Jinsia haijawahi kuwa kigezo cha uongozi. Kigezo kikuu ni uwezo wa mtu, waacheni wananchi waamue wenyewe

Ndiyo gia yake kwenda kujibandika madarakani
 
Mimi jinsia yangu ya kike!!! 😳😳😳sijui kwanini anajishuku hadi kila mara aongelee jinsia yake.

 
Shida haipo kwa mwanamke wala mwanaume

Shida ipo kwenye mifumo mibovu ya siasa za nchi yetu.ukipewa dhamana na chama chako tu shariti uwatumikie na maslahi yao binafsi kwanza.utaifa baadae

Kinyume na hapo ukijitia Uzalendo
tu yatakukuta kama yaliyo mkuta mwendazake.
 
Haa umenikumbusha waliobeba mabegi yaliyojaa kwenye vituo vya kupigia kura,ambapo kwenye lindo hawabebi mabegi hata yasiyo jaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…