Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwaita watu huko kwenye magroup ya whatsapp..... umeupooza wewe. [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]Umepoa huu uzi,
Rakims
Ndio hiyo mkuuRakims mimi kuna hali inanitokeaga mara moja moja nikilala kwa ubavu nyakati za usiku ,yani najiona kama sijafunga macho lakini nimelala halafu kitu kama upepo kinataka kunivuta hapo nilipo,,sasa nikionaga hivi nachukua Biblia naeka pembeni,,hii hali ndio hayo unayozungumzia au??
sasa mimi kwa imani zangu hua nakemea,,inamaana nikikaa kimya kutatokea niniNdio hiyo mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sio mapepo hayo mkuu don't prison yourself by ur own mind,
Rakims