Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Kusave hela ni ile hali ushamaliza mambo yote ya msingi.
Kama bado mambo ya msingi hujakamilisha huwezi kusave hela.
Kwanini usave hela hali ya kuwa una mambo mengi hujakamilisha?
Fanya ubahili woote ile si kwenye sehemu mbili kuu.
A- CHAKULA
B-MALAZI
huwezi shinda njaa kisa savings, huwezi lala ktk vibanda vya mbwa kisa unasevu hela ya kodi isiwe kubwa.