Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

ni nzuri ila nahitaji maelezo zaidi ili hofu na mashaka yaishe maana tayali tushatahadharishwa kwamba unaweza fanya hivyo na ndo ikawa kwaheri
 
Rakims

Kipengele namba nane ni kweli hata mimi nathibitisha, huwa mara nyingi tu huwa nastuka usingizini, nafumbua macho kabisa ila siwez fanya chochote, mwili ni kama si wangu, halaf ghafla napata nguvu, unaweza kuielezea hii kwa undani zaidi?
 
Last edited by a moderator:
Threesixteen Himself,


Ahsante Kwa Maswali Ya Point....

1: Kutingisha Machp Ni Pale Kukatisha Macho Kona Yaani Ukiwa Umelala Macho Unakuwa Umefumba Yameangalia Sehemu Moja...

2: hapo ulipo hujui kama unapumua lakini mtu akikukumbusha ndio unahisi upepo unaingia puani na kutoka kuconcertrate ni kuiskilizia hiyo pumzi maana ukiisahau usingizi unakupitia na zoezi haliendelei utakuwa umelala kawaida tu...

3: ukilala kitandani ni muda gani usingizi unakuchukua? basi ni sekunde kumi sijazo hizo safe paralysis inaachiwa...

4: ndio utajikuta umeshtuka kama kutoka usingizini halafu hautingishiki popote hata vidole zaidi ya macho tu... na haikai muda zaidi ya sekunde 10 mkuu.....
Threesixteen Himself

"Rakims"
 
Last edited by a moderator:
Mi lazima nijaribu...

Kwani wengine wameweza wana nini hata mimi nishindwe nina nini...

fanya mkuu ndio utajua wanachosema ni kipi angalau hata ufikie kwenye safe paralysis ili uprove ni mida gani ile ganzi inakuwepo...
Tuko
 
Last edited by a moderator:
ni nzuri ila nahitaji maelezo zaidi ili hofu na mashaka yaishe maana tayali tushatahadharishwa kwamba unaweza fanya hivyo na ndo ikawa kwaheri

hiyo ya kufa kufa hovyo ni ya wengine hii hamna aliewahi kuamka hata anaumwa.....

hiyo ya kufa ya imani imani na uchawi umetoka ukamuue mwenzio kichawi kakuzidi upo uchi sijui matunguli haiusiani hapa kama unaogopa wataleta wenzio feedbak utaziona no need to worry...
MWANAKA
 
Last edited by a moderator:
Kipengele namba nane ni kweli hata mimi nathibitisha, huwa mara nyingi tu huwa nastuka usingizini, nafumbua macho kabisa ila siwez fanya chochote, mwili ni kama si wangu, halaf ghafla napata nguvu, unaweza kuielezea hii kwa undani zaidi?

ungekuwa unajua hapo ungevuta pumzi tatu za kawaida huku umetulia ukatoka hapo hapo pembeni unajiangalia halafu unarudi ndio mwanzo wa experience huo mkuu
@-----
 
NB: Kurudi Kwenye Mwili Wako Ukitaka Unarudi Tu Bila Tatizo Wala Kuukosa Hakuna Tatizo... Waweza Hata Kufumba Macho Ukataka Ukifumbua Uamke Kwenye Mwili Wako Unaamka au unagonga kidole au unajiambia ni muda wa kuamka

unaamka binafsi huwa narudi zangu kwenye mwili wangu nikiusogelea karibu zaidi au kutaka kuugusa naamka


Rakims
 

Aiseee!Nimegundua kuwa nilishawahi kufika hiyo stage ya kushtuka na kujikuta katika hali hiyo. Ila nikaishia kuogopa tu, mpaka nikajilazimisha kuamka nikaamka maisha yakaendelea.

Okeey. Sasa nimejua kuwa nawezaje kufika hapo kwa kukusudia. Nitakupa mrejesho.
 

Itakuwa Vizuri Ukiutoa Hapa Huo Mrejesho Ili Tupunguze Na Tongotongo Za Wengine

Threesixteen Himself
 
Last edited by a moderator:
Nitajaribu ikinitokea tena, ila naogopa nisijeenda mazima, tho mi huwa inatokea hata nikiwa nimelala kifudifudi

fanya zoezi hilo utatoka bila hata tatizo wala hamna tatizo... kuna watu akiamka anakuta mwili unaganzi wengine wanaweweseka hawajui hapo waweza kupata mambo mazuri....

@-----
 


Kwa hiyo braza wewe ushasafiri na kwenda wapi na wapi hasa? Je hii kitu unaweza kusafiri na ukavuka bara?
 


Kwa hiyo kifupi ni UCHAWI huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…