F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,345
- 1,069
Kwahiyo makimbora ya Qassam yaliyopiga Israel juz tar 17 yalikua na akili zaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo makimbora ya Qassam yaliyopiga Israel juz tar 17 yalikua na akili zaidi?
Hii ndio Iron dome iliyoboreshwa?
Ikikutana na maroketi zaidi ya 1000 mfululizo lazima izidiwe
T14 Armata
Ukitaka kulinganisha Waarabu vs Wayahudi hapo si utawapa Wayahudi credit ya waziwazi. Yani sasahivi tuanze kutaja ni Marais wangapi, wanasayansi, wagunduzi, mabilionea walikuwa Wayahudi si tutakesha.Uongo mtakatifu, Nchi ambayo ina wapalestina wengi Duniani nje ya Middle East ni Chile.
Chile ni Nchi ya Tatu kwa Utajiri wa mtu mmoja mmoja Nyuma ya Uruguay na Guyana, na Nchi ya kwanza kwa Utajiri kwa Nchi za South America zenye population Atleast ya watu milioni 10.
Kitu gani kimefanya Chile kuwa Tajiri? Wapalestina ni Sababu kubwa, Hapo Santiago kuna wapelistina kama 500K ambao ni very successful wameanzisha makampuni Makubwa tu.
Si Chile tu South America na Latin Kwa Ujumla kuna Levant arabs wa Kutosha ambao wame revolutionize hilo eneo watu kama Carlos slim Tajiri wa Dunia 2010-2013 ambaye mpaka Leo yupo top 10 ndio anawaletea series za Ki Mexico mpaka Leo wadada wanaoangalia huku.
Nchi kama Argentina, Uruguay, Brazil, El Salvador na Nchi nyingi za huu Ukanda zina influence kubwa sana za levants Tunaongelea influence hadi wamekua Maraisi, Raisi wa Sasa wa El salvador ni NAYIB bukele toka Palestina, si NAYIB tu hata aliekua Raisi wa Argentina Carlos Menem pia ni mwarabu wa Syria.
Toka South Nenda Hapo Usa unakutana na Steve Job mwarabu mwengine toka Ukanda huo huo kaanzisha kampuni ambayo imekuwa Tajiri kuliko zote Duniani. Leo Kampuni Tatu Tajiri zaidi Duniani ni Apple, Microsoft na Saudi Aramco, so 3 Tajiri duniani 2 zimeanzishwa na waarabu.
Hivyo kusema Wapelstina wakikaribishwa ugenini ni magaidi kuna onesha upo tayari Kuongea uongo kumridhisha mabwana wako na ku ignore mafanikio Makubwa ambayo wapalestina wameyaleta Duniani Hali ya kuwa wamefungwa mikono
Imepakana na misri ila Hio boda imepigwa zege kabisa ambalo ulitoe unahitaji Winch, Gaza ni Gereza kubwa tu.Ila Gaza imepakana na Misri.
Huu mzingiro waliowekewa Gaza toka Hamas ishinde uchaguzi wa 2007 na baadae kuitwaa Gaza baada ya kupigana na Fatah ni uonevu kabisa.
Kama ukiwa na mafuta tu unatajirika kwanini Nigeria, Angola na nchi kibao zenye mafuta Africa sio Matajiri? Angola ina mafuta kuliko Nchi kibao za Kiarabu ila uchumi wake haufikii hata 10% ya hizo nchi ilizozipita mafuta.Ukitaka kulinganisha Waarabu vs Wayahudi hapo si utawapa Wayahudi credit ya waziwazi. Yani sasahivi tuanze kutaja ni Marais wangapi, wanasayansi, wagunduzi, mabilionea walikuwa Wayahudi si tutakesha.
Kwanini umeenda mbali Chile ambapo kuna Wapalestina wachache na usianzie Jordan ambapo wapo wengi zaidi, usiende Lebanon na usiende Egypt. Kote uko wanazua tafrani.
Steve Jobs mzazi wake mwarabu hakumlea alimgawa, asili yake ya baba kutoka Syria haina influence kwake. Na Saudi Aramco ni kampuni ya kuchimba mafuta ambayo ni mengi Saudi Arabia, hata vilaza ukiwapa mafuta watachimba as long as yanaendelea kutoka. Sio suala la jitihada binafsi za watu kuifanya Saudi Aramco kuwa kubwa ni suala la uwepo wa mafuta unafanya kampuni iwe kubwa yakiisha inafirisika.
Ila ni suala la jitihada za Waitaliano kuifanya Eni iwe kubwa, au Wafaransa kuifanya Total iwe kubwa, au Waingereza kuifanya BP iwe kubwa. Wao almost hawana mafuta ila makampuni yao makubwa.
Alafu Saudi Aramco haijaanzishwa na Waarabu, imeanzishwa na Wamarekani. Waarabu hawakuwa na hiyo akili ya kuchimba mafuta wala kufanya exploration. Walijikuta tu wameyakalia na idea ya kutafiti sio yao. Unahisi kwanini inaitwa Saudi Aramco, ARAMCO = (the ARabia AMerican Oil Company). Aramco ilianzishwa na Standard Oil ya California, serikali ya Saudi walielekezwa kusaini tu.
Mkuu wanapaza sauti ila hawana platform, mfano Hadidi ni Celebrity wakubwa Usa na wamepaza sauti kubwa tu Ila ukitoa Twitter na Aljazeera waliobakia wote wamechagua upande, media nyingi zina shadowban palestinian issues.Hao Levant wenye influence kubwa hasa walio Wapalestina wanahitaji kupaza sauti sana ili kutetea haki za Wapalestina maana waarabu kupitia Arab league wameshasalim amri.
Angalau Uturuki, Iran na nchi kama Ireland, Hispania ndio zipo mstari wa mbele kuitetea Palestine kuliko waarabu.
Steve Jobs baba yake alikuwa katoka Syria, hio haibadilishi maana kwamba ana asili ya watu kutoka Syria, ni kama African American ipo wazi asili yao ni Africa.Ukitaka kulinganisha Waarabu vs Wayahudi hapo si utawapa Wayahudi credit ya waziwazi. Yani sasahivi tuanze kutaja ni Marais wangapi, wanasayansi, wagunduzi, mabilionea walikuwa Wayahudi si tutakesha.
Kwanini umeenda mbali Chile ambapo kuna Wapalestina wachache na usianzie Jordan ambapo wapo wengi zaidi, usiende Lebanon na usiende Egypt. Kote uko wanazua tafrani.
Steve Jobs mzazi wake mwarabu hakumlea alimgawa, asili yake ya baba kutoka Syria haina influence kwake. Na Saudi Aramco ni kampuni ya kuchimba mafuta ambayo ni mengi Saudi Arabia, hata vilaza ukiwapa mafuta watachimba as long as yanaendelea kutoka. Sio suala la jitihada binafsi za watu kuifanya Saudi Aramco kuwa kubwa ni suala la uwepo wa mafuta unafanya kampuni iwe kubwa yakiisha inafirisika.
Ila ni suala la jitihada za Waitaliano kuifanya Eni iwe kubwa, au Wafaransa kuifanya Total iwe kubwa, au Waingereza kuifanya BP iwe kubwa. Wao almost hawana mafuta ila makampuni yao makubwa.
Alafu Saudi Aramco haijaanzishwa na Waarabu, imeanzishwa na Wamarekani. Waarabu hawakuwa na hiyo akili ya kuchimba mafuta wala kufanya exploration. Walijikuta tu wameyakalia na idea ya kutafiti sio yao. Unahisi kwanini inaitwa Saudi Aramco, ARAMCO = (the ARabia AMerican Oil Company). Aramco ilianzishwa na Standard Oil ya California, serikali ya Saudi walielekezwa kusaini tu.
Hii nakubariKuhusu matumizi mi sifahamu , lakini ukitembea Qatar, UAE au Saudia na ukaenda Israel utaona tofauti kubwa ya kimiundombinu, utaona hao arabs walivyoendelea kuliko Israel.
Lakini ukae ukijua tu kuna nchi tajiri na nchi yenye uchumi, Qatar inaizidi utajiri US, lakini US wanaizidi uchumi Qatar.
Kwanini Misri imedhibiti mpaka wake na Gaza kiasi hiki? Wanawaogopa Hamas?Imepakana na misri ila Hio boda imepigwa zege kabisa ambalo ulitoe unahitaji Winch, Gaza ni Gereza kubwa tu. View attachment 2794460
Mkataba wao na Israel baada ya vita ya Yom kipur na Egpty kurudishiwa Sinai Peninsula ni kuwa Huo mpaka haufunguliwi mpaka makubaliano ya wote Egpty na Israel. So Israel Haja kubali ufunguliwe ndio Maana HaufunguliwiKwanini Misri imedhibiti mpaka wake na Gaza kiasi hiki? Wanawaogopa Hamas?
Good luck on your way, naona unanifundisha kuhusu Jews na Ashkenazi Jews.Steve Jobs baba yake alikuwa katoka Syria, hio haibadilishi maana kwamba ana asili ya watu kutoka Syria, ni kama African American ipo wazi asili yao ni Africa.
Kusema Steve Jobs baba yake ni kutoka Syria na hana Influence kwake unakosea, kwani hao scientists wa kiyahudi na billionares unao wasifu wameishi wapi? wengi wametokea Europe na America, hao tunawaita ashkenazi, asilimia 80 ya wayahudi wa leo ni Ashkenazi hio ni homework nakupa kafanye utafiti.
Hao scientists, billionares n.k wamepata hayo mafanikio wakiwa nchi za watu na sio kwao, na hadi leo wanapewa msaada kijeshi na kiuchumi, wame inter marriage na koo na kabila nyingi tu, kama walifanikiwa wakiwa nchi za watu naomba unambie influence ya taifa la Israel iko wapi?
Steve Jobs hata babu yake angekuwa myahudi ungesikia kelele kila kona huyo ni myahudi, lakini baba yake ni mtu toka Syria eti hana influence kwake, huo ni ujinga.
Pale Israel wamejaa Ashkenazi Jews, mchanganyiko wa wazungu na wayahudi, vumbuzi nyingi na hizo pesa wamezipata wakiwa ugenini, tuambie hio influence ya taifa la Israel ni ipi?
Basi huo mkataba wa amani umeibana mno Misri, hata kumpangia namna ya kutumia mipaka yake.Mkataba wao na Israel baada ya vita ya Yom kipur na Egpty kurudishiwa Sinai Peninsula ni kuwa Huo mpaka haufunguliwi mpaka makubaliano ya wote Egpty na Israel. So Israel Haja kubali ufunguliwe ndio Maana Haufunguliwi
View attachment 2794780
Upande wa Egpty kuna Foleni kubwa ya Humanitarian Aid.
And vice versa is true, Israel pia hawezi tumia Mpaka bila Ruhusa ya Egpty. Kifupi mkuu Marekani kwa interest zake hataki hizi Nchi mbili zipigane, ndio maana unaona kuna vipengele kama hivyo.Basi huo mkataba wa amani umeibana mno Misri, hata kumpangia namna ya kutumia mipaka yake.
Mpaka upi huo ?....mbona Israel amefunga mpaka wake na Gaza na haruhusu chochote kupita (ina Misri karidhia hilo ?)And vice versa is true, Israel pia hawezi tumia Mpaka bila Ruhusa ya Egpty. Kifupi mkuu Marekani kwa interest zake hataki hizi Nchi mbili zipigane, ndio maana unaona kuna vipengele kama hivyo.
Huo wa Israel Na Gaza ni mwengine, hii border ya Israel EgptyMpaka upi huo ?....mbona Israel amefunga mpaka wake na Gaza na haruhusu chochote kupita (ina Misri karidhia hilo ?)
Isitoshe Israel imefanya mashambulizi kadhaa karibu kabisa na mpaka huo hata kuvuruga shughuli zinazoendelea hapo, ila Misri kabaki kimya tu.
Kiufupi huo mkataba wa amani umeiuza Misri na kuiminya pakubwa, hata Morsi (Rip) aliwahi kuhoji uhalali wake, huenda ndio sababu moja wapo ya yeye (Morsi) kupinduliwa na kuwekwa kizuizini mpaka kufa kwake.
Ahahah sijui umetumia facts zip kutoa hii opinion yakoKawaida sana ndg
Halina akili hilo,uwaabuni wanafedha mpaka wanalipana mishahara hata usipofanya kazi, hizo ni hekaya, nchi zenye pesa chafu ni arabuni huko, israel inapokea msaada wa dola bilioni 3 kila mwaka kutoka US, na juzi hapa wameomba wasaidiwe dola bilioni 14 kupambana na Hamas.
Vita ni gharama mzee, wangekuwa wameshikilia mifumo ya pesa wasingeomba msaada.