Jionee maajabu! Hizi ndizo aina tatu za wanawake na styles zao

Kaka, umenena vyema. Ni changamoto kwa kweli. Tatizo ni kuna baadhi ya wanawake ni Type 1 ila wanatabia za type 3. Hawa wamauwezo wa mzuri tu ila hawaishi kupiga mizinga ili mradi tu kukupa changamoto mtoto wa kiume. Hawa kwa sasa ni wengi sana.
 
ha ha mi nnayo moja huwa siielewi elewi naona kama ipo btwn namba 2 na namba 3 inantesa vibaya ila ndo ivo sasa ina papuchi nzuri
 
ha ha mi nnayo moja huwa siielewi elewi naona kama ipo btwn namba 2 na namba 3 inantesa vibaya ila ndo ivo sasa ina papuchi nzuri
hahahhahahahahahahahahaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…