Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mkuu kila jambo duniani lina faida zake so usiseme ujinga

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ujinga ni kutojua hata mimi pia kuna mambo kibao siyajui hivyo ni mjinga. Katika kufundishana kufanya mambo humu, pia tuambiane faida za kufanya jambo fulani, hivyo kufanya jambo usilolijua pia ni ujinga, ndio maana nimesisitiza ianze kwanza kutolewa elimu ya faida na hasara ndipo watu waanze mazoezi hayo isije kuwa ni watu wanafundishwa jinsi ya kuitambua sumu ni kwa kuijaribu kwa kuionja.

Paskali
 
Hat ukichoka kukaa duniani kuliko kujiua bora usepe kwa mtindo huu
 
naomba uelewa wa hili mi huwa inatokea nakua mahali na watu tunafanya shughuli alafu inatokea kama ilishawah kuwa hv yan kama marudio ila haukumbuki ni lini ilitokea kama unavyoona hapo
Mkuu hii nimekumbana nayo pia ngoja rakimu nimtafute

jw library
 
When i was in palalysis state, i saw a shadow staring at me.Can you explain please and how to deal with this problem

Sent using Jamii Forums mobile app
Those are just low life creature trying to stop you from daring to leave ur body ukiraise ur viberation utaona kinakimbia speed ya ajabu au ukikitisha, yap finally you can try spiritual battle kama alivyosema huyo bwana hapo juu kemea as long as it keep u safe from ur own negative mind,

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Swali mkuu je umeishasepa halafu mtu akatoka nyuma kutingisha mwili wako nn kitatokea

2 je hiyo cord haiwezi kukatika wakati ukisafiri?

3 je hiyo mwili hauwezi kuamka mpaka itakaporudi hapa kama ni usiku kucha mkuu au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii thread nilikuwa naipita tu sasa nimeipitia nimeiona ya maana sana wengine mnaanza kuwatisha watu eti unakwenda kufanya nn

Bila kwenda tu huko duniani kwanza ubongo wako unakuwa juu ya watu wa kawaida kuongea na wanyama kujua mtu anawaza nn hii Baku kubwa

Naweza hata kujua bbe anamwazia bwana wa nje naweza kujua mda kidogo kutatukea hki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teacher nimekukubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani nitakujibu swali kwa swali i hope utakua umeelewa zaidi, pale ambayo witches wanakuja kukubeba ukiwa umelala na kwenda kukutumikisha kazi au kukubaka au kukuhoji maswali ili kesho ukienda kumuona awe na majibu ya kukupa, unadhani uwa anakubeba mwili mzima?

Jibu la swali no 1:
Akikutingisha mtu hii tulifanyia provement na wanafunzi wangu wa practical baada ya kukumbana na hoja ya pasco kuwa silver cord yaweza kukatika bila amri ya mungu ikiwa utatingishwa kinachotokea hapo ni kuwa hata kule alipo awe kashikilia kitu unavuzidi kumuamsha atake asitake atakuja kwa kasi ya ajabu hadi ataamka, kinachotokea ni maumivu tu ya kichwa ya dakika 2 hadi 3,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia unaweza usimalize hata saa 2 huko kwa maana lisaa moja huko unahisi kama umekaa siku moja, sasa ukikaa hadi kunakucha ni imposible, waliotoka wanajua hili,...

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…