Jionee maajabu! Hizi ndizo aina tatu za wanawake na styles zao

STUNTER aisee "nimebahatika" kuexpirience type zote hizi Tatu... Hao namba moja tatizo lau wajuaji mno ndio maana wengi wana mawe lakini hawaolewi! Ujuaji mwingi, alafu ukitaka mdumu au muishi viziri eidha umzidi hela au umzidi elimu (Sana sana hela) la sivyo 'unalo', utapiga weeee lakini hakubali habadani umuoe..

Hawa namba mbili huwaga ndio wasumbufu sana wakiolewa lakini sijui kwanini hawa type 2 ndio wana upepo wa kuolewa balaa!! Nahisi hawa wanajuaga kucheza na akili zetu wanaume.. Yani mnaweza kukaa mwezi au hata miezi miwili hajakuomba hata sh. mia yuko bize na 'mishe' zake za 'vitenge' lakini siku anakupiga mzinga huo mpaka nywele zinatoka mvi ghafla!! Alafu vizinga vyao huwa ni ngumu mwanaume kuchomoa, wako vizuri sana hawa!!
Alafu wanapenda kulazimisha ndoa, yani ukiwa nae miezi miwili tu anaanza kuongea mambo ya kuoana..

Hawa type 3 hawaumizi kichwa! Hawa wewe muhonge tu hela za kupanda 'bajaji', kubadilisha weaving, kununua handbag... Then na wewe jilipe, piga kadiri uwezavyo!! Lakini never ever usithubutu kuoa.. Alafu uzuri wenyewe wanajijuaga hawataki uwaache lakini pia akung'ang'anizi umuoe..

Kama ni kuoa angalau kidogo type 1, ingawa nao wengi wao wanakera hawajui kuplay ile role yao ya uanamke!! Wanataka nao wawe na sauti kama wewe..

Mi nasubiria Muumba atoe version mpya (type 4) labda hapo naweza kuoa.. [emoji3] [emoji41]
 
Hahaha The bold umemaliza..!! alafu kuna type hapo wao ni mahodari kwa kutegeshea na kubambikia wanaume mimba,
Yani tumuombe Mungu tu labda type 4 itakuwa solution
 
Jamani haya mambo hayajadiriki ni mungu tu anajua. ukipata mwanamke asiye pasua kichwa shukuru mungu. Kuna mengi Sana kwenye mahusiano Jamani ni siri yetu tu. kifupi ni kuwa mtu anampemda mwenzie baada ya kuona anatimiziwa anachopenda. Sasa kipi anapenda usiniulize. viko vingi. mtu anaweza anampenda boy kisa tu muongo muongo kwa hiyo anapenda uongo.
Hapo kwenye Uongo nadhani wanawake wote wanapenda kudanganywa,
Ukiongea ukweli Ndege anapeperuka
 
UNAKUTA MWINGINE TYPE 1 Ila anaswaka za TPE 3 hapo VIPI mkuu
Mmmh Huyo itabidi achunguzwe vizuri cuz type 1 wengi wametingwa na majukumu alafu wanaishi maisha Real, sio fake kama type 3
 
Type ya 1, nayo inaweza ikawa haina mapenzi ya kweli bali anafuata cassava tu,
 
Back
Top Bottom