Captain-Sparta
Senior Member
- Sep 9, 2016
- 175
- 172
Hawa wanawake wakiona una kamafanikio tu kadogo wengine watakuchawia kabsa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wanaweke wapo sema tu ni one in a million.nahisi type 1 ni wanawake wakusadikika!!😀😀😀
naanza maombi leo,huwenda mungu akanipa nafasi ya upendeleo😛😛😛Hawa wanaweke wapo sema tu ni one in a million.
Kabisa piga maombi mkuunaanza maombi leo,huwenda mungu akanipa nafasi ya upendeleo😛😛😛
Hahaha The bold umemaliza..!! alafu kuna type hapo wao ni mahodari kwa kutegeshea na kubambikia wanaume mimba,STUNTER aisee "nimebahatika" kuexpirience type zote hizi Tatu... Hao namba moja tatizo lau wajuaji mno ndio maana wengi wana mawe lakini hawaolewi! Ujuaji mwingi, alafu ukitaka mdumu au muishi viziri eidha umzidi hela au umzidi elimu (Sana sana hela) la sivyo 'unalo', utapiga weeee lakini hakubali habadani umuoe..
Hawa namba mbili huwaga ndio wasumbufu sana wakiolewa lakini sijui kwanini hawa type 2 ndio wana upepo wa kuolewa balaa!! Nahisi hawa wanajuaga kucheza na akili zetu wanaume.. Yani mnaweza kukaa mwezi au hata miezi miwili hajakuomba hata sh. mia yuko bize na 'mishe' zake za 'vitenge' lakini siku anakupiga mzinga huo mpaka nywele zinatoka mvi ghafla!! Alafu vizinga vyao huwa ni ngumu mwanaume kuchomoa, wako vizuri sana hawa!!
Alafu wanapenda kulazimisha ndoa, yani ukiwa nae miezi miwili tu anaanza kuongea mambo ya kuoana..
Hawa type 3 hawaumizi kichwa! Hawa wewe muhonge tu hela za kupanda 'bajaji', kubadilisha weaving, kununua handbag... Then na wewe jilipe, piga kadiri uwezavyo!! Lakini never ever usithubutu kuoa.. Alafu uzuri wenyewe wanajijuaga hawataki uwaache lakini pia akung'ang'anizi umuoe..
Kama ni kuoa angalau kidogo type 1, ingawa nao wengi wao wanakera hawajui kuplay ile role yao ya uanamke!! Wanataka nao wawe na sauti kama wewe..
Mi nasubiria Muumba atoe version mpya (type 4) labda hapo naweza kuoa.. [emoji3] [emoji41]
Hapo kwenye Uongo nadhani wanawake wote wanapenda kudanganywa,Jamani haya mambo hayajadiriki ni mungu tu anajua. ukipata mwanamke asiye pasua kichwa shukuru mungu. Kuna mengi Sana kwenye mahusiano Jamani ni siri yetu tu. kifupi ni kuwa mtu anampemda mwenzie baada ya kuona anatimiziwa anachopenda. Sasa kipi anapenda usiniulize. viko vingi. mtu anaweza anampenda boy kisa tu muongo muongo kwa hiyo anapenda uongo.