikaamua kuzima taa na kulala baada ya dakika tatu nikasikia mtu anatembea kukaribia dirisha langu mara akasimama nikaanza kusikia anafungua kurasa za kile kitabu mimi nimelala sijui kama ilikuwa usingizi au la.

uoga ukanishika sana ikabibidi nitulie kimya bila kutingishika nijue anataka kufanya nini. wakati huo chumba ni giza totoro. baadaye nikasikia anaondoka taratibu kuja kustka ni asubuhi na kurasa niliacha ipo vilevile. je hiyo nayo astral projection?
 
Nimeijaribu hii kitu kwa kufuata maelekezo yako yote lakini hali yangu ilibaki vile vile kwa zaidi ya nusu saa tangu nilipojilaza. Labda unijuze inachukua muda gani mpaka hatua zote kukamilika?

pale unapoanza kupitiwa usingizi ndio safe paralysis huwa activated sasa ili kufikia hali hiyo yani chukulia mfano hapo umesimama ukilala ndio umelala hakuna kugalagala hata kufukuza mbu kadri unavyojitingisha ndio unavyozidi kusogeza muda mbele wa kuactivate hiyo paralyzer mkuu...

"Rakims"
 
Wow thanks Mkuu ila daah roho inaniuma Jana ucku nimejaribu mida ya SAA tano nikashindwa lao asubuh nimejarb nikashindwa lakn bado mpaka niweze tatizo nikifumba macho kiasi flan hivi kama hayatulii yaii

inabidi ufanye mazoezi ya kutulia na kutuliza macho ukilala ukiweza hayo unakuwa unaweza kufikia hiyo sehemu..

"rakims"
 
Back
Top Bottom