Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia kabisa mpaka upate hiyo body paralysis yaani hata ukitingisha kidole hakitingishikiHabar ndugu me nime jaribu hiyo AP jinsi ya kutoka kwnye mwili but kila nikijaribu najikuta naamka kama kawaida tu
Huwa uwezo wa kula vitu vyenye roho ukiwa huko mkuu hata kama vimekufa, uchawi ni kutoka kimazingaombwe na AP ni kutoka kiroho boss kama malaika wanakula mizoga na wewe utakula OK?Ulimwengu wa kichawi mnakaribia kula nyama za watu.
samahani naomba link ya kwenye blog yake nimeipotezaInua mitetemo yako na uamuru moyo wako kwa fikra kupunguza kasi ya mapigo hutaogopa hata ukiwekewa mtutu wa bunduki mbele
Yaani unaongea kana kwamba ni rahisi kiasi cha kwenda kwa mchepuko na kurudi.Pasco Ni kweli unayoyasema ndio maana kuna mambo mengine hayafai watu kufundishwa akikosea ndio anakufa moja kwa moja mimi huwa sipendi kujaribu kitu kwa njia ya Riski.
Mimi huwa inatokea sio kila siku kusafiri wakati nipo ndani ya usingizi nikikusudia huwa ndio ninasafiri na sio kwa nia mbaya bali kutembea na kujionea mwenyewe ulimwengu jinsi ulivyo ingawa ukizoea utaona raha lakini sio nzuri kusafiri ndani ya ndoto unaweza unakokwenda usirudi tena ulipo toka. nimekuelewa Mkuu Pasco.
Nini kimepoteza interest yako?Nilikuwa na interest ya hii kitu lakini basi
Nitaendelea na meditation tu
Ukishawiva kwa meditation utaona ni jambo rahisi sana!Nilikuwa na interest ya hii kitu lakini basi
Nitaendelea na meditation tu
Please anzisha uzi juu ya jina lako yaani threesixteen ndio nini. Ahsante am so curious about your name