afadhali ucheke mapema maana dawa ikichemka hutapata muda wa kucheka[emoji1] [emoji1] [emoji1]
i don't think so but since it is your observations i remain silence.Mashuga mumy ndiyo yako type 1,yanageuza vijana kuwa sex machines
kwanza mwambie wewe ni Namba ya kirumi so wala asihangaike kukucalculate anajisumbua bureeee alafu Nishamwambia kuhusu namba wewe ni Namba 8 in shape babemimi siwezi kuwa namba tatu mkuu Behaviourist acha utani ila hatuwez ku reveal niko wapi. wewe dawa yako iko jikoni.@stunter tumfanyeje huyu jamaaaa.
hahahahahahhahahahahaha bby unajua wewe ni shidaaaah, thanks thoughkwanza mwambie wewe ni Namba ya kirumi so wala asihangaike kukucalculate anajisumbua bureeee alafu Nishamwambia kuhusu namba wewe ni Namba 8 in shape babe
Hivi kazi nazo si zina mwisho ,akifukuzwa kazi utamuacha?Mbavu zinauma kwa kucheka,mi nina namba 2,ni shiida tupu,wadogo zangu mkitaka kuoa,tafuteni mwenye kazi
Okay now I'm into you, like you never knew I'm falling for ya baby, I need a parachute **** so wet, I need a wet suit You're way too fly, I could be your jet fuel Now tell me what you like, I like what you tell me And if you understand me, then you can overwhelm mehahahahahahhahahahahaha bby unajua wewe ni shidaaaah, thanks though
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56]Kuna Aina 3 za WANAWAKE na Style zao za Mahusiano ya Kimapenzi,kwahiyo Unapochagua Aina unayotaka uwe na uhakika utaweza kuimudu...
TYPE 1: Aina ya KWANZA ni ile ambayo inaitwa CORPORATE BABES...Hawa ni Wanawake ambao wako very Independent, wengi wamesoma na wana kazi zao nzuri na WANAMILIKI MAGARI YAO...
Akija kulala kwako anakuja na Gari yake anapaki, anataka umpe Massage kwa sababu ya Uchovu wa Vikao, Report na Excel Sheet za Ofisini.. Hawataki Hela yako, All they need is a good CASSAVA Akiamka Asubuhi kabla hajaenda Kazini atapika Chai kisha atakuja kukuaga kwa Maneno Haya, "Baby, Mi nawahi Kazini, Nimekutengenezea Chai na Mayai, ukiamka Let me Know"
TYPE 2: Aina ya PILI hawa Sio Corporate Kiivyo ila wanajiita HUSTLERS.. Wana Vibiashara flani vinavyowaweka mjini lakini HAWANA MAGARI...
Akija kwako atakusimulia Miradi yake, Mzigo wa Vitenge alioagiza toka Congo, ATACHOMEKEA kwamba Kodi yake inakaribia kuisha..Mizinga yao huwa ni SEASONAL ila Utajuta.. Anakutegea ule muda unakaribia "Kuutupa Mkojo" anakupiga na hii Bili, "Baby naomba niongezee Milioni 3 nna mzigo
Bandarini umekwama halafu Cheque yangu imekwama hadi Next Week Please Bae ntakurudishia". Mkopeshe Uone!
TYPE 3: Aina ya 3 hawa wanaitwa NUNGAYEMBE TYPE... Shule Hawajaenda na Hawataki Kusoma kabisa... Hawataki kufanya Kazi, wao wanataka
KUDANGA, Kujibinua na wawe SELEBU GHAFLA... Ukimkuta Samaki Samaki unaweza kudhani ni Corporate Manager wa Benki Flani kumbe anakula
Mingo... Ukidate naye utafurahi...
Akija Ghetto kwako kulala asubuhi Sa1 wakati Usingizi ndo Umeanza
kukunogea ANAKUAMSHA, "Baby mi nataka niende, sasa UNANIACHAJE?" Unamuuliza, NAKUACHAJE KIVIPI? "Naomba Hela ya Bajaji SINA HATA
SHILINGI".
Ukipata TYPE 1, Usikawie, MUOE... Thats a Woman who can MULTIPLY YOUR WEALTH!
Ukipata TYPE 2 My Dear Kaza Moyo tu maana Umejitakia Mwenyewe. Ukipata TYPE 3 hakikisha UMEAGA KWENU maana huwa Wanaenda kwa Waganga kukuchawia ili usimuache, unashangaa demu ukitaka kumuacha huwezi kumbe alishakuwekea Kipande cha Nyama kwenye Papa
muda mrefu tu!
WANAUME TUNA KAZI SANA!
i don't wanna say litle things bae, I just wanna mention that i love you in wholeeeeeee, huhuhuhuhhhhhhhOkay now I'm into you, like you never knew I'm falling for ya baby, I need a parachute **** so wet, I need a wet suit You're way too fly, I could be your jet fuel Now tell me what you like, I like what you tell me And if you understand me, then you can overwhelm me
Okay now I'm into you, like you never knew I'm falling for ya baby, I need a parachute **** so wet, I need a wet suit You're way too fly, I could be your jet fuel Now tell me what you like, I like what you tell me And if you understand me, then you can overwhelm me
i don't wanna say litle things bae, I just wanna mention that i love you in wholeeeeeee, huhuhuhuhhhhhhh
here is our room loooooh,unless you wanna give us another roomGet a room,
This is not your's, we can hear and see everything baby.here is our room loooooh,unless you wanna give us another room
it will be gud for you to learn somethingThis is not your's, we can hear and see everything baby.
what if i don't want to,it will be gud for you to learn something
what if i don't want to,[/QUOTE
It is okey, if you don't like you might be good too cause you will advice us of something.