syndicate
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 261
- 481
Wasalam!
I declare!
PATRIOTISM FORWARD
PIA
SIASA NI DINI MPYA.
Ni wazi sasa technolojia ina nguvu kubwa kwenye maisha yetu, technolojia ina nafasi kubwa kwenye utendaji wa kazi zetu za kila siku.
Uvumbuzi na ugunduzi wa mashine mbalimbali za kidijidali na kirobotiki zimerahisisha mambo mengi sana kwenye ulimwengu wa leo,
kuanzia kwenye uandishi (publications), mpaka upashanaji habari (communication platforms).
Leo naomba kugusia jambo moja tu wanajamvi,
Jambo lenyewe ni kwa jinsi gani wanasiasa iwe CHADEMA au CCM wataweza kutumia technolojia ya upashanaji habari kurahisisha uwasilishaji wa hoja zao kila wanapotembea kwenye kampeni zao za mwaka huu October 2025.
Imezoeleka kwa muda mrefu tangu enzi kampeni ufanywa verbally (maneno matupu), huyu anamshambulia huyu kwa tuhuma nzito nzito na huyu anamjibu huyu kwa hoja/vihoja flani flani mbele ya adhira(audiance) ya WANANCHI.
Hali hii kwa muda mrefu imesababisha wanasiasa kutumia nguvu nyingi kupotosha ukweli au kuutetea ukweli bila vithibitisho au mifano iliyo HAI, jambo ambalo limesababisha WANANCHI kubaki njia panda na wengi wao kuona kuwa siasa sio sehemu ya maisha yao!
Kwasababu yanayozungumzwa kwenye majukwaa ya siasa ni maneno mtupu,
Mfano kiongozi wa siasa yuko namtumbo anazungumzia ufisadi TANZANIA uliofanyika dar es salaam, IPTL.
Hoja ya IPTL NI HOJA NZITO sana lakini kwa makundi ya WATANZANIA nitakayoyataja hapo chini ni baadhi yao, ngumu kuona km inawahusu, madhalani MTANZANIA wa kawaida amezoea kusikia milioni tu au laki laki ukianza kumtajia mabilioni au matrilioni ni mtihani kwake, mwingine anaweza kuona ni kama ndoto au filamu.
Lakini laiti kama IPTL ingeweza kuelezwa kwake kwa njia ya illustration ( vielelezo) ingemsaidia zaidi MTANZANIA KUELEWA JINSI ANAVYOATHIRIKA NA UFISADI ULIOTOKEA DAR ES SALAAM, NA KUUNGA MKONO KUNDI LINAOFICHUA UFISADI NA MAOVU MENGINE NA NCHI IKAKOMBOLEWA.
TEKNOLOJIA ya upashanaji habari kupitia picha mjongeo (video) na picha mgando, au
Auti zilizorekodiwa zisaidie kukumbusha wananchi maovu mbalimbali yaliyowahi kufanywa kwa watanzania kwenye kampeni, hii ni kwasababu binadamu ni rahisi kusahau, watanzania wametekwa, wamepotezwa, wengine wameuwawa na madhila kadha wa kadha yametokea kwa watu, rekodi (masjara) za matukio haya zipo!
Zitafutwe rekodi hizi toka watu wanapoanza kutishwa kwa simu au meseji, au matukio tatanishi kutokea baada ya watu kutoa misimamo yao hadharani kama ilivyokuwa kwa bishop. Dr. Gwajima hivi karibuni, masheikh na watu wengine
Mfano mwingine,
Ni huo maarufu toka rais Magufuli alipokuwa anatoa au kuonya kuhusu watanzania kusalitiwa na viongozi wao baada ya yeye kuondoka mdarakani na jinsi watanzania WALIVYOSALITIWA KWA KAULI NA MATENDO BAADA YA YEYE KUFARIKI (Kuanzia kwenye Umeme, maji, huduma za afya, miundombinu na mambo mengine) .
Matukio haya yasisimuliwe verbally kwa watu,
Watu waonyeshwe trending hizi ili wajue kuwa things are always possible to anyone.
Teknolojia pia itumike kuonyesha mambo mazuri yaliyowahi kufanywa hii inahusu chama tawala (kama upinzani unasema hatujafanya kitu waoneshe wananchi vitu ulivyofanya, na utakavyofanya kwa technology sio maneno tupu)
Aina za makundi ya watanzania
Inafahamika wazi watanzania wamegawanyika makundi mbalimbali,
Wanachama na mashabiki wa siasa (asilimia 20),
Wasio na vyama na mashabiki wa siasa (asilimia 80) ,
Wenye elimu (walioelimika/na wenye vyeti-asilimia 20),
Wenye vyeti (wasio elimika/wasomi wajinga/machawa-asilimia 80),
Wasio na elimu wala vyeti (wanaojitambua, asilimia 35),
Wasio na elimu wala vyeti! (wasio jitambua-asilimia 65)
KUMBUKA.
Makundi haya yote yanakusanyika mapoja kipindi cha uchaguzi,
MUWATENDEE HAKI KWA KUWAONYESHA UKWELI KWA VITENDO, WENYE NDIMI MBILI WAWEKWE HADHARANI, WANAOHUJUMU NA KUWALAGHAI WATANZANIA KWA MANENO NA VITENDO WAONYESHWE HADHARANI.
Kama ODEMBA alivyomfanyia KIGAILA
(ALIONYESHA NJIA, V.A.R WAS VERY MEANINGFUL)
I Declare
NO REFORMS, NO ELECTION.