Jioneeni Tofauti ya mwonekano wa WANAUME 2025

mhm! ukisikia TEMPTATION ndo hili hapa!
na ukisikia mtu anatestiwa ndo hapa
na ukiona mtu anakong'otwa :frusty::frusty:
naogopa kuwa sample yako LAKINIIIII!

Ingekua ni mfano mzuri sana kama ungeweka na sample ya avatar yangu.
As lon as my avatar it's really image's of mine .
Itakua umewapa taswira halisi , watu wa jamvi image ya kiume inatakiwa iwe vipi.
 
Nisamehe binamu yangu ndo hivyo tena imeshatokea
ila usijaili yeye najua kuwa hayuko hivyo hiyo ni sample tu nimetest
lakini cousin mbona shemejio hanaga mambo hayo, umeniabisha ujue cousin hivi baba yetu watu8 akimuona hapo si aibu jamani
 
Last edited by a moderator:

cousin ni wazo zuri sana, halafu cousin hii party kwa nini tusiifanyie pale Geneva of Africa? Maana karibia wote tuko ukanda huu kasoro wewe na charminglady... Hebu ngoja nikuje dirishani tushauriane zaidi.
 
Last edited by a moderator:
karibu unishauri vizuri
halafu hapo Geneva of Africa panafaa zaidi
ila mm na charminglady itabidi tujipange tuje huko
cousin ni wazo zuri sana, halafu cousin hii party kwa nini tusiifanyie pale Geneva of Africa? Maana karibia wote tuko ukanda huu kasoro wewe na charminglady... Hebu ngoja nikuje dirishani tushauriane zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…