Jinsi ya kuweka akiba kwa wale tunaoanza maisha

Kabisa, hili nalo n muhimu sanaaaa
 
Mengi umeandika vyema ila hiyo hela ya kusave, huyo mtu anapokea sh ngapi.

Ushauri wako ungekua murua zaidi kama usingeweka hizo figures
 
Name them plz..hayo matumiz ya ovyo
 
In life kuna unnecessary wastes nyingi ambazo zinaongeza gharama za maisha hasa kwa vijana wanaoanza kazi.
Nikijitolea mfano mimi nilipokuwa kijana nikitaka kunywa pombe nawapigia simu marafiki 2 au 3. Wao nao pia unakuta wanawapigia marafiki zao wengine kwa hiyo at the end of the day ukizungusha raundi Moja ya bia ni mtu kumi wakati ulikuwa na mpango wa kununua bia 6 Kwa siku hiyo.
Mmoja akitoa round mwingine analipiza, mara mnashauriana mambo ya kwenda club etc.
Kwa hiyo ukiweza kukata chain za starehe mbona unatoboa? Changamoto ni vipi utakata hizo chain na kuondoa unnecessary wastes
 
Starehe zinatuponza sanaa vijana,
Pombe na wanawake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Wee utakua ni pro pro max

Acha kabisa, juzi kati hapo nilienda ofisi za msaidizi kamishna wa ardhi kanda kufuatilia hati ya kiwanja, baada ya process za hapa na pale file langu likaletwa kumbe jamaa wa almashauri aliyekuwa anashughulikia kuna madocument Matatu wakili alisaini mawili moja akulisaini yakawasilishwa kanda hivyohivyo, kwahiyo wakaniambia hapo option ni kuandaliwa hizo document nyingine ili wampe wakili mwingine azisaini zote gharama 30,000 + ya huyo dada atakayechapa (kwa rate zangu angekula buku tuu[emoji16][emoji16]).
Nikamwambia hiyo gharama kubwa, akaniambia basi nikupe hiyo form ambayo haijasainiwa umpelekee wakili aliyezisaini, nikasema fresh tuu, nikawasha gari nikaipeleka huko almashauri ikasainiwa nikairudisha.
Lakini baadae nilivyopiga hesabu ya mafuta kwenda na kurudi almashauri ni kama 25,000/= ukiongeza na muda niliotumia nikagundua nilifanya biashara kichaa tuu.
 
Ahahahahah daah ungempa 15k mbona ingekua chap tuu..
Mi ubahili upo kwa hawa viumbe hawa .
Ila kwa mambo mengine ni chap tuu kikubwa jambo liwe la maana kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ wee ni over pro ahaha
 
Haahhaahah hapo ulipiga hesabu kichaa, ila kama ulikuwa free with your time then ilikuwa deal zuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…