100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Mzee fungua kichwa ujifunze, usibishe kuonekana umebisha au utaonekana umeshindwa, bisha kama hujaelewa au unaona hoja ina ulakini, kubisha hovyo haupo tayari kujifunza, ume lock kichwa sasa ni bora kuachana na wewe kwa maana haina haja, endelea na ujinga wako uliomezeshwa wayahudi wana akili nyingi kuliko wengine.sawa tuanze na china, twende kazi, naifahamu
Hata kumpata Nasrallah si kwa sababu yupo kwenye handaki, bali ni kwa sababu wapo vizuri katika intelligence, watu wakijua na wanakutafuta hata kama upo mwezini watakufuata, kama mwanadamu kafika mwezini anashindwa nini kufika kwenye pango.. 🤣 🤣 🤣mambo ya kufeli intelijinsia hua yanatokea ni vitu vya kawaida hata US na Urusi wenyewwe hua wanafeli, so usianze sasa kuongea propaganda ebu ongea real facts mzee
ningefurahi kama ungeniletea huo ubunifu usije sema ooh wao ndo waligundua kufuli, uanze kuleta apa mambo ya ki old skuliKama historia ya China yote unaifahamu kwa nini unaandika upuuzi kuwa hawajahi kubuni chochote zaidi ya kucopy na kupaste unajitambua kweli ?
Umesoma nilicho kuletea au bado ?ningefurahi kama ungeniletea huo ubunifu usije sema ooh wao ndo waligundua kufuli, uanze kuleta apa mambo ya ki old skuli
gunduzi hizo za kizaman ata waarabu wamezifanya nyingi tu, ebu ongelea mambo ya maana, na kuhusu mambo ya civilization hata wairan na jamii nyingi tu zilianza kitamboTwende taratibu ila nikukumbushe kabisa kuwa dunia haijaanza baada ya western civilization( wazungu ) dunia ipo toka kitambo.
taratibu tutafika.
China has been the source of many innovations, scientific discoveries and inventions.[1] This includes the Four Great Inventions: papermaking, the compass, gunpowder, and printing (both woodblock and movable type).
endeleaTwende taratibu.
The historical region now known as China experienced a history involving mechanics, hydraulics and mathematics applied to horology, metallurgy, astronomy, agriculture, engineering, music theory, craftsmanship, naval architecture and warfare. Use of the plow during the Neolithic period Longshan culture (c. 3000–c. 2000 BC) allowed for high agricultural production yields and rise of Chinese civilization during the Shang Dynasty (c. 1600–c. 1050 BC).[2] Later inventions such as the multiple-tube seed drill and the heavy moldboard iron plow enabled China to sustain a much larger population through improvements in agricultural output.
Hapo ndipo unafeli, ndio maana jamaa kakuambia hapo dunia haijaanza kwenye western civilization, kila nyakati kulikuwa kuna gunduzi zilizosaidia kufika hapa tulipo, simu ya Philips yenye mkonga mwaka 1998 huwezi sema leo si kitu, kila kitu ni bora katika wakati wake.gunduzi hizo za kizaman ata waarabu wamezifanya nyingi tu, ebu ongelea mambo ya maana, na kuhusu mambo ya civilization hata wairan na jamii nyingi tu zilianza kitambo
intelijinsia imara inachangiwa na vitu vingi ikiwemo mambo ya dini na uzalendo, nimekupa mfano hata marekani pamoja na kwamba ana teknologia alifeli vietnam sababu kuu ni uzalendo, urusi alifeli afghanistanHata kumpata Nasrallah si kwa sababu yupo kwenye handaki, bali ni kwa sababu wapo vizuri katika intelligence, watu wakijua na wanakutafuta hata kama upo mwezini watakufuata, kama mwanadamu kafika mwezini anashindwa nini kufika kwenye pango.. 🤣 🤣 🤣
Umeona akili yako ilivyo ya kipuuzi sasa.gunduzi hizo za kizaman ata waarabu wamezifanya nyingi tu, ebu ongelea mambo ya maana, na kuhusu mambo ya civilization hata wairan na jamii nyingi tu zilianza kitambo
hizo gunduzi anazotaja jamaa sijui za kugundua rula nimekuambia hata waarabu, wapersia wamezifanya nyingi tu hazina maajabu yeyote, nasubiri aendelee kuleta zingineHapo ndipo unafeli, ndio maana jamaa kakuambia hapo dunia haijaanza kwenye western civilization, kila nyakati kulikuwa kuna gunduzi zilizosaidia kufika hapa tulipo, simu ya Philips yenye mkonga mwaka 1998 huwezi sema leo si kitu, kila kitu ni bora katika wakati wake.
Leo hii apple computer inafika hapa lakini apple ilikuwa ni computer haina screen RAM ilikuwa ni Kilobytes kadhaa, hadi leo wana computer zina RAM GB 64..
Hizo gunduzi ni kubwa sana katika wakati wake...
Ukiachilia hayo, hata katika dunia ya leo China inafanya maajabu katika science, Japan, South Korea n.k
Kama unatambua hilo hakukuwa na haja ya kusema Nasrallah hajauwawa kisa anajificha mapangoni, nafurahi umejijibu...intelijinsia imara inachangiwa na vitu vingi ikiwemo mambo ya dini na uzalendo, nimekupa mfano hata marekani pamoja na kwamba ana teknologia alifeli vietnam sababu kuu ni uzalendo, urusi alifeli afghanistan
We unataka gunduzi za aina gani?hizo gunduzi anazotaja jamaa sijui za kugundua rula nimekuambia hata waarabu, wapersia wamezifanya nyingi tu hazina maajabu yeyote, nasubiri aendelee kuleta zingine
Ulitaka China igundue gari linalo paa, Smartphones, Treni ya umeme 400 B.C.E ?hizo gunduzi anazotaja jamaa sijui za kugundua rula nimekuambia hata waarabu, wapersia wamezifanya nyingi tu hazina maajabu yeyote, nasubiri aendelee kuleta zingine
endelea mbona umeishia kwenye rula na makufuli au walivogundua tu hivo vitu IQ zao zikaisha zikaja tena kuanza kipindi hiki?Ulitaka China igundue gari linalo paa, Smartphones, Treni ya umeme 400 B.C.E ?
tunaongelea gunduzi ambazo zimebadilisha maisha haya tunayoishi sa ivi hii inayokupa jeuri ya kuongea pumba humu jamii forumWe unataka gunduzi za aina gani?
Kumbe unataka elimu si ungesema toka awali kuliko ubishi usio na maana.endelea
Dogo wewe ni mpumbavu.tunaongelea gunduzi ambazo zimebadilisha maisha haya tunayoishi sa ivi hii inayokupa jeuri ya kuongea pumba humu jamii forum
Una taka kupewa historia au unataka nini ?endelea mbona umeishia kwenye rula na makufuli au walivogundua tu hivo vitu IQ zao zikaisha zikaja tena kuanza kipindi hiki?