Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
cousin ni wazo zuri sana, halafu cousin hii party kwa nini tusiifanyie pale Geneva of Africa? Maana karibia wote tuko ukanda huu kasoro wewe na charminglady... Hebu ngoja nikuje dirishani tushauriane zaidi.
mhm! yana ukweli haya usemayo mbona wagita wanawatandika hovyo wakezao?
leo umeamua kuhamia airtel? karibu
Kosa lako ni kuanza kuandika jina la shemejio Erickb52 badala ya jina langu....!
enheee pacha hapo umenena
cousin lady furahia lifanyie kazi hili!!
Usijali...nitamtulizaaNajua atanichapa my wii, sijui nifanyeje asiione hii picha maana home hapatakalika
shem msamehe amejisahau si unajua bestito jamani
Du! kupigiana simu kumbe kunahitaji ridhaa rafiki? hii ndo naisikia leo. yaani kabisa natamani kuongea na mtu halafu nisubiri aniambie nimpigie? sasa ataniambiaje?
wewe ukijisikia nitwangie tu rafiki, sina mwiko....