Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,545
isije kuwa kuna ka uchawi ndani yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni nzuri ila nahitaji maelezo zaidi ili hofu na mashaka yaishe maana tayali tushatahadharishwa kwamba unaweza fanya hivyo na ndo ikawa kwaheri
Kipengele namba nane ni kweli hata mimi nathibitisha, huwa mara nyingi tu huwa nastuka usingizini, nafumbua macho kabisa ila siwez fanya chochote, mwili ni kama si wangu, halaf ghafla napata nguvu, unaweza kuielezea hii kwa undani zaidi?
ungekuwa unajua hapo ungevuta pumzi tatu za kawaida huku umetulia ukatoka hapo hapo pembeni unajiangalia halafu unarudi ndio mwanzo wa experience huo mkuu
@-----
Ahsante Kwa Maswali Ya Point....
1: Kutingisha Machp Ni Pale Kukatisha Macho Kona Yaani Ukiwa Umelala Macho Unakuwa Umefumba Yameangalia Sehemu Moja...
2: hapo ulipo hujui kama unapumua lakini mtu akikukumbusha ndio unahisi upepo unaingia puani na kutoka kuconcertrate ni kuiskilizia hiyo pumzi maana ukiisahau usingizi unakupitia na zoezi haliendelei utakuwa umelala kawaida tu...
3: ukilala kitandani ni muda gani usingizi unakuchukua? basi ni sekunde kumi sijazo hizo safe paralysis inaachiwa...
4: ndio utajikuta umeshtuka kama kutoka usingizini halafu hautingishiki popote hata vidole zaidi ya macho tu... na haikai muda zaidi ya sekunde 10 mkuu.....
Threesixteen Himself
"Rakims"
!
!
aiseee!Nimegundua kuwa nilishawahi kufika hiyo stage ya kushtuka na kujikuta katika hali hiyo. Ila nikaishia kuogopa tu, mpaka nikajilazimisha kuamka nikaamka maisha yakaendelea. Okeey. Sasa nimejua kuwa nawezaje kufika hapo kwa kukusudia. Nitakupa mrejesho.
Nitajaribu ikinitokea tena, ila naogopa nisijeenda mazima, tho mi huwa inatokea hata nikiwa nimelala kifudifudi
ukitaka kuamini fanya halafu uishie pale kwenye ganzi ndio utaamini u can o cant
"Rakims"
Ni kweli unayoyasema ndio maana kuna mambo mengine hayafai watu kufundishwa akikosea ndio anakufa moja kwa moja mimi huwa sipendi kujaribu kitu kwa njia ya Riski
mimi huwa inatokea sio kila siku kusafiri wakati nipo ndani ya usingizi nikikusudia huwa ndio ninasafiri na sio kwa nia mbaya bali kutembea na kujionea mwenyewe ulimwengu jinsi ulivyo
ingawa ukizoea utaona raha lakini sio nzuri kusafiri ndani ya ndoto unaweza unakokwenda usirudi tena ulipo toka. nimekuelewa Mkuu Pasco
Naona mmeamua kutoa somo la ulozi sio...
usitingishe macho wala kuchezesha mwili, ni kama maiti vile.
kulala chali ni kama maiti inavyolala
usishawishike kijigeuza, hata maiti hutamani kufanya hivyo kwa sabb maiti anawasikia ila tu haiwezi kurespond
mchezo mzima huo, ni kama al-mait havina tofauti