Jionee maajabu! Hizi ndizo aina tatu za wanawake na styles zao

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah kazi kweli kweli. Napenda hizi threads. Habari zinazotugusa kweli kweli na tunachangia bila mihemuko ya siasa na kuganga njaa. Big up mleta hoja.
 
Teh teh teh teh...Manugayembe noooma
 
Stunter ndugu yangu wewe inabid upewe ushushushu na magufuli maana kila cku unaibua mapya [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahah Nikipewa ushushushu sitofanya kazi yangu kwa amani hahah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah kazi kweli kweli. Napenda hizi threads. Habari zinazotugusa kweli kweli na tunachangia bila mihemuko ya siasa na kuganga njaa. Big up mleta hoja.
Shukrani sana mwana
 
Kwa kuwa namwandama hadi pm ngoja nipunguze mashambulizi huku na kuzidisha mashambulizi pm ambako huwezi fika wala kuona!
Sasa pasword zake ninazo, hapo unajidangaya, huwa naona kilakitu
 
Nimejaribu kusoma comments zote mpaka page ya 4 sijaona KE amechangia.Au kama wapo sidhani kama wanafika watatu.Kulikoni?
 
Jamani haya mambo hayajadiriki ni mungu tu anajua. ukipata mwanamke asiye pasua kichwa shukuru mungu. Kuna mengi Sana kwenye mahusiano Jamani ni siri yetu tu. kifupi ni kuwa mtu anampemda mwenzie baada ya kuona anatimiziwa anachopenda. Sasa kipi anapenda usiniulize. viko vingi. mtu anaweza anampenda boy kisa tu muongo muongo kwa hiyo anapenda uongo.
 
UNAKUTA MWINGINE TYPE 1 Ila anaswaka za TPE 3 hapo VIPI mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…