Jionee mwenyewe jinsi teknolojia inayotumika Israel kuzuia makombora ilivyoboreshwa, akili iliyotumika kubuni huu mtambo si ya kawaida

Ukitaka kulinganisha Waarabu vs Wayahudi hapo si utawapa Wayahudi credit ya waziwazi. Yani sasahivi tuanze kutaja ni Marais wangapi, wanasayansi, wagunduzi, mabilionea walikuwa Wayahudi si tutakesha.
Kwanini umeenda mbali Chile ambapo kuna Wapalestina wachache na usianzie Jordan ambapo wapo wengi zaidi, usiende Lebanon na usiende Egypt. Kote uko wanazua tafrani.

Steve Jobs mzazi wake mwarabu hakumlea alimgawa, asili yake ya baba kutoka Syria haina influence kwake. Na Saudi Aramco ni kampuni ya kuchimba mafuta ambayo ni mengi Saudi Arabia, hata vilaza ukiwapa mafuta watachimba as long as yanaendelea kutoka. Sio suala la jitihada binafsi za watu kuifanya Saudi Aramco kuwa kubwa ni suala la uwepo wa mafuta unafanya kampuni iwe kubwa yakiisha inafirisika.
Ila ni suala la jitihada za Waitaliano kuifanya Eni iwe kubwa, au Wafaransa kuifanya Total iwe kubwa, au Waingereza kuifanya BP iwe kubwa. Wao almost hawana mafuta ila makampuni yao makubwa.

Alafu Saudi Aramco haijaanzishwa na Waarabu, imeanzishwa na Wamarekani. Waarabu hawakuwa na hiyo akili ya kuchimba mafuta wala kufanya exploration. Walijikuta tu wameyakalia na idea ya kutafiti sio yao. Unahisi kwanini inaitwa Saudi Aramco, ARAMCO = (the ARabia AMerican Oil Company). Aramco ilianzishwa na Standard Oil ya California, serikali ya Saudi walielekezwa kusaini tu.
 
Kama ukiwa na mafuta tu unatajirika kwanini Nigeria, Angola na nchi kibao zenye mafuta Africa sio Matajiri? Angola ina mafuta kuliko Nchi kibao za Kiarabu ila uchumi wake haufikii hata 10% ya hizo nchi ilizozipita mafuta.

Pia hizo kampuni za Marekani zimeajiriwa kama zilivyoajiriwa nyengine.

Na Aramco ni 100% inamilikiwa na Saudi wenyewe ni juzi juzi tu wameilist Soko la hisa na wametoa kama 10% tu.

Pia jambo moja ambalo pengine Hufahamu Uchumi wa Mafuta imetengenezwa na Professor wa Egpty ambaye wakati huo alikua akifundisha Usa aliekua mshauri wa Carter na pia Mwalimu wa Bill Clinton. Kwa jina Anaitwa Ibrahim Oweiss, yeye ndie formula zake zilitumika kuwatoa wasiwasi Usa na ndie mvumbuzi wa term "petrodollar"

Bottom like mkuu nilikua nakujibu kauli yako kwamba wapalestina wakitoka nje ya Palestina wanakua Magaidi nimekupa Evidence za Wapalestina nje ya Palestina matokeo yake Unajitungia swali jengine Na kujijibu mwenyewe.
 
Mkuu wanapaza sauti ila hawana platform, mfano Hadidi ni Celebrity wakubwa Usa na wamepaza sauti kubwa tu Ila ukitoa Twitter na Aljazeera waliobakia wote wamechagua upande, media nyingi zina shadowban palestinian issues.

Hao South America ukiona hadi Nchi kubwa kama Colombia imefukuza Balozi sababu Wapalestina wa huko wamefanya kazi yao.

Sehemu Kubwa ambayo Israel wanawapita Wapalestina ni Media, Hao Saudia na wengineo wanatakiwa wafuate mfano wa Qatar watengeneze na wao Aljazeera zao.

Kudos to Elon Musk, amejizolea Respect nyingi za wapenda Haki duniani.
 
Steve Jobs baba yake alikuwa katoka Syria, hio haibadilishi maana kwamba ana asili ya watu kutoka Syria, ni kama African American ipo wazi asili yao ni Africa.

Kusema Steve Jobs baba yake ni kutoka Syria na hana Influence kwake unakosea, kwani hao scientists wa kiyahudi na billionares unao wasifu wameishi wapi? wengi wametokea Europe na America, hao tunawaita ashkenazi, asilimia 80 ya wayahudi wa leo ni Ashkenazi hio ni homework nakupa kafanye utafiti.

Hao scientists, billionares n.k wamepata hayo mafanikio wakiwa nchi za watu na sio kwao, na hadi leo wanapewa msaada kijeshi na kiuchumi, wame inter marriage na koo na kabila nyingi tu, kama walifanikiwa wakiwa nchi za watu naomba unambie influence ya taifa la Israel iko wapi?


Steve Jobs hata babu yake angekuwa myahudi ungesikia kelele kila kona huyo ni myahudi, lakini baba yake ni mtu toka Syria eti hana influence kwake, huo ni ujinga.

Pale Israel wamejaa Ashkenazi Jews, mchanganyiko wa wazungu na wayahudi, vumbuzi nyingi na hizo pesa wamezipata wakiwa ugenini, tuambie hio influence ya taifa la Israel ni ipi?
 
Hii nakubari
Kenya wana UCHUMI mkubwa
Lakini kiutajiri tumewapita mbali na namna nchi yetu ilivyoboresha MIUNDOMBINU mjapo ndo hvyo KIUFISADI
ndo tunazidi kuwaacha mbali
 
Kwanini Misri imedhibiti mpaka wake na Gaza kiasi hiki? Wanawaogopa Hamas?
Mkataba wao na Israel baada ya vita ya Yom kipur na Egpty kurudishiwa Sinai Peninsula ni kuwa Huo mpaka haufunguliwi mpaka makubaliano ya wote Egpty na Israel. So Israel Haja kubali ufunguliwe ndio Maana Haufunguliwi


Upande wa Egpty kuna Foleni kubwa ya Humanitarian Aid.
 
Good luck on your way, naona unanifundisha kuhusu Jews na Ashkenazi Jews.

Rudia kusoma nilipoandika ambapo unakimbia. Steve Jobs baba yake Msyria alimtelekeza ndio maana nasema hakuwa na influence kwake. Baba yake Jobs yule Jandali alichowahi fanya na mwanae ni kushikana mikono tu. Paul Jobs aliyemuadopt ndio mwenye influence kwa Steve Jobs.

Wewe niliposema hakuwa na influence kwake tiyari ushakimbilia kisa ni Mwarabu. Steve kamsikia baba yake mzazi ukubwani. Kalelewa na kutunzwa na watu baki waliomuadopt. Kuidhibitisha baba yake hana influence kwake, kamuona na kukutana naye tiyari ameanzisha Apple na tiyari ni billionaire. Hiyo influence unayodai ni ipi, ya kushikana mikono ndio ilisababisha tupate Apple Inc.? 😂
 
Basi huo mkataba wa amani umeibana mno Misri, hata kumpangia namna ya kutumia mipaka yake.
 
Basi huo mkataba wa amani umeibana mno Misri, hata kumpangia namna ya kutumia mipaka yake.
And vice versa is true, Israel pia hawezi tumia Mpaka bila Ruhusa ya Egpty. Kifupi mkuu Marekani kwa interest zake hataki hizi Nchi mbili zipigane, ndio maana unaona kuna vipengele kama hivyo.
 
And vice versa is true, Israel pia hawezi tumia Mpaka bila Ruhusa ya Egpty. Kifupi mkuu Marekani kwa interest zake hataki hizi Nchi mbili zipigane, ndio maana unaona kuna vipengele kama hivyo.
Mpaka upi huo ?....mbona Israel amefunga mpaka wake na Gaza na haruhusu chochote kupita (ina Misri karidhia hilo ?)

Isitoshe Israel imefanya mashambulizi kadhaa karibu kabisa na mpaka huo hata kuvuruga shughuli zinazoendelea hapo, ila Misri kabaki kimya tu.

Kiufupi huo mkataba wa amani umeiuza Misri na kuiminya pakubwa, hata Morsi (Rip) aliwahi kuhoji uhalali wake, huenda ndio sababu moja wapo ya yeye (Morsi) kupinduliwa na kuwekwa kizuizini mpaka kufa kwake.
 
Huo wa Israel Na Gaza ni mwengine, hii border ya Israel Egpty

Ni ukuta mmoja mrefu sana umeanzia Gaza unapita hadi Israel Na kote Gaza na Israel unapakana na Sinai.

Kwenye hizo Kuta kuna Checkpoint kama Rafah Na Kerem

Angalia hii ramani



Rafah inaunganisha Egpty na Gaza, Karem ni Egpty na Israel Na Kuna Erez Israel Na Gaza.

So Israel wamefunga wao na Egpty wamefunga wao Gaza ipo closed.

Mwisho wa siku upo sahihi ni mkataba wa kionevu kwa Palestine, Wa Palestine hawahitaji Ruhusa kwa Waisrael kufungua ama kufunga mpaka wao.
 
Halina akili hilo,uwaabuni wanafedha mpaka wanalipana mishahara hata usipofanya kazi
 
Na siku ile wametembezewa kichapo hiyo technologia ilikuwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…