Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Cc:Rakims
Mkuu ina maana within those 10sec uwetayari ushatambua mikono yako na kunyanyuka haraka? au ukiweza kutambua within those 10sec ndo itaendelea kudumu kwa mda mrefu and you will be good enough to go?
 
Hii hali inanikuta sana tena mara kwa mara ua nahis nimekufa màana najionaga nimelala pembeni kabisaa afu mimi nimesimama pembeni nilisha ongea na watu wengi sna kujua chanzo ni nini kumbe ni hivi! Lol!!! Nina wiki tu tena imenikuta hii hali na maranyingi mchana nikiwa nimepumzikà!!! Yesuuu!! Ndio ma nini sasa haya!!
 

Try to use hiyo condition and usisahau kurudisha matokeo.
 
Try to use hiyo condition and usisahau kurudisha matokeo.
This is true, Honestly ina tisha sana! Once i was sleeping i woke up and start walking kutoka chumbani kwenda sitting room lakini nilipofika kwenye mlango kuna kama pazia i felt the differnce nilikua na jihis mwepes sana nikageuka nyuma nikajiona nimelala tena kwenye kitanda nili shtuka sana i thought i was dead nikaanza kurudi ku prove is that rel from there sijui nini kilitoke ila nakumb niliamka kama siko sawa!!
 
Did you notice the silver cold btn you and the body?
 
Heri yako unatoka hivyo sie wengine tuna practise kweli kweli lakini mafanikio bado dah. I wish ningekua wewe ghafla.
 
Did you notice the silver cold btn you and the body?
Ukweli sikua najua chochote leo ndio nimepata kujua baaada ya kusoma hapa, nilisha kwenda mpaka kuomba na kuweka novena kanisani!!!

Na hii hali inanitokea mara kwa mara! Nimesoma hapa nimeshtuka sana whats wrong with me sasa!!! Maaana siezi maliza wiki mbili sijakutana na hii hali na mara nyingi inantokea mchana nnaposema nijipumzishe pindi ntokapo kazini!!! Why???
 
Heri yako unatoka hivyo sie wengine tuna practise kweli kweli lakini mafanikio bado dah. I wish ningekua wewe ghafla.
Usiombe ndugu yangu, ivi picture umelala umeamka afu unajiona bado umelala mpaka saiz sijaridhishwa na maelezo hata ya hapa, ni kweli hii hali ipo na mimi ni victim wa hii kitu mara kwa mara na maranyingi naaaangaika sana kuamka!!!

Sometimes weekends umemaliza shughuli ndogo ndogo unajipumzisha labda sitting unaangalia tv nikipitiwa tu usingizi ni shida sanaaaa!!!! any one to tell me any how to stop this!! It is scarry jamni!!
 
Me too,yaan nikipata lunch then nilale hapo ntajiona nko macho halafu naona kila kitu jla nashndwa kujongea,watu wa kando yangu nakuwa nawasikia vhema ila siwez kuwacontact...inaogofya kweli.
 

Pole sana. Kwa upande wangu ilitokea na sio kuota bali ni kuhisi kama unavutwa hivi nikiwa nimelala kifudifudi, then nkishtuka na siz kama sec kadhaa ndo naamka.
I remember once nilipiga ngumi mto.
 
Dah kweli lakini maana kama hujui ni nini lazima uogope sana, Kuuona mwili wako pembeni sio mchezo aisee.
 
kama hauitaki hii hali, jifunze ku icontrol.
Ondoa uoga kwanza kwa sababu hii ni
kawaida sana.
Ukiwa katika hali hii just relax na kama unataka kuamka jaribu kufumba macho kisha waza sasa kama unataka kuamka huku ukiwa na nia ya kutaka kuamka!!
Utajikuta tuu unafumbua macho katika mwili wa kawaida.
 
Mkuu elimu hii ungepaswa uitoe chini ya usimamizi wako ili tusije tukapotea tukaacha watt hawana wa kuwalea

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kila jambo duniani lina faida zake so usiseme ujinga

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…