Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mkuu Rakims huo ulimwengu mwingine ni vitu gan unaenda kujifunza huko

halafu licha ya kujifunza, ktk ulimwengu huo unaweza kuchukua kitu na ukaondoka nacho? mf: kama hela....! mambo ya huko yanatusaidia ktk nyanja zipi kwenye ulimwengu huu wa wote?!
 
Mkuu Rakims huo ulimwengu mwingine ni vitu gan unaenda kujifunza huko

vingi ila vya haraka ni kujionea live nje ya dunia palivyo, historia ya wengi waliopita kabla yako, kujifunza kuhusu life after life, elimu usiozijua labda science na kuwaona malaika kwa wenye imani, lugha za kigeni.. mfano lugha ya kigeni mtu akiongea kichina na wewe hukifahamu kule unamuelewa tu kama anaongea kiswahili ila ukitaka kujifunza unatafuta walimu wa lugha hizo wanakufundisha.. pia mfano swali:

ni vipi watu wana kariri kirahisi zaidi?

jibu: katika ulimwengu wa kiroho dk 1 ni sawa na masaa 3

wengi wanaofanya spiritual practice ndio hao unaskia wanamadaktari bingwa watengeneza ndege na masimu n.k

pia ulimwengu huo sio dunia nyingine ni hii hii isipokuwa unakuwa tu umeingia kiroho na utaona kila kitu kama kina nuru yani uhai mpaka makochi.... ila kwenu kama kuna wanga basi utawaona ila wao hawatajuona huo ndio mwanya wa kurevange.....

"Rakims"
 
This guy ni mjinga sana anafanya analinganisha mauji na ndoa za jinsia moja? ---- kweli
 
Hilo somo lako mkuu nishawahi kujaribu lakini kinachotokea naota ndoto za kutisha sana na za kichawi tupu
 
ndoto huotwa pale mtu anapohifadhi tukio kwa hisia na imani zaidi kabla hajalala hivyo mawazo hayo hufanya recall pale mwili unapokuwa umetulia na macho yamefumbwa.. recall hizo pale mtu akiamka huzisema ndoto...

"Rakims"
 
me huwa inanitokea hata mara3 kwa siku lkn nashindwa jinsi ya kujiinua kwenda kwenye hyo Astral plane. Je nifanyeje?
 
ASTRAL PROJECTION/Mental Projection......

Ni Ule Uwezo Wa Mtu Kutengana Na Mwili Wake Ki Fikra Katika Imani Husemwa Kiroho...

Kutoka Ap Humfanya Mtu Kwenda Popote Duniani Ki Mawazo Na Kufarijika Nafsi Yake Na Kujifunza Mambo Tofauti Ya Sehemu Jirani Na Kupaa Au Kupita Katikati Ya Ukuta Kama Mchawi Vile....

Ni Aina Ya Nguvu Ambayo Huwa Nayo Watu Wote Isipokuwa Katika Asilimia 100..
65% Ni Watu Wasioijua

25% Ni Watu Wanaoijua

10% Ni Watu Wanaoitumia..

Hatua Za Kufuata Ili Kusavei Nje Ya Mwili

Kuna Njia Mbili Za Kutoka Nje Ya Mwili Hapa Nitaielezea Moja...

Njia Hizo Ni:

1; self Astral P...

2: Astral By Binaural

HATUA ZA KUFUATA KWA NJIA YA KWANZA:

NI RAHISI TU....

1; Oga Na Vaa Nguo Safi Zisizo Bana

2: Lala Chali Mgongo Ukiwa Umenyooka Vema huku umefumba macho....

3: utapata vishawishi kujigeuza au kujitingisha vi ignore/ Usijishike wala kujitingisha kuwa kama soldier....

4: Usitingishe Macho Wala Kuchezesha Mwili Wako...

5: Subiri Na Uconcerntrate Kwenye Pumzi ( Hapa unakuwa unaudanganya ubongo kuwa mwili unaota)

6: ukiweza kujizuia Kujigeuza Geuza Au Kujikuna Ubongo Utajua Umelala Na Utaruhusu Mwili Kuachia Kinga Ya Paralysis Au Ganzi Salama Ya Mwili Mzima..
Ambayo Huwa Inakinga Miili Yetu Kutokujiumiza Wakati WA Kuota Mfano: sleep walking(unaota huku unatembea)

7: Wakati Hali Hii Inatokea Hapo Ndipo Unaweza Kujitenga na mwili wako ambao umepata ganzi....
tatizo hapa huwa lipo katika kujua ni upi mwili sahihi maana bado miili miwili inakuwa imeshikana

8: ukiamka na mwili wako wa ganzi kila kitu utakuwa umevuruga na utaamka kwenye mwili wenye ganzi (hii mimi ninauzoefu nayo pia unajiona upo macho lakini mwili hauamki wala kucheza unaganda ni kawaida ila huwa ni noma sana... haichukui muda ni kama sekunde 10 ukianza kujishtua au kujitingisha ila inashangaza kidogo wale wanafunzi wangu mnajua hapa namaanisha nini...

Sasa Je Utajua Vipi Kati Ya Miili Hii Upi Ni Sahihi?

Mbinu Rahisi Ipo Hivi Ukifikia Kwenye Hatua Hiyo Ya Kutoka.. Visualize Kwamba Una Mikono Mipya Na Miguu Mipya..
na ukishaingia kwenye hali hiyo hutokea set ya mingine

9: Baada Ya Hapo Inuka Katika Mwili Wako Wa Ndoto Sogea Mbele Hatua Tano Geuka Nyuma na Uangalie Mwili Wako Uliouacha.......

10: Hongera Umeweza Fanya Chochote Unachojiskia Hakina Madhara Kwenye Real World....

ANGALIZO:

Wakati Unautizama Mwili Wako Uliouacha Kuna Kitu Kina Kuwa Kimekuunga Na Ule Mwili Kama Silver cold Hivi Nyeupe Ya Kama Wingu Hiyo Ndio Hukusaidia Kurudi Hata Kama Umepotea Njia.....

Cc: Pasco , mshana jr , MziziMkavu

By: Rakims

Nitajaribu kama ni kweli
 
Last edited by a moderator:

Siwezi fanya tukio katika hii hali?
 
Last edited by a moderator:
SAsa mkuu naweza kuamka katika njia hiyo na kupiga msuli then nikirud katika hali ya kawaida nisisahau na nikapiga pepa fresh haina haja ya kuzurura msuli kwanza
Rakim
 
me huwa inanitokea hata mara3 kwa siku lkn nashindwa jinsi ya kujiinua kwenda kwenye hyo Astral plane. Je nifanyeje?

visualize astral body due to experience astral plane...

"Rakims"
 
SAsa mkuu naweza kuamka katika njia hiyo na kupiga msuli then nikirud katika hali ya kawaida nisisahau na nikapiga pepa fresh haina haja ya kuzurura msuli kwanza
Rakim

shuleni watakushtukia maana utajua na yanayofundishwa kesho au yanayotoka kesho..

tegemea kuambiwa umechanjia au mlozi...

Dah nimejaribu mchana mpaka nikakaa kabisa lakin nimeshindwa kutoka nimeona ka nimekua nawaka nikasikia sauti nyingi ka ndege si ndege nikajikuta nimerudi kulala nikastuka dah inataka moyo sana
 
pourquoi êtes-vous encore en train de lire et de commenter si Hocus pocus ni avec Locus aucun foyer

"Rakims"

Il faut utiliser la langue que tous les monde vont comprendre
 
Dah nimejaribu mchana mpaka nikakaa kabisa lakin nimeshindwa kutoka nimeona ka nimekua nawaka nikasikia sauti nyingi ka ndege si ndege nikajikuta nimerudi kulala nikastuka dah inataka moyo sana

mwanzo mgumu
 
Il faut utiliser la langue que tous les monde vont comprendre

l'enfant-dessus essayait d'utiliser cette langue, il pense que je ne comprends pas

"Rakims"
 
Mkuu nimefatilia comment zote na majibu ktk hii mada kwa mtiririko mzuri kabisa.Naomba nikuulize maswali machache hasa juu ya usalama wangu maana nilijaribu kidogo last night kabla sijalala,ni kweli nilifkia paralysis ila nkahofia kuendelea mbele.Maswali ni haya..

1.Nimetoka nje ya mwili,then ghafla kwenye appartiment ambayo ndio nimeacha mwili wangu ikashika moto,je nini kitatokea kwangu mimi ambaye sipo ndani kimwili kwa kuda ule??

2.Nimefanikiwa kufanya hiyo projection then nikiwa ktk kusurvey nkawa na hofu,je inawezekana kupanic na kushindwa kurudi ktk mwili wangu?

3.Unayazungumzia vipi maelezo ya Pasco,maana ingawa yana vitisho lakini nihisi kama kuna ukweli flani hivi

3.Najua kwa begginers sio kitu kizuri kuanza kwa kwenda mbali sana,ila itakuwaje endapo umeamua kuzunguka tu maeneo ya karibu alaf ukakutana na wachawi au ukapita nyumba ambazo wamejizatiti either kwa nguvu za Mungu au za giza alafu wakakuangusha,mkuu Rakims huu sindio mwanzo wa kuonekana mchawi?

Maswali nnayo mengi sana ila naomba nianze na hayo kwanza.
Ahsante

"Analyse"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom