Uzi mzuri
Riwaya za kipelelezi zisikujaze upepo kichwaniKwako ndio hakuna kitu kama hicho Mkuu.
Uko limited sana kwenye mambo ya falsafa na ufahamu.
Ni sawa mtu aseme shingo lazima iwe inayounganisha kiwiliwili na kichwa.
Alafu akasema hakuna shingo ya kizazi.
Kwenye lugha kuna kitu kinaitwa Semantiki. Ukiwa na elimu hiyo. Utajua kwamba unachokijua wewe kwa wengine wanakijua zaidi ya hapo kwa makumi na mama.
Sasa tutafanya huu mjadala uwe mzuri.
Ujasusi ni nini? Unaweza kujibu katika muktadha wowote, wewe unapendelea muktadha wa kipolisi.
Mkuu Mtibeli, ahsante kwa somo
Riwaya za kipelelezi zisikujaze upepo kichwani
Sikujua hayo, Kumbe Mimi ni mtibeli by natural!Mama wa Kitibeli:
Kwanza utibeli sio ukamilifu bali kupenda na kutafuta Ukamilifu.
Vigezo au Sifa za kuwa Mama wa Kitibeli;
1. Lazima kila siku ajitahidi ku transform kutoka kuwa Binadamu(Mnyama), kuelekea kuwa Mtu(Uungu).
2. Ajifunze kutumia Baraka alizonazo kwa Akili, haki na upendo. Bila kuumiza wengine. Ataumiza wengine kama itatokea atachokozwa au kushambuliwa.
3. Ajue uzuri wake ni fahari yake na mumewe atakaye muoa. Na sio fahari ya kila mwanaume. Ajitunze na kuwa msafi.
4. Mama anayelinda heshima ya familia yake.
Anaelewa kuwa maneno, matendo na maamuzi yake yanaweza kujenga au kubomoa taswira ya familia yake.
5. Mama anayejua yeye ni kiongozi mwenye jinsia ya Kike. Kwamba uanamke wake hautaathiri maamuzi, na utekelezaji wa majukumu yake ndani na nje ya familia yake.
6. Mama ambaye sio tegemezi. Bali ni nguzo(anayetegemewa) na mumewe, watoto na jamii. Hivyo atashirikiana na mumewe na watoto kulinda urithi wa jamii yake.
7. Mama ambaye hatakubali kunyanyaswa wala kunyanyasa, ikkudhulumiwa wala kudhulumu haki zake na wengine. Hili ili litokee lazima awe na akili yenye elimu, maarifa, ujuzi na ufahamu sahihi kisha asiwe tegemezi.
Hiyo ni kwa uchache
S
Sikujua hayo, Kumbe Mimi ni mtibeli by natural!
ok.🐒Lucas Mwashambwa ChoiceVariable Crocodiletooth Tlaatlaah .Hawa ndio majasui wa jioni wanaotegemewa na CCM .Waangalie sura zaoView attachment 3637893
Nikipata billion moja na point 👉 👉 nisavae vizur kama Papa Mulumba
Boss umesema tusijioneshe kama tuna kipato njia moja yapo mtu ambaye hana kipato ni kutovaa vizur no luxury life ili usivute inz mkuu......Sijakuambia usivae vizuri. Soma kwa ufahamu ukiwa umetulia. Usikurupuke
Nan kasema mkuu?Leo ni jumatatu Mkuu
Rudi kasome lugha vyema tena naona upo kishabiki kama unachangia stori kijiwe cha kahawa. Nunua hata kamusi itakusaidiaTwende kwa hoja.
Nitakusaidia kwa maslahi ya wanajukwaa.
Ujasusi ni mchakato wa kukusanya, kuchambua na kutumia taarifa za siri au muhimu ili kuzuia uhalifu, kulinda usalama wa jamii na kusaidia kufanya maamuzi sahihi.
Hiyo ni maana ya msingi ya Ujasusi.
Upelelezi;
Upelelezi mara nyingi unahusu kufuatilia tukio lililokwisha kutokea. Labda la Wizi, mauaji, yaani kufanya investigation.
Hii ni kusema ndani ya ujasusi kunaweza kuwa na Upelelezi
Kwa lugha rahisi;
Kwenye Ujasusi Tunapata taarifa kwamba kuna mtu anaweza kupanga uhalifu. Tunamfuatilia ili kuzuia kabla haujatokea
Kwenye Upelelezi Uhalifu umetokea. Tunachunguza ili kupata ukweli na mhusika.
Ni mambo mawili yanayotegemeana.
Sasa kwenye mada yetu umeelewa kwa nini nimetumia title hiyo pale juu?
Boss umesema tusijioneshe kama tuna kipato njia moja yapo mtu ambaye hana kipato ni kutovaa vizur no luxury life ili usivute inz mkuu......
Nan kasema mkuu?
Nashindwa kutofautisha mvaa maronya na low key 🔐 naona wote the sameUkivaa kawaida na kuishi maisha ya kawaida, kuwa Low Key huwezi vuta nzi na hiyo haimaanishi uvae vibaya au uvae maronyaronya.
Rudi kasome lugha vyema tena naona upo kishabiki kama unachangia stori kijiwe cha kahawa. Nunua hata kamusi itakusaidia
Mimi ni mwandishi na nimeandika riwaya za kipelelezi na mapigano nyingi kuliko aina zingine. Kabla sijaanza huo uandishi nilifanyia kazi maana ya hilo neno Jasusi.
Kingine wenye morali kama yako ni wale waliyosoma riwaya ya kipelelezi kwa mara ya kwanza wakajawa na morali na kutamani kuwa wapelelezi, ndiyo huenda kutafuta mbinu za kuwa mpelelezi hata Wikihow zipo. Hizi riwaya zinajaza watu upepo kichwani hasa vijana