Jinsi ya mzazi kumchukulia cheti cha sekondari mtoto wake aliye nje ya nchi

Ya whatsapp ni uongo kukubalikaa... Ila barua sawa maana serikalkni kila kitu ni document!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi stori Mwalimu Socha wa galanosi alituhadithia tukiwa form 5.

Ila mimi nilimpigia mkuu wa shule simu. Nikaandika barua yule mchukuaji akatoa kopi ya kitambulisho chake akaenda kuchukua cheti changu.
Kwa hio hawakubali ila ukifuata taratibu nzuri unakipata.
Labda kama hio shule waalimu ni wapumbavu ambao wanashindwa kuja na alternative.
 
Ngoja nijaribu kumwona mwalimu na barua ya mwanafunzi,kitambulisho changu na barua yangu nione kama itasaidia
 

Hukutumia busara kuomba hicho cheti..... Aya ya mwisho inaonesha hivyo kama ungetumia busara huyo mwalimu angekuelekeza taratibu zakukipata
 
Unachukua bila tatizo ilimradi uwe na udhibitisho kwamba wewe ndio mzazi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…