Jioneeni Tofauti ya mwonekano wa WANAUME 2025

nimeyataka mwenyewe ngoja aje Mtambuzi aone sijui patakalika hapa
nitaomba ulinzi kwa mumeo anisaidie je utakubali bestito?
heeee makbubwa haya!

sasa my dear ladyfurahia sina nguvu za kukugombelezea this time ujue.........
 
Last edited by a moderator:
samahani cousin kumuweka shem pale ni sample tu naonesha
nimeona niweke na ndgu hapo ili nisitolewe meno hapa
Cousin, nilitaka nicheke nilivyorudia kuangalia tena najisikia kununa mwenzio lol!
 
KWAKUA UPEO WAKO WA KUFIKIRIA ULIFIKIA KIKOMO kwa wanaume, vuta picha WANAWAKE WATAKUA WANATEMBEA UCHI maana vijivazi vyote watakuwa wameshamaliza na kilichobakia sasa nikutembea uchi
 
mm sio mchokozi nimejaribu kuonesha sample za avatar za watu wa mjengo huu pindi tukifika 2025 zitakuwaje nawe shostito unataka nikuweke hapo juu?

Ingekua ni mfano mzuri sana kama ungeweka na sample ya avatar yangu.
As lon as my avatar it's really image's of mine .
Itakua umewapa taswira halisi , watu wa jamvi image ya kiume inatakiwa iwe vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…