John Amigo
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 627
- 414
Stunter ndugu yangu wewe inabid upewe ushushushu na magufuli maana kila cku unaibua mapya [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona nasikia bongo hawapo! tumeanzia type 2.Type1 huwa nawasikia tu kwenye story za watu
Mkuu sutuna katika ubora wako but wel said broo[emoji123]Kuna Aina 3 za WANAWAKE na Style zao za
Mahusiano ya Kimapenzi,kwahiyo Unapochagua Aina
unayotaka uwe na uhakika utaweza kuimudu...
TYPE 1: Aina ya KWANZA ni ile ambayo inaitwa
CORPORATE BABES...Hawa ni Wanawake ambao wako
very Independent, wengi wamesoma na wana kazi zao nzuri na WANAMILIKI MAGARI YAO...Akija kulala
kwako anakuja na Gari yake anapaki, anataka umpe
Massage kwa sababu ya Uchovu wa Vikao, Report na
Excel Sheet za Ofisini..Hawataki Hela yako, All they
need is a good CASSAVA Akiamka Asubuhi kabla
hajaenda Kazini atapika Chai kisha atakuja kukuaga kwa Maneno Haya, "Baby, Mi nawahi Kazini, Nimekutengenezea Chai na Mayai, ukiamka Let me Know"
TYPE 2: Aina ya PILI hawa Sio Corporate Kiivyo ila
wanajiita HUSTLERS..Wana Vibiashara flani
vinavyowaweka mjini lakini HAWANA MAGARI...Akija
kwako atakusimulia Miradi yake, Mzigo wa Vitenge alioagiza toka Congo,ATACHOMEKEA kwamba Kodi
yake inakaribia kuisha..Mizinga yao huwa ni
SEASONAL ila Utajuta.. Anakutegea ule muda
unakaribia "Kuutupa Mkojo" anakupiga na hii Bili,
"Baby naomba niongezee Milioni 3 nna mzigo
Bandarini umekwama halafu Cheque yangu imekwama hadi Next Week Please Bae ntakurudishia"
Mkopeshe Uone!
TYPE 3: Aina ya 3 hawa wanaitwa NUNGAYEMBE TYPE...Shule Hawajaenda na Hawataki Kusoma
kabisa...Hawataki kufanya Kazi, wao wanataka
KUDANGA, Kujibinua na wawe SELEBU GHAFLA... Ukimkuta Samaki Samaki unaweza kudhani
ni Corporate Manager wa Benki Flani kumbe anakula
Mingo...Ukidate naye utafurahi...Akija Ghetto kwako
kulala asubuhi Sa1 wakati Usingizi ndo Umeanza
kukunogea ANAKUAMSHA, "Baby mi nataka
niende, sasa UNANIACHAJE?" Unamuuliza, NAKU ACHAJE KIVIPI? "Naomba Hela ya Bajaji SINA HATA
SHILINGI"
Ukipata TYPE 1, Usikawie,MUOE...Thats a Woman who
can MULTIPLY YOUR WEALTH!
Ukipata TYPE 2 My Dear Kaza Moyo tu maana
Umejitakia Mwenyewe. Ukipata TYPE 3 hakikisha UMEAGA KWENU maana huwa Wanaenda kwa
Waganga kukuchawia ili usimuache, unashangaa
demu ukitaka kumuacha huwezi kumbe
alishakuwekea Kipande cha Nyama kwenye Papa
muda mrefu tu! WANAUME TUNA KAZI SANA!
Ulisoma Bishop Durning?Ha ha ha ha serius JF never get bored....