Jionee mwenyewe jinsi teknolojia inayotumika Israel kuzuia makombora ilivyoboreshwa, akili iliyotumika kubuni huu mtambo si ya kawaida

, hizo ni hekaya, nchi zenye pesa chafu ni arabuni huko, israel inapokea msaada wa dola bilioni 3 kila mwaka kutoka US, na juzi hapa wameomba wasaidiwe dola bilioni 14 kupambana na Hamas.

Vita ni gharama mzee, wangekuwa wameshikilia mifumo ya pesa wasingeomba msaada.
kwamba arabuni lilikotoke tetemeko la ardhi mwezi uliopita tukaona majengo ya udongo yakibomoka kaja biscut na kuwaacha maelfu bila makazi ndio kwenye hela huko ?! Kwenye nyumba za udongo ?!

oya flat brain, je unatambua arabuni ni majangwani na wanategemea mafuta huku ulimwengu umeshahama kwenye nishati hiyo ya karne 16 sasa tunasonga na mitambo, magari ya umeme, je wajua 20 years ahead mafuta yatakua hayana thamani yoyote yatakua kama makaa ya mawe tu.
 
Waisrael ndio wanashikilia mifumo ya fedha, suala la pesa sio tatizo kwao ila hawasemi hadharani, missle moja ya iron dome kuwa dola elf 50 kwao ni kama kununua mawe ya manati.

Mambo ya fedha hayawaumizi vichwa.
Sasa mbona wanapewa misaada na USA kila mwaka kwenye ulinzi?
 
Basi huo mkataba wa amani umeibana mno Misri, hata kumpangia namna ya kutumia mipaka yake.
Hapo ni Israel analindwa kwa gharam yoyote serikakali ya misri iliyompindua rais halali aliyechaguliwa kidemocrasia amewekwa hapo kwa maslahi ya Israeli na ndio maana unaona hiyo serikali haitambuliwi kwa serikali ya kidectata
 
mataifa makubwa tunayoyaona yenye nguvu yanamtegemea Israel kwa Tech nyingi
Mnadanganyana sana vijiweni!! Mataifa makubwa kuanzia France, Germany, Russia yote yalikua yanawachinja wayahudi maana walikua wanazinyonya nchi tu huku hawazisaidii kwenye critical moments. Sasa unaposema wanawategemea ni wapi huko na lini?
 
kwamba arabuni lilikotoke tetemeko la ardhi mwezi uliopita tukaona majengo ya udongo yakibomoka kaja biscut na kuwaacha maelfu bila makazi ndio kwenye hela huko ?! Kwenye nyumba za udongo ?!

oya flat brain, je unatambua arabuni ni majangwani na wanategemea mafuta huku ulimwengu umeshahama kwenye nishati hiyo ya karne 16 sasa tunasonga na mitambo, magari ya umeme, je wajua 20 years ahead mafuta yatakua hayana thamani yoyote yatakua kama makaa ya mawe tu.
Nchi kama Qatar na Iran wana gas na mafuta, sio leo wala kesho waashuka, bado wanahitajika, walishatengeneza future hao, wana miradi kibao ya mabilioni iliyotokana na uuzaji wa mafuta ndio maana wamekuja hapa kwenu kwa vilaza na masikini wa akili kama wewe DP world wamenunua bandari kwa miaka 100 ijayo.

Mmebaki kupiga kelele ambazo hazisaidii, UAE wanapanga kufikia 2050 wawe wanatumia umeme utokanao na solar pamoja na nuclear, so wanajua nini kinaendelea na wamejipanga.
 
, hizo ni hekaya, nchi zenye pesa chafu ni arabuni huko, israel inapokea msaada wa dola bilioni 3 kila mwaka kutoka US, na juzi hapa wameomba wasaidiwe dola bilioni 14 kupambana na Hamas.

Vita ni gharama mzee, wangekuwa wameshikilia mifumo ya pesa wasingeomba msaada.
ulaya kuna wayahudi wengi kushinda ambao wapo israel na hiyo misaada inayoenda israel mingi inatoka kwenye jamii zao ambazo zipo huko ulaya, mfano marekani ila wayahudi karibia milion sita na wengi wao ndo madoni huko, uarabuni wana pesa za mafuta lakini hawajawazidi mabepari wa kiyahudi ambao ndio wengi wanamiliki technologia ya sasa na mifumo ya kibenki
 
Hata African American ndio wameteka sports and entertainment duniani kote, asili yao ni Africa, kuhusu utajiri kila koo na kabila kuna matajiri i dont know why jews wana manipulate watu kiasi hiki.

Ipo hivi kama hujui kauli uliyozungumza hapo jews wenyewe wanakataa, waliokuwa wanasema hivyo ni white supremacism na walifanya hivyo kuleta chuki na ubaguzi juu ya jews, hadi leo ukizungumza kwamba eti mifumo ya pesa na blah blah blah jews wanajua unawa bagua, kauli za kibaguzi, so be careful. Kauli hizo zilitungwa kuhakikisha jews wanachukiwa, unaweza fahamu maisha ya jews huko ulaya walivyokuwa wanateseka. Kauli za kichonganishi, ni sawa na leo hii useme serikali ya Tanzania sector nyeti zote wamejaa wa Zanzibar, hio sio sifa bali kauli za kuleta taharuki, sio sifa kwamba wa Zanzibar wana akili nyingi hapana.

Ni kama Hutu na Tutsi pale Rwanda baada ya Hutu kusema tutsi wapo serikalini wengi na wanawatawala, wakaanza kuuana na kuitana mende.

Kwenye kampuni nyingi USA hasa technology utawakuta asians wa kutosha, nchi pekee ambayo naweza kubali wana tech na ni ma genius to the next level duniani ni Japan, not Israel, USA n.k.
 
point ni hivi, wayahudi waliopo America wapo kwenye sekta nzuri serikalini na wana uchumi mzuri ambao unawafanya kutuma fedha nyingi Israel na pia wawe na ushawishi kwenye serikali ya US na hii inaifanya marekani kuingikia kifua Israel, je hilo unakubaliana nalo ama?
 
Ni kwa sababu kwa middle east Israel ndipo mahali pekee US inaweza kutumia kama sehemu ya jeshi lake kufikia, au kambi kubwa kabisa ya kijeshi, nchi nyingi middle east hazina uhusiano ulio mzuri na USA, Israel ipo karibu na Suez Canal, hio ni njia kubwa ambayo US inapitisha nishati kutoka Middle East kwenda aurope n.k

Israel ndiye mshirika wa kuaminika wa US pale Middle East sio Saudia wala Qatar. Hio ni fact kubwa sana

Suez Canal ni sehemu muhimu sana kwa US, ni sehemu wanailinda kwa ukaribu zaidi kulinda usafarishaji wa nishati n.k..

USA na Israel lengo lao ni moja lakini katika sababu tofauti, kila mmoja wao wana kichomi kuhusu nchi za Middle East, hivyo ili kila mmoja akae kwa amani ni lazima kuwamaliza.

Kuna msemo unasema nothin beats to work with people who want what you want...

Habari za Jews wapo serikalini US hakuna hio, wapo lakini US sio wajinga wana mifumo yao inayofuatwa kwa interests za nchi wala si wayahudi.

Kwanza Jews wenyewe kwa USA ni only 2% ya population yote lya USA, inaweza kuwa ni sababu kwamba kuna jews USA ambao ni pro Israel lakini haina nguvu kama maslahi.
 
sio kweli, fuatilia wakati jews wanakataliwa ulaya US ndie aliyewapokea na hapo ni kabla hata hajawa superpower kipindi hicho super power ni ujerumani, US aliwapokea wayahudi wengi ambao walikua ni wanasayansi kutoka ujerumani na sehem zingine za ulaya mfano einsten aliyeleta mapinduzi kwenye nuclear project na kumfanya muamerica kugundua nuclear weapon, wayahudi hao kwa kiasi walichangia marekani kua super power, hayo mambo sijui ya suel canal na porojo tupu mana kipindi hicho US hakua superpower bado, hadi kipindi US anaibuka superpower tayari wayahudi walikua wameshajenga uhusiano mzuri sana US, ndio mana Uingerrza na Marekani waliamua kuwalipa fadhila kwa kuidhinisha wao kupata inchi, unafikiri walipewa bure bure tu? kasome mchango wa einsten kwa sayansi ya marekani na pia mchango wake kuanzishwa taifa la Israel ndo Utajua Israel na Us wana bond kali kiasi gani?
 
Is this true!?
IMG_20231028_212113.jpg
 
Sipo hapa kutetea waarabu wala Israel, vyovyote vile ni sawa, lakini hekaya za kunambia Israel wamekamata mifumo ya fedha sio kweli.

Nikakuambia kuna nchi zina pesa kama hizo za uarabuni, haimaanishi natetea no, lakini nazunumza ukweli, Israel haina uchumi wowote wa kupambana na nchi kama Iran, Russia, China au India. Ni ile mnawapamba sana.

Hii vita tu ya Hamas wameomba msaada dola bilioni 14, Tamir intercepto 1 ya iron dome ni Tshs milioni 125.

Wakai huo Hezbollah wana makombora 150,000 ukijumuisha advanced precision-guided missiles, rockets kiasi hiko hata iron dome haiwezi hilo battle. Thats too much.
Bora ungekaa kimya tu
 
Nyie ndio wale mnafurahia mauwaji ya waislamu

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
Miungu ya kiarabu allah ina chuki kubwa sana kwa wayahudi na wakristo,dini ya kiislamu ni dini ya kishetani
 
sio kweli, fuatilia wakati jews wanakataliwa ulaya US ndie aliyewapokea na hapo ni kabla hata hajawa superpower kipindi hicho super power ni ujerumani, US aliwapokea wayahudi wengi ambao walikua ni wanasayansi kutoka ujerumani na sehem zingine za ulaya mfano einsten aliyeleta mapinduzi kwenye nuclear project na kumfanya muamerica kugundua nuclear weapon, wayahudi hao kwa kiasi walichangia marekani kua super power, hayo mambo sijui ya suel canal na porojo tupu mana kipindi hicho US hakua superpower bado, hadi kipindi US anaibuka superpower tayari wayahudi walikua wameshajenga uhusiano mzuri sana US, ndio mana Uingerrza na Marekani waliamua kuwalipa fadhila kwa kuidhinisha wao kupata inchi, unafikiri walipewa bure bure tu? kasome mchango wa einsten kwa sayansi ya marekani na pia mchango wake kuanzishwa taifa la Israel ndo Utajua Israel na Us wana bond kali kiasi gani?
USA haikupokea wayahudi pekee, ndio maana nakuambia ni maslahi zaidi, scientists wengi tu toka ulaya walipokelewa na US mfano Gugliemo Marconi, huyo ndiye mwanasayansi aligundua kusafirisha taarifa pasipo wire, yani wireless technology , radio, television , wifi, bluetooth n.k huyo ndiye mgunduzi, alitoka Italy na alikuwa muitaliano akiwa anaonekana wa kawaida nchini kwao, alipokelewa US kama raisi, akawezeshwa na akafanya maajabu. 1909 akapewa tuzo ya Nobel.

Ni utaratibu wa marekani wa muda mrefu kupokea wageni, ndio maana leo hii Indians, Chinese, Africans na koo na kabila zote zipo pale, isingeleta maana kuwapokea wengine na kuwakataa Jews, Jews walipokeewa kama watu wengine ikizingatiwa walikuwa adui machoni pa Hitler.

Hakuna u special wowote US aliuona kwa Jews bali ni kuwasaidia na suala zima la kisiasa kama kuonyesha ukarimu wake na kuonyesha ukatili wa Hitler katika mauaji juu ya Jews.

Habari za kunambia myahudi alichangia US kuwa super power hizo ni story za kwenye kahawa wale wazee hata shule hawakwenda miaka nenda rudi wanaamini ujinga waliolishwa.

Utumwa wa watu weusi(black labor) ndio umeinyanyua marekani hapo ilipofikia kiuchumi, walitengeneza miundombinu na kufanya kazi katika mashamba ya pamba, tumbaku n.k...

Marekani inakuwa super power Hitler ana miaka 9, mwaka 1898 US ndio inakuwa giant na kuogopwa duniani, mwaka 1889 Hitler anazaliwa, Jews wanafanyiwa Holocaust na Hitler na kukimbia akiwemo Einsten tayari US ni giant na inaogopeka, sasa hao jews walikuja lini kuitengeneza US kuwa super power? wakati Hitler mwenyewe aliye watesa Jews anakua US ni super power.

Ndio maana wataalamu, wachambuzi wa vita miaka hio walitabiri kama mwisho wa Germany baada ya US kusema wanaingia vitani, kwa maana nguvu ya US ilifahamika tayari.

Mzee napngea kwa fact na historia imelala, mimi sio wa story za kwenye kahawa, nasoma vitabu. Watu weusi ndio wenye mchango mkubwa leo hii US kuwa pale ilipo kuliko hao Jews waliokudanganya.
 
M
Waisraeli na Israel yao sio matajiri ila Wayahudi ni matajiri. Israel haiwezi kuwa tajiri sababu haina resources, ina changamoto za kiusalama, haipo strategically located kama sisi au Singapore. Yani Israel haina lolote la kuifanya iwe nzuri kiuchumi, pale ilipo ni juhudi na akili kubwa yao. Ikitakiwa iwe level za Yemen, wale ndio Middle East wasio na rasilimali kabisa. Usiilinganishe Israel na Qatar nchi ya pili kwa kuchimba gesi duniani. Usiilinganishe na Saudi Arabia inayouza zaidi ya mapipa milioni 2 ya mafuta kila siku.

Wapemba ni matajiri Kariakoo, ila Pemba sio eneo tajiri. Ukiwa Pemba uuze nini ili uwe tajiri? Samaki uuze Tanga, Unguja, Dar ambapo nao wanavua? Ulime kwa ardhi gani iliyopo Pemba?

Sababu mojawapo ya Wayahudi kuchukiwa ni kila wakienda sehemu wanatajirika na kushika sekta nyeti kuliko wazawa. Usingekuwa Uislamu wabongo wangewachukia Waarabu ambao hata Kiswahili hawajui fasaha ila wanamiliki uchumi wa miji. Wahindi hawapendwi wanatajirika kwa hela wakati Wazaramo wanatajirika kwa singeli na vigodoro.
Mkuu umemaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom