Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashuga mumy ndiyo yako type 1,yanageuza vijana kuwa sex machinesType ya 1, nayo inaweza ikawa haina mapenzi ya kweli bali anafuata cassava tu,
Ulisoma Bishop Durning?
Shukrani Mkuu, Mpe pole shemeji kwa Kumvunja mbavu, kikubwa ujumbe ufikeStunted nadhani ni kijana bado mimi sasa mtu mzima, ila niisoma post yako nimecheka nimemwonyesha mke wangu naye kacheka hadi machozi yamemtoka. Mmmmh umefanya analysis karibu mmmno na ukweli. Nadhani umetoa msaada mkubwa sana kwa vijana wenzio wa kiume lakini kwa mabinti zangu pia jiangalieni uzuri mnajiharibia. Stunter I salute.
Hiyo namba mbili,ikifika kipindi cha likizo, utamsikia,...baby nimepata order ya masweta na mataulo kutoka shule ya st maria,ila nimepungukiwa na hela,order ni kubwa.Kuna Aina 3 za WANAWAKE na Style zao za Mahusiano ya Kimapenzi,kwahiyo Unapochagua Aina unayotaka uwe na uhakika utaweza kuimudu...
TYPE 1: Aina ya KWANZA ni ile ambayo inaitwa CORPORATE BABES...Hawa ni Wanawake ambao wako very Independent, wengi wamesoma na wana kazi zao nzuri na WANAMILIKI MAGARI YAO...
Akija kulala kwako anakuja na Gari yake anapaki, anataka umpe Massage kwa sababu ya Uchovu wa Vikao, Report na Excel Sheet za Ofisini.. Hawataki Hela yako, All they need is a good CASSAVA Akiamka Asubuhi kabla hajaenda Kazini atapika Chai kisha atakuja kukuaga kwa Maneno Haya, "Baby, Mi nawahi Kazini, Nimekutengenezea Chai na Mayai, ukiamka Let me Know"
TYPE 2: Aina ya PILI hawa Sio Corporate Kiivyo ila wanajiita HUSTLERS.. Wana Vibiashara flani vinavyowaweka mjini lakini HAWANA MAGARI...
Akija kwako atakusimulia Miradi yake, Mzigo wa Vitenge alioagiza toka Congo, ATACHOMEKEA kwamba Kodi yake inakaribia kuisha..Mizinga yao huwa ni SEASONAL ila Utajuta.. Anakutegea ule muda unakaribia "Kuutupa Mkojo" anakupiga na hii Bili, "Baby naomba niongezee Milioni 3 nna mzigo
Bandarini umekwama halafu Cheque yangu imekwama hadi Next Week Please Bae ntakurudishia". Mkopeshe Uone!
TYPE 3: Aina ya 3 hawa wanaitwa NUNGAYEMBE TYPE... Shule Hawajaenda na Hawataki Kusoma kabisa... Hawataki kufanya Kazi, wao wanataka
KUDANGA, Kujibinua na wawe SELEBU GHAFLA... Ukimkuta Samaki Samaki unaweza kudhani ni Corporate Manager wa Benki Flani kumbe anakula
Mingo... Ukidate naye utafurahi...
Akija Ghetto kwako kulala asubuhi Sa1 wakati Usingizi ndo Umeanza
kukunogea ANAKUAMSHA, "Baby mi nataka niende, sasa UNANIACHAJE?" Unamuuliza, NAKUACHAJE KIVIPI? "Naomba Hela ya Bajaji SINA HATA
SHILINGI".
Ukipata TYPE 1, Usikawie, MUOE... Thats a Woman who can MULTIPLY YOUR WEALTH!
Ukipata TYPE 2 My Dear Kaza Moyo tu maana Umejitakia Mwenyewe. Ukipata TYPE 3 hakikisha UMEAGA KWENU maana huwa Wanaenda kwa Waganga kukuchawia ili usimuache, unashangaa demu ukitaka kumuacha huwezi kumbe alishakuwekea Kipande cha Nyama kwenye Papa
muda mrefu tu!
WANAUME TUNA KAZI SANA!
mimi siwezi kuwa namba tatu mkuu Behaviourist acha utani ila hatuwez ku reveal niko wapi. wewe dawa yako iko jikoni.@stunter tumfanyeje huyu jamaaaa.Unamuandama jje's Utadhani unamdai? Dawa yako ipo jikoni
[emoji1] [emoji1] [emoji1]mimi siwezi kuwa namba tatu mkuu Behaviourist acha utani ila hatuwez ku reveal niko wapi. wewe dawa yako iko jikoni.@stunter tumfanyeje huyu jamaaaa.