100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Mzee fungua kichwa ujifunze, usibishe kuonekana umebisha au utaonekana umeshindwa, bisha kama hujaelewa au unaona hoja ina ulakini, kubisha hovyo haupo tayari kujifunza, ume lock kichwa sasa ni bora kuachana na wewe kwa maana haina haja, endelea na ujinga wako uliomezeshwa wayahudi wana akili nyingi kuliko wengine.sawa tuanze na china, twende kazi, naifahamu
Unapewa facts unabisha tu, we mtu gani?