Jionee mwenyewe jinsi teknolojia inayotumika Israel kuzuia makombora ilivyoboreshwa, akili iliyotumika kubuni huu mtambo si ya kawaida

Jionee mwenyewe jinsi teknolojia inayotumika Israel kuzuia makombora ilivyoboreshwa, akili iliyotumika kubuni huu mtambo si ya kawaida

sawa tuanze na china, twende kazi, naifahamu
Mzee fungua kichwa ujifunze, usibishe kuonekana umebisha au utaonekana umeshindwa, bisha kama hujaelewa au unaona hoja ina ulakini, kubisha hovyo haupo tayari kujifunza, ume lock kichwa sasa ni bora kuachana na wewe kwa maana haina haja, endelea na ujinga wako uliomezeshwa wayahudi wana akili nyingi kuliko wengine.

Unapewa facts unabisha tu, we mtu gani?
 
mambo ya kufeli intelijinsia hua yanatokea ni vitu vya kawaida hata US na Urusi wenyewwe hua wanafeli, so usianze sasa kuongea propaganda ebu ongea real facts mzee
Hata kumpata Nasrallah si kwa sababu yupo kwenye handaki, bali ni kwa sababu wapo vizuri katika intelligence, watu wakijua na wanakutafuta hata kama upo mwezini watakufuata, kama mwanadamu kafika mwezini anashindwa nini kufika kwenye pango.. 🤣 🤣 🤣
 
Kama historia ya China yote unaifahamu kwa nini unaandika upuuzi kuwa hawajahi kubuni chochote zaidi ya kucopy na kupaste unajitambua kweli ?
ningefurahi kama ungeniletea huo ubunifu usije sema ooh wao ndo waligundua kufuli, uanze kuleta apa mambo ya ki old skuli
 
Twende taratibu ila nikukumbushe kabisa kuwa dunia haijaanza baada ya western civilization( wazungu ) dunia ipo toka kitambo.

taratibu tutafika.

China has been the source of many innovations, scientific discoveries and inventions.[1] This includes the Four Great Inventions: papermaking, the compass, gunpowder, and printing (both woodblock and movable type).
gunduzi hizo za kizaman ata waarabu wamezifanya nyingi tu, ebu ongelea mambo ya maana, na kuhusu mambo ya civilization hata wairan na jamii nyingi tu zilianza kitambo
 
Twende taratibu.

The historical region now known as China experienced a history involving mechanics, hydraulics and mathematics applied to horology, metallurgy, astronomy, agriculture, engineering, music theory, craftsmanship, naval architecture and warfare. Use of the plow during the Neolithic period Longshan culture (c. 3000–c. 2000 BC) allowed for high agricultural production yields and rise of Chinese civilization during the Shang Dynasty (c. 1600–c. 1050 BC).[2] Later inventions such as the multiple-tube seed drill and the heavy moldboard iron plow enabled China to sustain a much larger population through improvements in agricultural output.
 
endelea
 
gunduzi hizo za kizaman ata waarabu wamezifanya nyingi tu, ebu ongelea mambo ya maana, na kuhusu mambo ya civilization hata wairan na jamii nyingi tu zilianza kitambo
Hapo ndipo unafeli, ndio maana jamaa kakuambia hapo dunia haijaanza kwenye western civilization, kila nyakati kulikuwa kuna gunduzi zilizosaidia kufika hapa tulipo, simu ya Philips yenye mkonga mwaka 1998 huwezi sema leo si kitu, kila kitu ni bora katika wakati wake.

Leo hii apple computer inafika hapa lakini apple ilikuwa ni computer haina screen RAM ilikuwa ni Kilobytes kadhaa, hadi leo wana computer zina RAM GB 64..

Hizo gunduzi ni kubwa sana katika wakati wake...

Ukiachilia hayo, hata katika dunia ya leo China inafanya maajabu katika science, Japan, South Korea n.k
 
Hata kumpata Nasrallah si kwa sababu yupo kwenye handaki, bali ni kwa sababu wapo vizuri katika intelligence, watu wakijua na wanakutafuta hata kama upo mwezini watakufuata, kama mwanadamu kafika mwezini anashindwa nini kufika kwenye pango.. 🤣 🤣 🤣
intelijinsia imara inachangiwa na vitu vingi ikiwemo mambo ya dini na uzalendo, nimekupa mfano hata marekani pamoja na kwamba ana teknologia alifeli vietnam sababu kuu ni uzalendo, urusi alifeli afghanistan
 
gunduzi hizo za kizaman ata waarabu wamezifanya nyingi tu, ebu ongelea mambo ya maana, na kuhusu mambo ya civilization hata wairan na jamii nyingi tu zilianza kitambo
Umeona akili yako ilivyo ya kipuuzi sasa.

Bila ugunduzi wa China wa Compass unafikiri wazungu wangetoka vipi huko kwao ulaya kuja kutawala Babu na Bibi zako na kufanya watumwa ?

Unafikiri bila ugunduzi wa China wa gunpowder leo dunia wazungu wange miliki makoloni na watu kulinda mali na mipaka yao ?

Unafikiri bila ugunduzi wa China wa Paper kungekuwa na vitabu na sehemu za kuhifadhia vitu muhimu ?

Unafikiri bila ugunduzi wa China wa Paper money leo biashara zingekuwa vipi ?

Bila ugunduzi wa China wa uchapishaji taarifa na documents muhimu watu wangehifadhi vipi kiusahihi ?
 
Hapo ndipo unafeli, ndio maana jamaa kakuambia hapo dunia haijaanza kwenye western civilization, kila nyakati kulikuwa kuna gunduzi zilizosaidia kufika hapa tulipo, simu ya Philips yenye mkonga mwaka 1998 huwezi sema leo si kitu, kila kitu ni bora katika wakati wake.

Leo hii apple computer inafika hapa lakini apple ilikuwa ni computer haina screen RAM ilikuwa ni Kilobytes kadhaa, hadi leo wana computer zina RAM GB 64..

Hizo gunduzi ni kubwa sana katika wakati wake...

Ukiachilia hayo, hata katika dunia ya leo China inafanya maajabu katika science, Japan, South Korea n.k
hizo gunduzi anazotaja jamaa sijui za kugundua rula nimekuambia hata waarabu, wapersia wamezifanya nyingi tu hazina maajabu yeyote, nasubiri aendelee kuleta zingine
 
intelijinsia imara inachangiwa na vitu vingi ikiwemo mambo ya dini na uzalendo, nimekupa mfano hata marekani pamoja na kwamba ana teknologia alifeli vietnam sababu kuu ni uzalendo, urusi alifeli afghanistan
Kama unatambua hilo hakukuwa na haja ya kusema Nasrallah hajauwawa kisa anajificha mapangoni, nafurahi umejijibu...
 
hizo gunduzi anazotaja jamaa sijui za kugundua rula nimekuambia hata waarabu, wapersia wamezifanya nyingi tu hazina maajabu yeyote, nasubiri aendelee kuleta zingine
Ulitaka China igundue gari linalo paa, Smartphones, Treni ya umeme 400 B.C.E ?
 
Kumbe unataka elimu si ungesema toka awali kuliko ubishi usio na maana.

By the Warring States period (403–221 BC), inhabitants of China had advanced metallurgic technology, including the blast furnace and cupola furnace, while the finery forge and puddling process were known by the Han Dynasty (202 BC–AD 220). A sophisticated economic system in imperial China gave birth to inventions such as paper money during the Song Dynasty (960–1279). The invention of gunpowder in the mid 9th century during the Tang dynasty led to an array of inventions such as the fire lance, land mine, naval mine, hand cannon, exploding cannonballs, multistage rocket and rocket bombs with aerodynamic wings and explosive payloads. Differential gears were utilized in the south-pointing chariot for terrestrial navigation by the 3rd century during the Three Kingdoms. With the navigational aid of the 11th century compass and ability to steer at sea with the 1st century sternpost rudder, premodern Chinese sailors sailed as far as East Africa.[3][4][5] In water-powered clockworks, the premodern Chinese had used the escapement mechanism since the 8th century and the endless power-transmitting chain drive in the 11th century. They also made large mechanical puppet theaters driven by waterwheels and carriage wheels and wine-serving automatons driven by paddle wheel boats.
 
tunaongelea gunduzi ambazo zimebadilisha maisha haya tunayoishi sa ivi hii inayokupa jeuri ya kuongea pumba humu jamii forum
Dogo wewe ni mpumbavu.

Kwa hiyo
Printing
Paper
Gunpowder
Compass
Money

Hazijabadili maisha ya leo ? Changamoto sana humu
 
Back
Top Bottom