Zeddicus Zu'l Zorander
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 804
- 951
Yaaah ni pro max...
Yaani nimezaliwa hivo najaribu kutoka kwa hili janga nashindwa
Daahhh[emoji16][emoji16][emoji16] mi mwenyewe kuna muda napiga ubahili mpaka naona hii sasa imezidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaah ni pro max...
Yaani nimezaliwa hivo najaribu kutoka kwa hili janga nashindwa
Yaaani nipo huku sijui nini kitanitoa huku aiseeee daahHahaha hilo ni janga zuri, baki huko huko
😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌 Wee utakua ni pro pro maxDaahhh[emoji16][emoji16][emoji16] mi mwenyewe kuna muda napiga ubahili mpaka naona hii sasa imezidi
Kabisa, hili nalo n muhimu sanaaaaMimi naongezea kuwa ni muhimu sana kutrack expenses zako. Huenda kuna mahala pesa ndogondogo zinaslip bila wewe kujua au kuwa makini. Mfano mm last week nimeona 7700 zimeenda kwenye matumizi ambayo ni ya ovyo, tho.. Week hii mpaka sasa kwenye matumizi ya ovyo n 500 tu. Nataka kueliminate kabisa haya matumiz ya ovyo...
Name them plz..hayo matumiz ya ovyoMimi naongezea kuwa ni muhimu sana kutrack expenses zako. Huenda kuna mahala pesa ndogondogo zinaslip bila wewe kujua au kuwa makini. Mfano mm last week nimeona 7700 zimeenda kwenye matumizi ambayo ni ya ovyo, tho.. Week hii mpaka sasa kwenye matumizi ya ovyo n 500 tu. Nataka kueliminate kabisa haya matumiz ya ovyo...
Ndo mana nimeweka in terms of percentage mkuu, ili kila mtu kama analipwa laki 3 asikae chumba cha laki, akae cha 30kMengi umeandika vyema ila hiyo hela ya kusave, huyo mtu anapokea sh ngapi.
Ushauri wako ungekua murua zaidi kama usingeweka hizo figures
Starehe zinatuponza sanaa vijana,In life kuna unnecessary wastes nyingi ambazo zinaongeza gharama za maisha hasa kwa vijana wanaoanza kazi.
Nikijitolea mfano mimi nilipokuwa kijana nikitaka kunywa pombe nawapigia simu marafiki 2 au 3. Wao nao pia unakuta wanawapigia marafiki zao wengine kwa hiyo at the end of the day ukizungusha raundi Moja ya bia ni mtu kumi wakati ulikuwa na mpango wa kununua bia 6 Kwa siku hiyo.
Mmoja akitoa round mwingine analipiza, mara mnashauriana mambo ya kwenda club etc.
Kwa hiyo ukiweza kukata chain za starehe mbona unatoboa? Changamoto ni vipi utakata hizo chain na kuondoa unnecessary wastes
Na kufuata mkumbo... Nguo fulani imetoka, sijui simu etcStarehe zinatuponza sanaa vijana,
Pombe na wanawake
Kuishi geto la kinyonge wakati uwezo ninao hapo inakua ngumu.Unaona kitu gani hapo hakiwezekani in practical ?
Kuhamia geto la bei nafuu? Kupika msosi ? Kuwa na demu mmoja ? Kuacha pombe ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Wee utakua ni pro pro max
Ahahahahah daah ungempa 15k mbona ingekua chap tuu..Acha kabisa, juzi kati hapo nilienda ofisi za msaidizi kamishna wa ardhi kanda kufuatilia hati ya kiwanja, baada ya process za hapa na pale file langu likaletwa kumbe jamaa wa almashauri aliyekuwa anashughulikia kuna madocument Matatu wakili alisaini mawili moja akulisaini yakawasilishwa kanda hivyohivyo, kwahiyo wakaniambia hapo option ni kuandaliwa hizo document nyingine ili wampe wakili mwingine azisaini zote gharama 30,000 + ya huyo dada atakayechapa (kwa rate zangu angekula buku tuu[emoji16][emoji16]).
Nikamwambia hiyo gharama kubwa, akaniambia basi nikupe hiyo form ambayo haijasainiwa umpelekee wakili aliyezisaini, nikasema fresh tuu, nikawasha gari nikaipeleka huko almashauri ikasainiwa nikairudisha.
Lakini baadae nilivyopiga hesabu ya mafuta kwenda na kurudi almashauri ni kama 25,000/= ukiongeza na muda niliotumia nikagundua nilifanya biashara kichaa tuu.
Haahhaahah hapo ulipiga hesabu kichaa, ila kama ulikuwa free with your time then ilikuwa deal zuri tuAcha kabisa, juzi kati hapo nilienda ofisi za msaidizi kamishna wa ardhi kanda kufuatilia hati ya kiwanja, baada ya process za hapa na pale file langu likaletwa kumbe jamaa wa almashauri aliyekuwa anashughulikia kuna madocument Matatu wakili alisaini mawili moja akulisaini yakawasilishwa kanda hivyohivyo, kwahiyo wakaniambia hapo option ni kuandaliwa hizo document nyingine ili wampe wakili mwingine azisaini zote gharama 30,000 + ya huyo dada atakayechapa (kwa rate zangu angekula buku tuu[emoji16][emoji16]).
Nikamwambia hiyo gharama kubwa, akaniambia basi nikupe hiyo form ambayo haijasainiwa umpelekee wakili aliyezisaini, nikasema fresh tuu, nikawasha gari nikaipeleka huko almashauri ikasainiwa nikairudisha.
Lakini baadae nilivyopiga hesabu ya mafuta kwenda na kurudi almashauri ni kama 25,000/= ukiongeza na muda niliotumia nikagundua nilifanya biashara kichaa tuu.