Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Hata usipojifunza utotoni, ukubwani huna namna lazima ujifunze savings hasa kwa anaeanza maisha kama alivyosema. Mfano una mshahara 500k utanunua vipi electronics na vitu vingine vya gharama bila savings?Mwanzoni ukiwa unakula nauli,huwezi tena kumrudia mzazi
Ukamwambia mambo ya nauli nk
Kwa style hiyo lazima utajifunza kusave hela
Ndiyo namuambia mleta mada haya mambo yanaanzia utotoni kufundishwa
Ova
Kweli kabisa,yale mambo yakusema ntafanya jambo fulaniHata usipojifunza utotoni, ukubwani huna namna lazima ujifunze savings hasa kwa anaeanza maisha kama alivyosema. Mfano una mshahara 500k utanunua vipi electronics na vitu vingine vya gharama bila savings?
Watu wengi wanajenga kwa kudunduliza ndio savings zenyewe hizo. Ukisubiri upate 50-100m ndio ujenge utakufa kwenye nyumba za kupanga.
Kuna watu wanateseka kisa wanalazimisha waishi nyumba nzuri. Kuna watu wanakula chalula sahani 15,000 au 20,000 kisa anakula kwa fulani. Haina maana akila chalula cha 5,000 sehemu nyingine anakula chakula kibaya.Kusave hela ni ile hali ushamaliza mambo yote ya msingi.
Kama bado mambo ya msingi hujakamilisha huwezi kusave hela.
Kwanini usave hela hali ya kuwa una mambo mengi hujakamilisha?
Fanya ubahili woote ile si kwenye sehemu mbili kuu.
A- CHAKULA
B-MALAZI
huwezi shinda njaa kisa savings, huwezi lala ktk vibanda vya mbwa kisa unasevu hela ya kodi isiwe kubwa.
Kama siyo kuomba nauli ni kumtungia tukio.Mwanzoni ukiwa unakula nauli,huwezi tena kumrudia mzazi
Ukamwambia mambo ya nauli nk
Kwa style hiyo lazima utajifunza kusave hela
Ndiyo namuambia mleta mada haya mambo yanaanzia utotoni kufundishwa
Ova
Mkuu, hii pesa unanunua kiwanja,Yote Kwa yote saving 1.8 M per year won't take you anywhere..take it or leave it
Hayo mambo yote ya msingi utayafanya kwa kusave,Kusave hela ni ile hali ushamaliza mambo yote ya msingi.
Kama bado mambo ya msingi hujakamilisha huwezi kusave hela.
Kwanini usave hela hali ya kuwa una mambo mengi hujakamilisha?
Fanya ubahili woote ile si kwenye sehemu mbili kuu.
A- CHAKULA
B-MALAZI
huwezi shinda njaa kisa savings, huwezi lala ktk vibanda vya mbwa kisa unasevu hela ya kodi isiwe kubwa.
Umeweka thread nzuri inafundisha halafu iko wazi lakini kuna watu wanakuja na hoja nyepesi kujaribu kupinga. Na zote unazipangua kiweledi.Mkuu, hii pesa unanunua kiwanja,
Hii pesa unaanzisha biashara ya kukupa hata 300-400k kwa mwezi
Hii pesa itaokoa uhai wako ikiwa utaumwa ghafla,
Its true haitakufanya uwe bakhresa, ila itakusave na kukusaidia kupiga hatua moja zaidi
Bajet ya kula 150k Mwezi mzima kwa hili jiji la DSM Inawezekana tuseme tu ukweli.Kuna watu wanateseka kisa wanalazimisha waishi nyumba nzuri. Kuna watu wanakula chalula sahani 15,000 au 20,000 kisa anakula kwa fulani. Haina maana akila chalula cha 5,000 sehemu nyingine anakula chakula kibaya.
Point hapa ni kukata unnecessary expenses ambazo ndio zinamaliza hela.
Una mshahara 1m unataka ukakae mbezi Beach nyumba ya 500,000 wakati ungekaa mitaa mingine nyumba ya 300,000 poa tu. Usisahau mleta mada anazungumzia wanaoanza maisha.
Utanunua gari ya mil 15 kwa kusave laki kila mwezi? 😅 haya sawa.. upo sahihi.Hayo mambo yote ya msingi utayafanya kwa kusave,
Utanunua gari kwa kusave, nyumba kwa kusave
Hata kuweka geto sawa kwa kusave
Mkuu, mm sijasema usave laki kila mwezi, ukisave kadri uwezavyo, huku ukiongeza kipato chako, utanunua tu gari sikuUtanunua gari ya mil 15 kwa kusave laki kila mwezi? 😅 haya sawa.. upo sahihi.
Hapo kwenye pombe umeiweka vyemaNaungana na ww kwa baadhi ya vitu vingine siafiki;
Msosi kupika labda jioni na chai ya asubuhi mchana unakula huko huko kazini!
Umesema usigongee demu lodge 🤔🤔aisee siwezi peleka demu geto hawa wa kwa chalamila wanatabia za kuzoea au kung'ang'ania, Kuja mara Kwa mara napenda kuyamaliza lodge
Pombe kama unapenda tumia ila kwa umakini
Harusi na misiba hapa inategemea, usipawekee sheria kiasi hicho ni sehemu ya kudeal nayo kimkakati