Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mtoa mada

Ivi unatueleza elimu yako bila kutoa angalizo nia yako ninini?

Nia yako
Watu wajaribu wakifa shauri yao, ilimradi wewe upate kafala kwa Shetani, Mungu wako
Ndivyo unavyotaka ?

Ndivyo Lucifer alivyokutuma ?

Wewe ni adui wa jamii ya binadamu

Asante Pasco kwa angalizo.
 
Rakims mimi kuna hali inanitokeaga mara moja moja nikilala kwa ubavu nyakati za usiku ,yani najiona kama sijafunga macho lakini nimelala halafu kitu kama upepo kinataka kunivuta hapo nilipo,,sasa nikionaga hivi nachukua Biblia naeka pembeni,,hii hali ndio hayo unayozungumzia au??
 
Ndio hiyo mkuu
 
sasa mimi kwa imani zangu hua nakemea,,inamaana nikikaa kimya kutatokea nini
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sio mapepo hayo mkuu don't prison yourself by ur own mind,

Rakims
 
ha ha ha ,kwahiyo nini natakiwa kufanya,hali hiyo ikitokea..sababu hua kama najiona hivi navovutwa wakati mimi sijadhamiria kufanya hivo
 
Akili yako inafanya kazi sana mkuu kuna watu wanaomba kuwa kama ww,

rakims
 
Back
Top Bottom