Hihihii ladyfurahia wifi yangu mi naandamanaa!!
ha ha ha ha! sema jamaa watau riport huu uzi..
afu utatolewa...
ladyfurahia why are u so mchokozi hivyo?
Cousin, nilitaka nicheke nilivyorudia kuangalia tena najisikia kununa mwenzio lol!
Hihihii ladyfurahia wifi yangu mi naandamanaa!!
nisamehe my wii kwani nimeona niweke ndugu ili tuone sample zitakubalika katika jamii yetu au la?
samahani cousin kumuweka shem pale ni sample tu naonesha
nimeona niweke na ndgu hapo ili nisitolewe meno hapa
hofu kwako teja mwenzangu....
kwani ile namba yangu ulii-delete hadi kwenye recycle bin?
Du! kupigiana simu kumbe kunahitaji ridhaa rafiki? hii ndo naisikia leo. yaani kabisa natamani kuongea na mtu halafu nisubiri aniambie nimpigie? sasa ataniambiaje?Bado ninayo wangu ila sipendi kupiga bila ridhaa yako!
mm sio mchokozi nimejaribu kuonesha sample za avatar za watu wa mjengo huu pindi tukifika 2025 zitakuwaje nawe shostito unataka nikuweke hapo juu?
ha haaaa, mbavu zangu jamani, lol!
ngumi zikitokea hapa mi simo ladyfurahia
mekusamehe wifi yangu kipenz ila kaka'ko akiona...sijui