Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mwisho Wa Siku Huo Unakua Ushetan Jaribuni Kufanya Wanye Kutaka Kusafiri Bila Kupanda Ndege
 
mm hio hali naipataga nikiwa ndotoni ndo najionaga kua hapa naota nafanyannachotaka
 
Niliwahi kuifanya hii kitu mwaka 1998, nilifanya kama mara mbili hivi, niliweza kwenda popote. Sikuifurahia hii hali, niliamua kuachana nayo ingawa ilikua ni ngumu sana.
Hadi sasa bado kuna nguvu fulani nahisi imo ndani yangu, hasa kujua jambo ambalo sikuwepo huwa hata tukio likiwa limeshatokea kuna kipindi nahisi kama tukio linaji rewind kichwani jinsi ilivyokuwa ili hali sikuwepo.
Nilichoamua ni kuzipuuza kabisa hisia hizo.
Ni hali inayokera sana, sijui kwa vipi watu wanavutiwa nayo!!
 
natafuta anae weza nifundisha, maan na hamu sana nifike mwezini
 
Muungwana ni kitendo
 
Mfano mm nataman kujua ili nitatue baadhi ya changamoto znazonitatiza unawez nisaidia niweze km wew then ntaacha
 
Mfano mm nataman kujua ili nitatue baadhi ya changamoto znazonitatiza unawez nisaidia niweze km wew then ntaacha
Mkuu, Maisha yako ni mazuri sana, kuna vitu si vya kutamani. Labda kwa kuwa tunatofautiana inawezekana ukaipenda hali hiyo!
 

NB:Ukinogewa kuzurula nje ya mwili unatoka nje ya mwili jumla(unakufa)
Kuna siku nilibahatika kuvinjari Mwanza,Arusha na Tanga kwa masaa matatu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…