Jioneeni Tofauti ya mwonekano wa WANAUME 2025

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini za weekend marafiki

Natumai mko wazima buheri wa afya njema na wale ambao
hawako vyema nawatakia afya njema Mungu awaponye

Nimeona nichague Sample za kuonesha kwenu jinsi gani WANAUME wa CC
watakavyokuwa tutakapofika mwaka 2025 na ni kituko gani watakakifanya
wakati tukielekea miaka hiyo, kwani kwa sasa makaka, baba, wadogo zetu
wamekuwa wakijiremba utadhani wanawake, ukiangalia vizuri kwenye videvu
vyao kuna sharubu zimetanda kihasara hasara, ukichunguza kwa makini
utajua kumbe ni Wanaume. Ndugu zetu MAKAKA tunakwenda wapi? kwanini
mnajiweka kama siye, kwanini hamridhiki na uumbaji wa Mungu alivyowaumba?
kwanini mnamkufuru Mungu kwa uumbaji wake kwenu? Kwani nyie kuitwa
W A N A U M E kuna madhara gani kwenu? na kunawapunguzia nini hasa?


Nimeshindwa kuvumilia nimeona nitoe japo kwa mfano ili marafiki mchangie
nanyi mnisaidie kuwaonya hawa ndugu zetu kwani wanapoelekea pabaya.


ONENI ITAKAVYOKUWA 2025 KWA MAKAKA ZETU





SASA HUYU NDO NIMESHINDWA KUMUELEWA NISAIDIENI NYIE MARAFIKI ZANGU

HEBU MWONENI

Hizi ni sample tu zimejaribu kuonesha itakavyokuwa katika avatar za makaka 2025
Nawaomba radhi kwa wale watakaojisikia vibaya na picha hizi ni SAMPLE NA KUBUNI
TU.


Wasalaamu;
Ladyf


cc: Mamndenyi, The Boss, Mtambuzi, Paloma, sosoliso, Kipaji Halisi, Erickb52, Arushaone, Jiwe Linaloishi, Heaven on earth, figganigga, Excellent, Passion Lady, Lady doctor, amu, stevoh, Mzee, kabanga, Bishanga, Baba V, watu8, Filipo, LiverpoolFC, Fixed Point, mwaJ, mwallu, evenly Salt, Mentor, kokuTUNA, Preta, Asprin, Bujibuji, The secretary, sweetlady, charminglady, Measron, FirstLady, Madame B, Ben Saanane na marafiki wengineo wengi kujeni huku.
 
Last edited by a moderator:
duh! sawa tutajiangalia, lakini je nyie mtakuwaje sisi tukiwa hivyo...?
 
Haya malonjo sijui umeyatolea wapi! Wengine tunapata vichefuchefu!
Hapa labda Bishanga ndiyo nadhani atakaevujwa mate amgonge mmojawao!
 
Last edited by a moderator:
heeee makbubwa haya!

sasa my dear ladyfurahia sina nguvu za kukugombelezea this time ujue.........
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…