edu88
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 692
- 516
Aisee point nzuri sana. Hawa wanazidi kuongezeka kwa kasi sana.UNAKUTA MWINGINE TYPE 1 Ila anaswaka za TPE 3 hapo VIPI mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee point nzuri sana. Hawa wanazidi kuongezeka kwa kasi sana.UNAKUTA MWINGINE TYPE 1 Ila anaswaka za TPE 3 hapo VIPI mkuu
Kaka, umenena vyema. Ni changamoto kwa kweli. Tatizo ni kuna baadhi ya wanawake ni Type 1 ila wanatabia za type 3. Hawa wamauwezo wa mzuri tu ila hawaishi kupiga mizinga ili mradi tu kukupa changamoto mtoto wa kiume. Hawa kwa sasa ni wengi sana.STUNTER aisee "nimebahatika" kuexpirience type zote hizi Tatu... Hao namba moja tatizo lau wajuaji mno ndio maana wengi wana mawe lakini hawaolewi! Ujuaji mwingi, alafu ukitaka mdumu au muishi viziri eidha umzidi hela au umzidi elimu (Sana sana hela) la sivyo 'unalo', utapiga weeee lakini hakubali habadani umuoe..
Hawa namba mbili huwaga ndio wasumbufu sana wakiolewa lakini sijui kwanini hawa type 2 ndio wana upepo wa kuolewa balaa!! Nahisi hawa wanajuaga kucheza na akili zetu wanaume.. Yani mnaweza kukaa mwezi au hata miezi miwili hajakuomba hata sh. mia yuko bize na 'mishe' zake za 'vitenge' lakini siku anakupiga mzinga huo mpaka nywele zinatoka mvi ghafla!! Alafu vizinga vyao huwa ni ngumu mwanaume kuchomoa, wako vizuri sana hawa!!
Alafu wanapenda kulazimisha ndoa, yani ukiwa nae miezi miwili tu anaanza kuongea mambo ya kuoana..
Hawa type 3 hawaumizi kichwa! Hawa wewe muhonge tu hela za kupanda 'bajaji', kubadilisha weaving, kununua handbag... Then na wewe jilipe, piga kadiri uwezavyo!! Lakini never ever usithubutu kuoa.. Alafu uzuri wenyewe wanajijuaga hawataki uwaache lakini pia akung'ang'anizi umuoe..
Kama ni kuoa angalau kidogo type 1, ingawa nao wengi wao wanakera hawajui kuplay ile role yao ya uanamke!! Wanataka nao wawe na sauti kama wewe..
Mi nasubiria Muumba atoe version mpya (type 4) labda hapo naweza kuoa.. [emoji3] [emoji41]
likewise i do bbytoangel of my life, Am proud of you
Una uhakika?
ha ha mi nnayo moja huwa siielewi elewi naona kama ipo btwn namba 2 na namba 3 inantesa vibaya ila ndo ivo sasa ina papuchi nzuri
dah kweli itakua 3 mkuu mana huwa siisomi kbskama inakutesa hiyo 3 huwaga zina changanya sanaaaaa
dah kweli itakua 3 mkuu mana huwa siisomi kbs
hv kuna wanawake marioo au?Una uhakika?
hahahhahahahahahahahahaaaaaaaaaaha ha mi nnayo moja huwa siielewi elewi naona kama ipo btwn namba 2 na namba 3 inantesa vibaya ila ndo ivo sasa ina papuchi nzuri
Acha tu yani usinichekehahahhahahahahahahahahaaaaaaaaaa
sijacheka kwa ubaya best nimefurah tuAcha tu yani usinicheke
hamnaga waambie wamekosea sio wote loooohHahahah , babe anamaanisha yani hao type 1 hupenda Marioo ili wawalee