Cosmasjulius
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 695
- 1,011
Ya whatsapp ni uongo kukubalikaa... Ila barua sawa maana serikalkni kila kitu ni document!!Hapo ni suala la busara na uelewa wa mkuu wa shule, ofisini mpo wawili tu mkuu wa shule na wewe, technolojia imekuwa siku hizi mkuu anaweza kuambia nenda na document kuonyesha wewe ni mzazi wake, pili andika barua ya kujicomir unachukua cheti tatu, kuna whatsap video call fika kwa mkuu mpigie kijana aongee na wewe live mkiwa na mkuu kisha atume video fupi akisema cheti mpatie mzazi mkuu atoe cheti
Lengo ni ushahidi siku mtahiniwa akirudi dai cheti akute hakipo hofu ya nini hapo ni kuyajenga tu mkuu wa shule na wewe
Sent using Jamii Forums mobile app