100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Vita wameitaka wenyewe kuchukua ardhi ya watu kwa nguvu.Jiulize hao Saudia wangekuwa kwny vita kama ya Israel leo si wangekuwa sw Libyia ? Israel miaka yote yupo kwenye mtanange ila bado anajenga nchi yake , na kazungukwa na maadui , Israel wapewe maua yao , siku wakiachiwa miaka 30 bila chokochoko zozote utaona atakavyowaacha hao Saudia kimiundo mbinu , taifa la juzi 1948 kipind hiko Saudia wapo hatua kadhaa ila leo hii Israel wapo juu kiuchumi
Nakuambiaje mzee hizo ni hekaya, wayahudi wanajua kuwachukua akili na kuwatisha.Matajiri wengi wa Kiyahudi hawaishi Israeli.Ulaya na America ndiko kuliko na Wayahudi wengi kwenye mfumo wa pesa wa kidunia.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Israel wanapewa dollars billion 3 ($ 3 billion) na US kila mwaka ili kugharamia huo mfumo wa Iron dome.Waisrael ndio wanashikilia mifumo ya fedha, suala la pesa sio tatizo kwao ila hawasemi hadharani, missle moja ya iron dome kuwa dola elf 50 kwao ni kama kununua mawe ya manati.
Mambo ya fedha hayawaumizi vichwa.
Kama ndio hivyo zile roketi 150,000 za Hezbollah ni kitisho sana kwa Israel, yaani Kuna hatari miji mingi ya Israel ikawa hatarini mzozo ukigeuka Vita kamili.Hakuna nchi inaweza izuia makombora 1000 kwa pamoja. Hata 100 kwa pamoja haipo sababu huwezi jaza batteries kibao sehemu moja, hizo chache zilizopo lazima ziwe overwhelmed na bado kuna reloading time
kwani we huwapendi?Unawapenda sana Waisrael eeenh?
Upo sahihi kabisa kiongozi, US Kuna kila aina ya jamii iliyopo hapa duniani.Nakuambiaje mzee hizo ni hekaya, wayahudi wanajua kuwachukua akili na kuwatisha.
US ana support Israel kwa sababu wana kitu common, wote wanataka kuwamaliza nguvu arabs, serikali ya US hata wakerewe na wamasai wapo ukifuatilia koo.
Wenye asili ya Japan, India, China hadi Iran wapo sector zote hapo US.
Jews wapo, in short watu wa mataifa yote wapo pale. Jeshini huko ndiko usiseme hadi wenye asili ya Afghanisan, Pakistan, Lebanese, Palestinians wapo wengine wana vyeo.
ah wapi! Yote yatamezwa kama wale nyoka wa misri walivyomezwa na nyoka wa musaHii ndio Iron dome iliyoboreshwa?
Ikikutana na maroketi zaidi ya 1000 mfululizo lazima izidiwe
T14 Armata
Lini Israel imeshindwa Vita vya chini ?Israel vita ya chini hawezi, na bila mmarekani, uingereza, ufaransa n.k si chochote.
Ukiambiwa Israelites sio binadam just believe haya majamaa yana nguvu za Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo. Kazi kwako. Yaani jina lao tu maana yake walishindana na Mungu. Je utawaweza? Hapo waarabu wakigusa tu wamenasa na anamtaka mmoja tu Iran
Intercontinental ballistic missiles ya North Korea inawafaaItestiwe na hypersonic kama kinzah na za aina hiyo ndio tutazisifu vzr. Hivyo vi gurunet vya hamas sio kipimo kizuri
Utetei na unaegemea kwa mwarabu Mara Hamas Mara hizbullah Wana makombora 150.000 vipi funguka. Hao wote uliowataja mfadhili wao Ni iranSipo hapa kutetea waarabu wala Israel, vyovyote vile ni sawa, lakini hekaya za kunambia Israel wamekamata mifumo ya fedha sio kweli.
Nikakuambia kuna nchi zina pesa kama hizo za uarabuni, haimaanishi natetea no, lakini nazunumza ukweli, Israel haina uchumi wowote wa kupambana na nchi kama Iran, Russia, China au India. Ni ile mnawapamba sana.
Hii vita tu ya Hamas wameomba msaada dola bilioni 14, Tamir intercepto 1 ya iron dome ni Tshs milioni 125.
Wakai huo Hezbollah wana makombora 150,000 ukijumuisha advanced precision-guided missiles, rockets kiasi hiko hata iron dome haiwezi hilo battle. Thats too much.
Hizo 150,000 nyingi ni ndogo kina Katyusha na zenye range ndogo. Zipo maelfu zenye zaidi ya 150km range ila probably haziwezi fyatuliwa kwa kufuatana mpaka ziishe.Kama ndio hivyo zile roketi 150,000 za Hezbollah ni kitisho sana kwa Israel, yaani Kuna hatari miji mingi ya Israel ikawa hatarini mzozo ukigeuka Vita kamili.
Israel iliwahi poteza vita moja tu, vita ya propaganda dhidi ya Waislamu na Waarabu. Na hiyo vita inaenda kuwa neutral diplomasia zinafanya kazi.
Waisraeli na Israel yao sio matajiri ila Wayahudi ni matajiri. Israel haiwezi kuwa tajiri sababu haina resources, ina changamoto za kiusalama, haipo strategically located kama sisi au Singapore. Yani Israel haina lolote la kuifanya iwe nzuri kiuchumi, pale ilipo ni juhudi na akili kubwa yao. Ikitakiwa iwe level za Yemen, wale ndio Middle East wasio na rasilimali kabisa. Usiilinganishe Israel na Qatar nchi ya pili kwa kuchimba gesi duniani. Usiilinganishe na Saudi Arabia inayouza zaidi ya mapipa milioni 2 ya mafuta kila siku.Kuhusu matumizi mi sifahamu , lakini ukitembea Qatar, UAE au Saudia na ukaenda Israel utaona tofauti kubwa ya kimiundombinu, utaona hao arabs walivyoendelea kuliko Israel.
Lakini ukae ukijua tu kuna nchi tajiri na nchi yenye uchumi, Qatar inaizidi utajiri US, lakini US wanaizidi uchumi Qatar.
Waisraeel ndio wanaotengeneza hayo maisha apo marekani. Na wanaotoa izo pesa ni wayahudi wenzao, hizo ni hekaya, nchi zenye pesa chafu ni arabuni huko, israel inapokea msaada wa dola bilioni 3 kila mwaka kutoka US, na juzi hapa wameomba wasaidiwe dola bilioni 14 kupambana na Hamas.
Vita ni gharama mzee, wangekuwa wameshikilia mifumo ya pesa wasingeomba msaada.
Inazuia makombora yaliotengenezwa mitaani ilitakiwa ipimwe Kwa kinzalMissile 1 ya iron dome ina cost $50000.
Roketi moja likizuiwa lililotengenezwa kienyeji, almost Tshs milioni 125 imetembea, vita ni gharama sana.
kwa hesabu za haraka hapo ni kama bilioni 5 Tshs zinafika kuzuia hayo maroketi.
Kwa Tech ya Iron Dome Israel ipewe maua yake, nisiwe mnafiki.