Jiongezee Kipato : Natafuta Mfanyakazi wa Kuziendesha Account zangu za Social Networks

Jiongezee Kipato : Natafuta Mfanyakazi wa Kuziendesha Account zangu za Social Networks

Kwa siku 20 mtu akatuwa amepost posts 1,000 halafu unamlipa tsh 30,000.

Vijana chukueni ajira hiyo.
 
hii kazi nilishawahi kuifanya kipindi niko chuo kuna jamaa yuko arusha alitokea tu kuniamini anaitwa shadrack robert nikamshawishi nimuendeshee social media zake jamaa aliipenda sana idea yangu na for the first time jamaa alinilipa 300k ilikuwa 2017 tena alinipa kabla ya kuanza kazi na kila mwisho wa mwezi akawa ananipa 400k.

Tuliendelea hvyo hadi ikafkia kipind mambo yakawa mengi nikamuomba niachane na kazi,hizo kazi unazoona wew ni simple but ni ngumu mno mzee alafu hilo bando la gb 1 labda awe anatumia airtel kwa insta.

swali langu ni kwamba inakuaje inafika mwisho wa mwezi alafu kulipa hela ya watu hulipi na kuingia mitini?
 
Maelezo yako sawa dah ila hapo kwenye malipo .. hata beki taraa atakua juu..kwa mfano hiyo kazi ya pili ungeajiri kabisa umlipe mtu kwani inaonekana ataperfom kazi za kiofisi moja kwa moja
 
Kujibu maswali its doable...,

Je hizo post mtu anatoa kichwani au anaelezea bidhaa kama anaelezea bidhaa pia its doable sababu atakuwa / anakuwa ana-recycle materials.

ila kama anahitaji kutumia akili na kuwa creative kutoa post za maana zenye kuvutia watu (ni bora atengeneze akaunti yake mwenyewe) au kama hizo akaunti zako zina views na following ya kutosha bora umfanye mtu partner mgawane mnachokipata yaani anakuwa na umiliki wa post zake au mnamiliki nyote...

Kuhusu pesa unayompa siwezi kusema lolote its a tough world out there kuna watu wana post zao za bure wala watu hawasomi / view kwahio (its tough and its getting tougher by the day).

By the way kama unauza bidhaa za maana unaweza kuwapa watu wakawa affiliates
 
We n linyonyaji haswa,maisha yalivyo magumu dar unamlipaje mtu sh elf 50?
Si bora kwenda kufanya kazi ya kumsaidia fundi per day 10k kwa mwezi haipungui 300k
Mkuu hivi unajua mtaani yupo muhitimu aliyekaa chuo miaka minne amehitimu vizuri leo yupo mtaani hana uhakika wa kukunja hiyo 50K hata mwaka mzima?hivi maisha unayachukuliaje mzee?

Saidia fundi hao saidia fundi watakuwa wangapi mafundi wenyewe wana wadogo zao wanahangaika mtaani baada ya kutoka chuo na kukuta mtaani hola wanabebana kwenye kazi za kuunga unga,amesema ni kuanzia saa 1 mpaka saa 4/5 asubuhi still hii inamfaa yeyote ambaye amekaa hana mbele wala nyuma kwanza itamuongezea uelewa wa mambo pia atakutana na watu watakaomfungua akili hata huyu anayempa 50K leo ipo siku hiyo biashara itaenda vizuri kutokana na full time mda wa kazi ipo wazi ataona umuhimu wa kumuongezea mshahara.

Tujifunze kuanzia chini!
 
Naunga mkono hoja hii.
Kwa mfano hii ishu inaweza mfaa zaidi mtu aliye Karibu na stand mbezi, that means atatembea tu kwa mguu na msosi atamendea nyumbn kwao simple yan.
Kuna kipindi mimi binafsi ilinibidi nizuge na ishu fulani ili mradi tu nisishinde nyumbn bure siku nzima
#ninamshukuru Mungu
 
Dah we binadam wa wap,hata km kumnyonya mtu,elf30 kwa mwez seriously?!tena afanye Kaz 24/7?!!🙄🙄kwa ulivojimwambafai nkajua utamlipa atleast lak 5 looh,sidhan km hata hiyo 30 ,utawalipa nawapa pole wataojitokeza
 
Back
Top Bottom